MFUKO WA ZAO LA KOROSHO WATENGA BILIONI 6 KUJENGA VIWANDA VYA KUBANGUA KOROSHO.
Na Ismail NgayongaMFUKO wa wakfu wa kuendelezazao la Korosho nchini umetenga kiasi cha Tsh. Bilioni 6 kwa ajili ya ujenzi wa viwanda vitatu vya kubangulia korosho vitakavyojengwa katika Wilaya za Mtwara, Tunduru na Mkuranga.
Taasisi zitakazojenga viwanda hivyo ni Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kupitia Kitivo cha Biashara na Chuo Kikuu cha Ardhi (ARU).Akizungumza katika hafla ya utiaji saini wa mikataba baina ya mfuko huo na wataalamu washauri jana (Jumatano Mei 6, 2015), Mwenyekiti wa Bodi ya...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog06 May
Mfuko wa kuendeleza zao la Korosho watenga bilioni 6 kujenga viwanda vya kubangulia Korosho
Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Korosho Tanzania, Mundhir Mundhir akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) leo Jijini Dar es Salaam wakati wa hafla ya utiaji saini wa mikataba ya ujenzi wa viwanda vitatu vya korosho katika Wilaya za Mtwara, Tunduru na Mkuranga kati ya Mfuko Mfuko wa kuendeleza Zao la Korosho Nchini na wataalamu washauri wa kutoka Chuo Kikuu cha Ardhi cha Jijni Dar es Salaam na Shule ya Elimu ya Biashara katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Kulia ni Katibu Mtendaji...
10 years ago
Mwananchi14 May
Viwanda vya kubangua korosho kuanza kujengwa nchini
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-_4VpB64T0rk/VkxWeOujQYI/AAAAAAAIGiQ/ixNGoCOrv84/s72-c/viwanda%252Bpicha.jpg)
Bilioni Mbili kutengwa kwa ajili ya kusaidia utafiti wa zao la Korosho
![](http://4.bp.blogspot.com/-_4VpB64T0rk/VkxWeOujQYI/AAAAAAAIGiQ/ixNGoCOrv84/s640/viwanda%252Bpicha.jpg)
Bodi ya Korosho Tanzania imeadhima kutoa asilimia 7 ya mapato yake sawa na shilingi bilioni mbili kwa ajili ya kusaidia utafiti wa zao hilo unaofanywa na kituo cha utafiti cha Naliendele.
Akiongea wakati wa kufunga kwa mkutano wa tatu wa kimataifa uliowahusisha wadau kutoka nchi mbalimbli duniani ,Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Korosho Tanzania Bw. Muhidhiri Muhidhiri amesema kuwa changamoto kubwa wanayokabiliana nayo ni ukosefu wa fedha kwa ajili ya...
11 years ago
Tanzania Daima10 Apr
Kiwanda cha kubangua korosho njiani
CHAMA cha Ushirika cha Wakulima wa Korosho Tandahimba – Newala (Tanecu) kinatarajia kuzindua maghala ya kuhifadhia korosho katikati ya mwezi huu ikiwa ni hatua za awali za ujenzi wa kiwanda...
10 years ago
VijimamboVIWANDA VITATU VYA KOROSHO KUJENGWA WILAYA ZA MTWARA, TUNDURU NA MKURANGA
9 years ago
Habarileo14 Sep
Aahidi kujenga kiwanda cha korosho
MGOMBEA Mwenza wa urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan amesema iwapo mgombea urais wa chama hicho, Dk John Magufuli atapata ridhaa ya kuunda serikali ya awamu ya tano, atajenga kiwanda cha kisasa cha kubangua na kufungasha korosho katika wilaya ya Mkuranga.
9 years ago
Mtanzania25 Aug
Mfanyabiashara kijana anayemiliki viwanda kwa kuuza korosho
NA HAMISA MAGANGA
VIJANA wengi wamekuwa wakikimbia kilimo vijijini wakidhani kuwa hakina faida yoyote.
Hawafahamu kuwa siku zote mwanzo ni mgumu kwani hata waliofanikiwa awali walikuwa maskini na hawakuwahi kufikiria kama watakuja kuwa matajiri wakubwa duniani.
Kilimo na biashara ni miongoni mwa vitu vilivyochangia utajiri wa watu wengi ndani na nje ya nchi. Hata siku moja huwezi kumiliki mabilioni ya fedha kwa kutegemea kuajiriwa.
Katika makala haya kutana na mfanyabiashara wa kwanza wa...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-SDHZipv-ba4/XvGIGpoLA0I/AAAAAAALvAQ/M0sx7_rinJAN89s7qrrpchYUigW2YxNRACLcBGAsYHQ/s72-c/Korosho.jpg)
UTAFITI WAWAUMBUA WALAGHAI WA ZAO LA KOROSHO
![](https://1.bp.blogspot.com/-SDHZipv-ba4/XvGIGpoLA0I/AAAAAAALvAQ/M0sx7_rinJAN89s7qrrpchYUigW2YxNRACLcBGAsYHQ/s640/Korosho.jpg)
…………………………………………………………………………..
Korosho haiharibiki kwa kukaa ghalani zaidi ya mwaka
Na Mwandishi Wetu –Maelezo Mtwara
Kaimu Mkurugenzi wa Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (TARI) Dkt. Fortunatus Kapinga amesema kuwa zao la korosho lina uwezo wa kukaa zaidi ya mwaka mmoja ghalani bila kuharibika na korosho hiyo inapopelekwa sokoni inakuwa na ubora uleule unaotakiwa katika soko.
Dkt Kapinga amesema hayo alipohojiwa na Idara ya Habari (Maelezo) ofisini kwake katika kituo cha...
11 years ago
Tanzania Daima29 Jul
CBT yajikita kupaisha zao la korosho
KATI ya mazao muhimu ya kibiashara nchini korosho ni mojawapo jambo linalofanya tasnia nzima ya korosho iweze kuangaliwa kwa umakini zaidi kuanzia serikalini hadi kwa mdau mmoja mmoja. Hata hivyo,...