SERIKALI: DAWA YA CORONA AMBAYO MADAGASCAR IMETOA MSAADA KWA TANZANIA NI KWA AJILI YA UTAFITI
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Palamagamba Kabudi, akiwaonyesha dawa ambayo Madagascar imetoa msaada kwa Tanzania, alipozungumza na Waandishi wa habari Jijini Dae es Salaam, leo.
Dar es Salaam, Tanzania
Serikali kupitia Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, imesema dawa ambayo nchi ya Madagascar imeitoa kama msaada wa Serikali ya Tanzania ni kwa ajili ya utafiti kwanza.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof....
CCM Blog
Habari Zinazoendana
5 years ago
MichuziSERIKALI: DAWA YA COVID 19 KUTOKA MADAGASCAR NI KWA AJILI YA UTAFITI
Serikali kupitia Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, imesema kuwa dawa ambayo nchi ya Madagascar imeitoa kama msaada wa Serikali ya Tanzania ni kwa ajili ya utafiti kwanza.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Palamagamba John Kabudi (Mb) amewaambia waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam kuwa dawa hiyo inayojulikana kaitaalamu kama "COVIDORGANICS" ni kwa ajili ya utafiti na siyo kwa ajili ya matumizi ya binadamu.
"Huu mzigo (dawa) ni...
5 years ago
MichuziMADAGASCAR YAIPATIA TANZANIA MSAADA WA DAWA YA CORONA
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Palamagamba John Kabudi ameyasema hayo wakati akipokea msaada...
5 years ago
CCM BlogTANZANIA YAPEWA NA MADAGASCAR MSAADA WA DAWA YA CORONA
5 years ago
CCM BlogTANZANIA HAIJALEGALEGA KATIKA KUPAMBANA NA CORONA, YAPATA MSAADA WA DAWA KUTOKA MADAGASCAR
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Palamagamba John Kabudi ameyasema hayo wakati akipokea msaada wa dawa...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-lW3sx7lzaak/XruQ2DdMw8I/AAAAAAALp_k/5UTSQb5ZKOklc1W9A2Ri0_1Y3nAIY15cgCLcBGAsYHQ/s72-c/Pc-4-768x677.jpg)
IKUPA ATOA MSAADA WA VIFAA KWA AJILI YA KUKABILIANA NA UGONJWA WA CORONA KWA SHIRIKISHO LA VYAMA VYA WATU WENYE ULEMAVU (SHIVYAWATA)
![](https://1.bp.blogspot.com/-lW3sx7lzaak/XruQ2DdMw8I/AAAAAAALp_k/5UTSQb5ZKOklc1W9A2Ri0_1Y3nAIY15cgCLcBGAsYHQ/s640/Pc-4-768x677.jpg)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/05/Pc-5.jpg)
Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Watu Wenye Ulemavu Mhe. Stella Ikupa (katikati) akimwangalia Mwenyekiti wa Shirikisho la Vyama vya Watu wenye Ulemavu (SHIVYAWATA)...
5 years ago
BBCSwahili03 May
Virusi vya Corona: Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli atuma ndege Madagascar kuchukua 'dawa ya corona'
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-uZVWTB2gTcY/XqbnTgtH9TI/AAAAAAALoWs/o65WtXc8UFwB_Ekl_oIf8qTsmP0h42TjwCLcBGAsYHQ/s72-c/68dcd0fd-6956-48bc-a6f1-6ee3fe666517.jpg)
UWASWATA kutoa msaada wa Sabuni kwa ajili ya kupambana na virusi vya Corona.
![](https://1.bp.blogspot.com/-uZVWTB2gTcY/XqbnTgtH9TI/AAAAAAALoWs/o65WtXc8UFwB_Ekl_oIf8qTsmP0h42TjwCLcBGAsYHQ/s640/68dcd0fd-6956-48bc-a6f1-6ee3fe666517.jpg)
Sabuni hizo zitatolewa kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda ambaye atatoa sabuni hizo kutokana na uhitaji wa hospitali.
Akizungumza na Michuzi TV Katibu wa Umoja huo Maria Lucas amesema kuwa hawawezi kuiachia serikali peke yake katika mapambano ya Virusi vya Corona.
Amesema Wana sabuni...
5 years ago
BBCSwahili08 May
Virusi vya corona: Tanzania yapokea shehena ya 'Dawa' ya Madagascar
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-qtMEq3KMi9s/XrbJYe8s7jI/AAAAAAALplI/oQb_jMr3Ba0VT7wWBsoI7aQWszuv99S_gCLcBGAsYHQ/s72-c/PHOTO-2020-05-09-15-48-32.jpg)
Dawa ya Taasisi ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR) yatoa mwanga wa matumaini kwa wagonjwa wa corona
![](https://1.bp.blogspot.com/-qtMEq3KMi9s/XrbJYe8s7jI/AAAAAAALplI/oQb_jMr3Ba0VT7wWBsoI7aQWszuv99S_gCLcBGAsYHQ/s640/PHOTO-2020-05-09-15-48-32.jpg)
DAWA iliyofanyiwa kazi na Taasisi ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR), imetoa mwanga wa matumaini kwa wagonjwa wa homa kali ya mapafu, inayosababishwa na virusi vya corona.
Dawa hiyo iliyopewa jina la NIMRCAF (pichani), inatokana na mchanganyiko wa vyakula; na katika majaribio imeonesha ina uwezo mkubwa wa kudhibiti virusi vya corona.
Akielezea mchanganyiko huo, Mkurugenzi wa Kitengo cha Tiba Asili cha NIMR, Dk Justine Omolo alisema ni fomula ya tiba lishe, ambayo ina mchanganyiko wa...