TANZANIA HAIJALEGALEGA KATIKA KUPAMBANA NA CORONA, YAPATA MSAADA WA DAWA KUTOKA MADAGASCAR
Tanzania imesema haijalegalega wala kujitenga katika kupambana na maradhi ya Corona badala yake imetoa uongozi madhubuti katika kuratibu na kuunda timu ya wataalamu wa nchi za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika SADC kuandaa muongozo na utaratibu wa kukabiliana na ugonjwa huo ikiwa ni pamoja na kutafuta njia za kupunguza nguvu au kuleta ya ugonjwa huo.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Palamagamba John Kabudi ameyasema hayo wakati akipokea msaada wa dawa...
CCM Blog
Habari Zinazoendana
5 years ago
CCM BlogTANZANIA YAPEWA NA MADAGASCAR MSAADA WA DAWA YA CORONA
5 years ago
MichuziMADAGASCAR YAIPATIA TANZANIA MSAADA WA DAWA YA CORONA
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Palamagamba John Kabudi ameyasema hayo wakati akipokea msaada...
5 years ago
CCM BlogSERIKALI: DAWA YA CORONA AMBAYO MADAGASCAR IMETOA MSAADA KWA TANZANIA NI KWA AJILI YA UTAFITI
Dar es Salaam, Tanzania
Serikali kupitia Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, imesema dawa ambayo nchi ya Madagascar imeitoa kama msaada wa Serikali ya Tanzania ni kwa ajili ya utafiti kwanza.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof....
5 years ago
BBCSwahili27 Apr
Virusi vya corona: Senegal yakanusha kuagiza dawa ya mitishamba kutoka Madagascar
5 years ago
BBCSwahili03 May
Virusi vya Corona: Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli atuma ndege Madagascar kuchukua 'dawa ya corona'
5 years ago
BBCSwahili06 Apr
Virusi vya corona: Je msaada wa Jack Ma Afrika una umuhimu gani katika kupambana na janga la corona?
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-wmHQOOIaxXs/XrZ33guAaTI/AAAAAAALpis/34kXtbihc9Qu5RbCtxuZOdFN3ifuK6gDwCLcBGAsYHQ/s72-c/WhatsApp%2BImage%2B2020-05-09%2Bat%2B11.17.22.jpeg)
PROF. KABUDI KATIKA MKUTANO NA WAANDISHI WA HABARI KUZUNGUMZIA DAWA YA CORONA YA MADAGASCAR
![](https://1.bp.blogspot.com/-wmHQOOIaxXs/XrZ33guAaTI/AAAAAAALpis/34kXtbihc9Qu5RbCtxuZOdFN3ifuK6gDwCLcBGAsYHQ/s640/WhatsApp%2BImage%2B2020-05-09%2Bat%2B11.17.22.jpeg)
![](https://1.bp.blogspot.com/-a93KFujMV_w/XrZ33gRtfhI/AAAAAAALpiw/E8dQAiWGr38rQTcdy2pG0O5Xmdy5N-d9wCLcBGAsYHQ/s640/WhatsApp%2BImage%2B2020-05-09%2Bat%2B11.17.28.jpeg)
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-3DDLNfZ4FIE/Xr-E9irVTFI/AAAAAAALqbo/TGgxZmlraCApvtwOl6ep1lrvUNZDivtDwCLcBGAsYHQ/s72-c/97dcc94a-538e-484e-abbb-f91eb432a7e8.jpg)
5 years ago
BBCSwahili08 May
Virusi vya corona: Tanzania yapokea shehena ya 'Dawa' ya Madagascar