Aahidi kujenga kiwanda cha korosho
MGOMBEA Mwenza wa urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan amesema iwapo mgombea urais wa chama hicho, Dk John Magufuli atapata ridhaa ya kuunda serikali ya awamu ya tano, atajenga kiwanda cha kisasa cha kubangua na kufungasha korosho katika wilaya ya Mkuranga.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima10 Apr
Kiwanda cha kubangua korosho njiani
CHAMA cha Ushirika cha Wakulima wa Korosho Tandahimba – Newala (Tanecu) kinatarajia kuzindua maghala ya kuhifadhia korosho katikati ya mwezi huu ikiwa ni hatua za awali za ujenzi wa kiwanda...
10 years ago
MichuziMFUKO WA ZAO LA KOROSHO WATENGA BILIONI 6 KUJENGA VIWANDA VYA KUBANGUA KOROSHO.
Akizungumza katika hafla ya utiaji saini wa mikataba baina ya mfuko huo na wataalamu washauri jana (Jumatano Mei 6, 2015), Mwenyekiti wa Bodi ya...
10 years ago
Dewji Blog06 May
Mfuko wa kuendeleza zao la Korosho watenga bilioni 6 kujenga viwanda vya kubangulia Korosho
Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Korosho Tanzania, Mundhir Mundhir akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) leo Jijini Dar es Salaam wakati wa hafla ya utiaji saini wa mikataba ya ujenzi wa viwanda vitatu vya korosho katika Wilaya za Mtwara, Tunduru na Mkuranga kati ya Mfuko Mfuko wa kuendeleza Zao la Korosho Nchini na wataalamu washauri wa kutoka Chuo Kikuu cha Ardhi cha Jijni Dar es Salaam na Shule ya Elimu ya Biashara katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Kulia ni Katibu Mtendaji...
10 years ago
StarTV30 Sep
 Lowassa aahidi kufungua kiwanda cha chai Mponde
Mgombea Urais kupitia Umoja wa Katiba ya Wananchi UKAWA Edward Lowassa amesema wananchi wakimpa ridhaa ya kuwa Rais ndani ya miezi sita atahakikisha kiwanda cha chai cha Mponde kinafunguliwa na kuanza kuwanufaisha wakulima wa zao hilo.
Kiwanda cha chai cha Mponde kilifungwa baada ya wananchi kuingia kwenye mgogoro wa kimaslahi na aliyekuwa mwekezaji wa kiwanda hicho. Taarifa zaidi na mbonea Herman:
Lowassa alikutana na wananchi waliokuwa wakimsubiri ,lakini kabla ya kuzungumza na wananchi...
10 years ago
Habarileo09 Oct
Samia aahidi kujenga chuo cha mafunzo Kwimba
MGOMBEA mwenza wa urais kwa tiketi ya CCM, Samia Suluhu Hassan amewaahidi wananchi wa Jimbo la Kwimba mkoani Mwanza kuwa Serikali ya awamu ya tano ya CCM itawajengea Chuo cha Mafunzo ya Ufundi Stadi (Veta) ili kuwapatia fursa vijana wa jimbo hilo kupata mafunzo ya ufundi.
10 years ago
StarTV09 Sep
CCM ya ahidi kujenga kiwanda cha kusindika kahawa na mahindi.
Mgombea mwenza wa Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Samia Suluhu Hassan ameahidi kujengwa kiwanda cha kusindika kahawa na mahindi kwa wakulima wa mazao hayo akiwataka kufanya maamuzi ya kumchagua mgombea Urais kupitia chama hicho Dokta John Magufuli ili aweze kukamilisha mpango huo.
Mgombea Mwenza huyo ambaye amemaliza ziara mkoani Ruvuma na kuelekea Pwani amesema hakuna sababu ya wakulima wa mazao hayo kuhangaikia soko wakati kuna uwezekano wa kuyafanya mazao hayo kuwa na thamani...
10 years ago
Michuzi
SERIKALI KUSHIRIKIANA NA KIWANDA CHA DANGOTE KUANZA KUJENGA GATI LA KUPAKIA CEMENT


11 years ago
MichuziNEWS ALERT: BENKI YA CRDB KUJENGA TAWI LA KISASA KATIKA KIWANDA CHA DANGOTE, MTWARA
10 years ago
Habarileo24 Sep
Lowassa aahidi soko la korosho
MGOMBEA wa urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Edward Lowassa amesema atalitafutia soko zao la korosho na kuimarisha mfumo wa stakabadhi ghalani kama atachaguliwa kuwa Rais.