Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


VIWANDA VITATU VYA KOROSHO KUJENGWA WILAYA ZA MTWARA, TUNDURU NA MKURANGA

Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Korosho Tanzania, Mundhir Mundhir akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) jana Jijini Dar es Salaam wakati wa hafla ya utiaji saini wa mikataba ya ujenzi wa viwanda vitatu vya korosho katika Wilaya za Mtwara, Tunduru na Mkuranga kati ya Mfuko wa kuendeleza Zao la Korosho Nchini na wataalamu washauri wakutoka Chuo Kikuu cha Ardhi cha Jijni Dar es Salaam na Shule ya Elimu ya Biashara katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Kulia ni Katibu Mtendaji wa...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Viwanda vya kubangua korosho kuanza kujengwa nchini

Hatimaye, ujenzi wa viwanda vitatu vya kubangua korosho uliokuwa ukililiwa kwa muda mrefu unatarajiwa kuanza katika kipindi cha miezi mitatu ijayo, ili kuliongezea thamani zao hili muhimu kwa uchumi wa Tanzania.

 

10 years ago

Michuzi

MFUKO WA ZAO LA KOROSHO WATENGA BILIONI 6 KUJENGA VIWANDA VYA KUBANGUA KOROSHO.

Na Ismail NgayongaMFUKO wa wakfu wa kuendelezazao la Korosho nchini umetenga kiasi cha Tsh. Bilioni 6 kwa ajili ya ujenzi wa viwanda vitatu vya kubangulia korosho vitakavyojengwa katika Wilaya za Mtwara, Tunduru na Mkuranga.

Taasisi zitakazojenga viwanda hivyo ni Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kupitia Kitivo cha Biashara na Chuo Kikuu  cha Ardhi (ARU).


Akizungumza katika hafla ya utiaji saini wa mikataba baina ya mfuko huo na wataalamu washauri jana (Jumatano Mei 6, 2015), Mwenyekiti wa Bodi ya...

 

10 years ago

Dewji Blog

Mfuko wa kuendeleza zao la Korosho watenga bilioni 6 kujenga viwanda vya kubangulia Korosho

1.

Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Korosho Tanzania, Mundhir Mundhir akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) leo Jijini Dar es Salaam wakati wa hafla ya utiaji saini wa mikataba ya ujenzi wa viwanda vitatu vya korosho katika Wilaya za Mtwara, Tunduru na Mkuranga kati ya Mfuko Mfuko wa kuendeleza Zao la Korosho Nchini na wataalamu washauri wa kutoka Chuo Kikuu cha Ardhi cha Jijni Dar es Salaam na Shule ya Elimu ya Biashara katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Kulia ni Katibu Mtendaji...

 

10 years ago

Dewji Blog

Brien Holden Vision yatoa msaada wa vifaa vya kupimia macho Wilaya ya Mkuranga na Kibaha

01

Afisa Mkazi wa taasisi isiyo ya Kiserikali ya  Brien Holden Vision Institute, Eden Mahayo akisisitiza jambo wakati  alipofika katika hospitali ya Wilaya ya Mkuranga  kukabidhi msaada wa vifa vya macho kwa ajili ya wanafunzi wa shule za msingi 122 za  Mkuranga ambapo wanafunzi hao watapata huduma ya kupima na kutibiwa macho bure. Kulia ni  Mganga mkuu wa Wilaya hiyo Dkt.Francis Mwanisi,Kaimu Mkurugenzi wa Mkuranga  Benjamin Majoya na  Mratibu wa Taifa wa Huduma ya Macho Dkt.Nkundwe...

 

9 years ago

Mtanzania

Mfanyabiashara kijana anayemiliki viwanda kwa kuuza korosho

MTZ UCHUMI MPYA SAFI.inddMTZ UCHUMI MPYA SAFI.inddNA HAMISA MAGANGA

VIJANA wengi wamekuwa wakikimbia kilimo vijijini wakidhani kuwa hakina faida yoyote.

Hawafahamu kuwa siku zote mwanzo ni mgumu kwani hata waliofanikiwa awali walikuwa maskini na hawakuwahi kufikiria kama watakuja kuwa matajiri wakubwa duniani.

Kilimo na biashara ni miongoni mwa vitu vilivyochangia utajiri wa watu wengi ndani na nje ya nchi. Hata siku moja huwezi kumiliki mabilioni ya fedha kwa kutegemea kuajiriwa.

Katika makala haya kutana na mfanyabiashara wa kwanza wa...

 

10 years ago

Mwananchi

Stakabadhi ghalani yapaisha bei ya korosho Mtwara

Bei ya korosho ghafi katika soko la minada chini ya mfumo wa stakabadhi ghalani imeimairika na kufikia Sh1,660 kutoka Sh1,500 kwa kilo katika wiki mbili zilizopita.

 

10 years ago

Mwananchi

Sababu za uzalishaji korosho kuporomoka mkoani Mtwara

Licha ya miaka mingi Mtwara kusifika kwa korosho, uzalishaji wa zao hilo sasa unaporomoka kila kukicha.

 

10 years ago

Mwananchi

Mtwara waiacha Korosho, wafuata bei nono ya ufuta

Limekuwa ni jambo la kawaida sasa kwamba kati ya Novemba na Mei, mamia ya wakulima katika Wilaya ya Tandahimba mkoani Mtwara huyaacha makazi yao na kwenda kuishi mkoani Lindi kwa ajili kuendesha kilimo cha ufuta.

 

10 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI WA VIWANDA NA BIASHARA ATEMBELEA VIWANDA VYA GENERAL TYRE NA A TO Z JIJINI ARUSHA

Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Janeth Mbene akiongozana na  Meneja Ufundi wa Kiwanda cha Magurudumu cha General Tyre cha jijini Arusha, Elias Pallangyo,alipofanya ziara kutembelea kiwanda hicho.Meneja Ufundi wa Kiwanda cha Magurudumu cha General Tyre cha jijini Arusha, Elias Pallangyo,akimuonyesha Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Janeth Mbene , sehemu ya kiwanda hicho ambayo ipo katika ukarabati tayari kwa ajili ya uzalishaji wa Magurudumu mapema mwaka huu. Kiwanda hicho...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani