SERIKALI KUSHIRIKIANA NA KIWANDA CHA DANGOTE KUANZA KUJENGA GATI LA KUPAKIA CEMENT
Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi akijadiliana jambo na Alhaji Aliko Dangote kuhusu ujenzi wa Gati katika Bandari ya Mtwara.Katikati ni Waziri wa Serikali za Mitaa na Tawala za Mikoa Mh Hawa Ghasia. Waziri wa Serikali za mitaa na tawala za mikoa Mh Hawa Ghasia (MB) akiwa na viongozi wa serikali na wa mkoa wa Mtwara katika kumpokea Bilionea Alhaji Aliko Dangote ambaye amekuja katika mazungumzo kuhusu kushirikiana na Serikali katika ujenzi wa Gati lakupakilia Cement ilikuwezesha...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziNEWS ALERT: BENKI YA CRDB KUJENGA TAWI LA KISASA KATIKA KIWANDA CHA DANGOTE, MTWARA
9 years ago
VijimamboRAIS KIKWETE AZINDUA KIWANDA CHA SARUJI CHA DANGOTE MTWARA
Sehemu ya wafanyakazi wa kiwanda kipya cha Saruji cha Dangote Alhaj Aliko Dangote wakati wa sherehe za kuzindua kiwanda hicho.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Alhaj Aliko Dangote wakikata utepe kuashiria...
11 years ago
MichuziTASWIRA ZA KIWANDA KIKUBWA CHA SARUJI KULIKO VYOTE DUNIANI CHA DANGOTE, NIGERIA
Kwa sasa Kiwanda hicho kinazalisha tani za kimetriki milioni 10.25 kwa mwaka na hivyo kukifanya kiwanda hicho kuwa kiwanda kikubwa zaidi cha saruji duniani kilichoko katika eneo moja.
Baada ya upanuzi unaoendelea kufanywa kwenye kiwanda hicho, uwezo wake wa uzalishaji...
9 years ago
MichuziJK alipozindua kiwanda cha saruji cha Dangote Mtwara
Rais Kikwete akikata utepe katika sherehe za uzinduzi wa kiwanda cha kutengeneza Saruji cha Dangote eneo la Msijute mkoani Mtwara Jumamosi Oktoba 10, 2015 Rais Kikwete akifunua pazia katika sherehe za uzinduzi wa kiwanda cha kutengeneza Saruji cha Dangote eneo la Msijute mkoani Mtwara Jumamosi Oktoba 10, 2015 Rais Kikwete akiweka sahihi katika kitabu cha wageni katika sherehe za uzinduzi wa kiwanda cha kutengeneza Saruji cha Dangote eneo la Msijute mkoani Mtwara Jumamosi Oktoba 10, 2015
10 years ago
Habarileo23 Aug
Menejimenti ya kiwanda cha Dangote yabanwa
KATIBU Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, Eliakim Maswi ameijia juu menejimenti inayosimamia ujenzi wa kiwanda cha saruji cha Dangote, kwa kutowapatia fursa wahandisi wazawa kushiriki katika ujenzi na uendeshwaji wa mradi huo.
10 years ago
Habarileo28 Aug
Kiwanda cha Dangote kuzalisha saruji mwakani
KIWANDA cha saruji cha Kampuni ya Dangote, kinachojengwa mkoani Mtwara kinatarajia kukamilika ujenzi wake na kuanza uzalishaji wa saruji mwishoni mwa mwaka 2015, ambapo mwekezaji wake, raia wa Nigeria, Aliko Dangote, amesema kiwanda hicho kitakuwa moja ya viwanda bora duniani.
10 years ago
CloudsFM27 Nov
BILIONEA DANGOTE AKAGUA UJENZI WA KIWANDA CHAKE CHA SARUJI MTWARA
Mwenyekiti na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Viwanda vya Dangote (Dangote Industries Group), mfanyabiashara maarufu Afrika, Alhaji Aliko Dangote akitumia gari kukagua maendeleo ya ujenzi wa kiwanda chake kikubwa cha saruji katika Kijiji cha Msijute, mkoani Mtwara leo.Mwenyekiti na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Viwanda vya Dangote (Dangote Industries Group), mfanyabiashara maarufu Afrika, Alhaji Aliko Dangote (kushoto) akizungumza na Mwakilishi Mkazi wa Dangote nchini, Esther Baruti kwenye Uwanja wa Ndege...
10 years ago
Dewji Blog07 Nov
DANGOTE akagua maendeleo ya ujenzi wa kiwanda chake kikubwa cha Saruji Mtwara
Mwenyekiti na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Viwanda vya Dangote (Dangote Group of Industries), Alhaji Aliko Dangote (kulia) mfanyabiashara maarufu kutoka Nigeria, akiteremka kwenye ndege alipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Mtwara, kwenda kukagua maendeleo ya ujenzi wa kiwanda kikubwa cha saruji kinachojengwa mkoani humo.,
Dangote akilakiwa na Mwakilishi Mkazi wa kampuni hiyo nchini, Esther Baruti (kushoto)
Dangote akisalimiana na Balozi Mdogo wa Nigeria nchini, Adamu Mussa
Dangote...
9 years ago
MichuziBILIONEA DANGOTE AKAGUA MAENDELEO YA UJENZI WA KIWANDA CHAKE CHA SARUJI MTWAR
Magazeti ya Leo
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10