CCM ya ahidi kujenga kiwanda cha kusindika kahawa na mahindi.
Mgombea mwenza wa Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Samia Suluhu Hassan ameahidi kujengwa kiwanda cha kusindika kahawa na mahindi kwa wakulima wa mazao hayo akiwataka kufanya maamuzi ya kumchagua mgombea Urais kupitia chama hicho Dokta John Magufuli ili aweze kukamilisha mpango huo.
Mgombea Mwenza huyo ambaye amemaliza ziara mkoani Ruvuma na kuelekea Pwani amesema hakuna sababu ya wakulima wa mazao hayo kuhangaikia soko wakati kuna uwezekano wa kuyafanya mazao hayo kuwa na thamani...
StarTV
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mzalendo Zanzibar21 Sep
Shein: Mkinichagua nitajenga kiwanda cha kusindika samaki.
NA WAANDISHI WETU 21st September 2015 Mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Ali Mohammed Shein (pichani), ameahidi kuwa akichaguliwa serikali yake itajenga kiwanda cha kisasa cha kusindika samaki kwenye makopo […]
The post Shein: Mkinichagua nitajenga kiwanda cha kusindika samaki. appeared first on Mzalendo.net.
9 years ago
Habarileo16 Aug
NEMC yafunga kiwanda cha kusindika punda Dom
BARAZA la Taifa la Usimamizi wa Mazingira (NEMC) limefungia na kukitoza faini ya Sh milioni 200 kiwanda cha kusindika nyama ya punda cha Huwacheng kilichopo katika Kata ya Kizota, mjini hapa.
9 years ago
GPLNEMC IMEKIFUNGA KIWANDA CHA KUSINDIKA NYAMA YA PUNDA, DODOMA
10 years ago
MichuziKIWANDA CHA KONYAGI CHAZINDUA KINYWAJI CHA ZANZI CHENYE LADHA ZA CHOCOLATE NA KAHAWA
Mgwassa akielezea ubora wa vinywaji hivyo.
Meneja Masoko wa TDL, Joseph Chibehe...
11 years ago
Mwananchi25 Mar
Mgogoro Kiwanda cha kahawa Moshi wafukuta
11 years ago
Mwananchi06 Jan
Kiwanda cha kahawa chatengewa Sh52 milioni
10 years ago
MichuziNAIBU WAZIRI WA KILIMO AZINDUA KIWANDA KIPYA CHA KUZALISHA MBEGU BORA ZA MAHINDI JIJINI ARUSHA
Uzinduzi huo uliongozwa na Naibu Waziri wa Kilimo na Chakula Godifrey Zambi ambaye alifungua rasmi kiwanda hicho ,Amesema kuwa tasnia ya mbegu ni tasnia muhimu katika ukuaji wa sekta ya kilimo hiyo amewataka wazalishaji mbegu kuongeza tija ili kukuza kilimo.
Ameeleza kuwa kampuni hiyo imetimiza matakwa ya serikali...
9 years ago
Habarileo14 Sep
Aahidi kujenga kiwanda cha korosho
MGOMBEA Mwenza wa urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan amesema iwapo mgombea urais wa chama hicho, Dk John Magufuli atapata ridhaa ya kuunda serikali ya awamu ya tano, atajenga kiwanda cha kisasa cha kubangua na kufungasha korosho katika wilaya ya Mkuranga.
10 years ago
MichuziNEWS ALERT: MAITI YAOKOTWA KWENYE MAJI MACHAFU KARIBU NA KIWANDA CHA KAHAWA (COFFEE CURING), MKOANI KILIMANJARO MUDA HUU