Bilioni Mbili kutengwa kwa ajili ya kusaidia utafiti wa zao la Korosho
![](http://4.bp.blogspot.com/-_4VpB64T0rk/VkxWeOujQYI/AAAAAAAIGiQ/ixNGoCOrv84/s72-c/viwanda%252Bpicha.jpg)
Na Lorietha Laurence-Maelezo
Bodi ya Korosho Tanzania imeadhima kutoa asilimia 7 ya mapato yake sawa na shilingi bilioni mbili kwa ajili ya kusaidia utafiti wa zao hilo unaofanywa na kituo cha utafiti cha Naliendele.
Akiongea wakati wa kufunga kwa mkutano wa tatu wa kimataifa uliowahusisha wadau kutoka nchi mbalimbli duniani ,Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Korosho Tanzania Bw. Muhidhiri Muhidhiri amesema kuwa changamoto kubwa wanayokabiliana nayo ni ukosefu wa fedha kwa ajili ya...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziMFUKO WA ZAO LA KOROSHO WATENGA BILIONI 6 KUJENGA VIWANDA VYA KUBANGUA KOROSHO.
Akizungumza katika hafla ya utiaji saini wa mikataba baina ya mfuko huo na wataalamu washauri jana (Jumatano Mei 6, 2015), Mwenyekiti wa Bodi ya...
10 years ago
Dewji Blog06 May
Mfuko wa kuendeleza zao la Korosho watenga bilioni 6 kujenga viwanda vya kubangulia Korosho
Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Korosho Tanzania, Mundhir Mundhir akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) leo Jijini Dar es Salaam wakati wa hafla ya utiaji saini wa mikataba ya ujenzi wa viwanda vitatu vya korosho katika Wilaya za Mtwara, Tunduru na Mkuranga kati ya Mfuko Mfuko wa kuendeleza Zao la Korosho Nchini na wataalamu washauri wa kutoka Chuo Kikuu cha Ardhi cha Jijni Dar es Salaam na Shule ya Elimu ya Biashara katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Kulia ni Katibu Mtendaji...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-SDHZipv-ba4/XvGIGpoLA0I/AAAAAAALvAQ/M0sx7_rinJAN89s7qrrpchYUigW2YxNRACLcBGAsYHQ/s72-c/Korosho.jpg)
UTAFITI WAWAUMBUA WALAGHAI WA ZAO LA KOROSHO
![](https://1.bp.blogspot.com/-SDHZipv-ba4/XvGIGpoLA0I/AAAAAAALvAQ/M0sx7_rinJAN89s7qrrpchYUigW2YxNRACLcBGAsYHQ/s640/Korosho.jpg)
…………………………………………………………………………..
Korosho haiharibiki kwa kukaa ghalani zaidi ya mwaka
Na Mwandishi Wetu –Maelezo Mtwara
Kaimu Mkurugenzi wa Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (TARI) Dkt. Fortunatus Kapinga amesema kuwa zao la korosho lina uwezo wa kukaa zaidi ya mwaka mmoja ghalani bila kuharibika na korosho hiyo inapopelekwa sokoni inakuwa na ubora uleule unaotakiwa katika soko.
Dkt Kapinga amesema hayo alipohojiwa na Idara ya Habari (Maelezo) ofisini kwake katika kituo cha...
10 years ago
GPLDIWANI WA KATA YA VIJIBWENI ATOA PIKIPIKI MBILI KWA AJILI YA KUSAIDIA UCHAGUZI WA VIONGOZI WA SERIKALI ZA MITAA
10 years ago
GPLDIWANI WA KATA YA VIJIBWENI (CCM), ATOA PIKIPIKI MBILI KWA AJILI YA KUSAIDIA UCHAGUZI WA VIONGOZI WA SERIKALI ZA MITAA
5 years ago
CCM BlogSERIKALI: DAWA YA CORONA AMBAYO MADAGASCAR IMETOA MSAADA KWA TANZANIA NI KWA AJILI YA UTAFITI
Dar es Salaam, Tanzania
Serikali kupitia Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, imesema dawa ambayo nchi ya Madagascar imeitoa kama msaada wa Serikali ya Tanzania ni kwa ajili ya utafiti kwanza.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof....
10 years ago
Habarileo05 Mar
SIDA yatoa bilioni 40/- kwa utafiti
SHIRIKA la Kimataifa la Maendeleo la Sweden (SIDA) kupitia baraza la utafiti limetoa Sh bilioni 40 kwa ajili ya shughuli za utafiti pamoja na kusomesha walimu wa taasisi za elimu ya juu katika kipindi cha miaka mitatu ijayo.
5 years ago
MichuziSERIKALI: DAWA YA COVID 19 KUTOKA MADAGASCAR NI KWA AJILI YA UTAFITI
Serikali kupitia Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, imesema kuwa dawa ambayo nchi ya Madagascar imeitoa kama msaada wa Serikali ya Tanzania ni kwa ajili ya utafiti kwanza.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Palamagamba John Kabudi (Mb) amewaambia waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam kuwa dawa hiyo inayojulikana kaitaalamu kama "COVIDORGANICS" ni kwa ajili ya utafiti na siyo kwa ajili ya matumizi ya binadamu.
"Huu mzigo (dawa) ni...
9 years ago
Michuzi21 Dec
‘BILIONI 137 ZIMETENGWA KWA AJILI YA ELIMU YA BURE’
![maj2](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/12/maj21.jpg)
* Awaonya Wakurugenzi, Maafisa elimu.
SERIKALI imekwishatenga kiasi cha sh. bilioni 137 kwa ajili ya kugharamia utoaji wa elimu ya bure kuanzia Januari hadi Juni, mwakani.
Kauli hiyo imetolewa jana jioni (Jumapili, Desemba 20, 2015) na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa wakati akizungumza na mamia ya wananchi waliofika kumsikiliza kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye uwanja wa uwanja wa mikutano wa Likangala wilayani Ruangwa, mkoani Lindi.
“Kazi ya utumbuaji majipu imezaa matunda kwani...