Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WHC kutoa mikopo ya nyumba bila masharti

NA KOKU DAVID, DAR ES SALAAM
TAASISI ya Mpango wa Makazi kwa Watumishi (WHC) inatarajia kutoa mkopo wa nyumba za bei nafuu kwa watumishi wa umma bila masharti yoyote.
Akizungumza na MTANZANIA jana, Meneja Masoko wa WHC, Raphael Mwabukonde, alisema hakutakuwa na masharti yoyote kwa mtumishi atakayetaka kukopa kwa sababu watadhaminiwa na Serikali.
Alisema taasisi hiyo imeanzishwa kwa lengo la kuwawezesha watumishi wa umma kupata makazi bora baada ya kustaafu, hivyo Serikali iliamua kuwadhamini...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Benki ya CBA kuuza nyumba za kampuni Avic kwa mikopo ya masharti nafuu

 

cba 2

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CBA Tanzania  Bw.Julius Mcharo (katikati) akiwa pamoja na maofisa wa CBA na  Avic International Real Estate wakiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani)  muda mfupi kabla ya kusaini mkataba ambapo CBA itawakopesha wateja wanaotaka kununua nyumba zilizojengwa na kampuni hiyo katika eneo la Kigamboni jijini Dar es Salaam.

cba 8

Mkuu wa Kitengo cha wateja binafsi wa Benki ya CBA,Bi.Hyasintha Mwimanzi akiwaleza waandishi wa habari  utaratibu wa mkopo wa nyumba...

 

11 years ago

Habarileo

Polisi wataka mifuko ya jamii kutoa mikopo ya nyumba

ASKARI wa jeshi la polisi mkoani Mara wameiomba Mamlaka ya Usimamizi wa Mifuko ya Jamii (SSRA) kukaa na mifuko ya hifadhi ya jamii iweze kutoa mikopo ya nyumba kwa askari hao.

 

10 years ago

Habarileo

WHC watenga bilioni 400/- ujenzi wa nyumba

TAASISI ya Watumishi Housing Company imetenga Sh bilioni 400 kwa ajili ya ujenzi wa nyumba za watumishi wa Serikali katika mikoa 13 nchini. Ujenzi wa nyumba hizo unatarajiwa kuanza Oktoba mwaka huu.

 

11 years ago

Mwananchi

WHC kumaliza kero za nyumba kwa watumishi?

Kuwa na makazi ni moja ya mahitaji muhimu ya binadamu, kwa kutambua hilo Serikali imekuwa ikifanya jitihada mbalimbali kuwawezesha watumishi wake na wananchi kwa jumla kupitia mashirika mbalimbali, waweze kumiliki nyumba hata kwa njia ya mkopo.

 

11 years ago

Tanzania Daima

WHC yadhamiria kuwamilikisha nyumba watumishi wa umma

TAKWIMU zinaonyesha kwamba kuna mahitaji ya nyumba milioni tatu nchini na kila mwaka zinatakiwa nyumba 200,000. Wakati takwimu zikionyesha hivyo, ni asilimia mbili tu ya watu wanaojenga kupitia mikopo ya...

 

5 years ago

Michuzi

BODI YA MIKOPO YATAKIWA KUWA TAYARI KUTOA MIKOPO KWA WANAFUNZI PINDI VYUO VITAKAPOFUNGULIWA

 Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof Joyce Ndalichako akizungumza na Menejimenti ya Bodi ya Mikopo ya wanafunzi wa elimu ya Juu (hawapo pichani)wakati alipofanya ziara Leo Jijini Dar es Salaam. Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Mikopo ya wanafunzi wa Elimu ya Juu Abdul-Razaq Badru akizungumza wakati  Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Joyce Ndalichako alipofanya ziara katika ofisi zao  zilizopo eneo la Tazara jijini Dar es Salaam. Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Mikopo ya...

 

11 years ago

Mwananchi

UVCCM walalamikia masharti ya mikopo

Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), katika Wilaya ya Moshi, mkoani Kilimanjaro, umeitaka halmashauri ya wilaya hiyo, kuacha urasimu katika utoaji mikopo kwa vijana.

 

10 years ago

Michuzi

WANAWAKE WATAKIWA KUJIUNGA TAASISI ZA FEDHA ZENYE MASHARTI NAFUU YA MIKOPO

Na Chalila Kibuda,Globu ya JamiiWANAWAKE wametakiwa kujiunga katika taasisi za fedha ambazo zinaainisha mikopo ya wajasiriamali hiyo itasaidia wanawake kujikwamua na umasikini.
Hayo ameyasema leo Waziri wa Maendeleo ya Jamii,Jinsia na Watoto,Sophia Simba wakati wa uzinduzi wa mpango Fanikisha Plus  wa wajasirimali unaondeshwa na benki ya Equity iliyofanyika leo katika ukumbi JB,Belmote jijini Dar es Salaam.
Sophia amesema wanawake umefika wakati kutumia fursa ambazo taasisi za fedha zenye...

 

11 years ago

Habarileo

Aliyeua mke bila kukusudia aachwa huru kwa masharti

MAHAKAMA Kuu Tanzania Kanda ya Sumbawanga mkoani Rukwa, imemwachia huru kwa masharti, Evod Johannes (34) maarufu Luvanda, baada ya kukiri kumuua mke wake bila kukusudia.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani