Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TTB yavuna faida ya Sh 400 bilioni

Wakati ikiandaa awamu ya pili ya Maonyesho ya Kimataifa ya Utalii (Site), Bodi ya Utalii nchini (TTB) inajivunia ongezeko la zaidi ya Sh400 bilioni kwenye sekta hiyo tangu kuanzishwa kwa maonyesho hayo mwaka jana.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

NBC yavuna faida kabla ya kodi

Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imepata faida kabla ya kodi ya Sh14.3 bilioni kulinganisha na mwaka 2012 ilipopata Sh3.9. Hilo ni ongezeko la zaidi ya Sh10.4 bilioni.

 

10 years ago

Habarileo

WHC watenga bilioni 400/- ujenzi wa nyumba

TAASISI ya Watumishi Housing Company imetenga Sh bilioni 400 kwa ajili ya ujenzi wa nyumba za watumishi wa Serikali katika mikoa 13 nchini. Ujenzi wa nyumba hizo unatarajiwa kuanza Oktoba mwaka huu.

 

9 years ago

Michuzi

NMB Yapata Faida shilingi bilioni 77

Mkurugenzi  Mtendaji  wa NMB-Ineke Bussemaker akitangaza matokeo ya kifedha ya nusu mwaka mbele ya Waandishi wa Habari katika Ofisi Mpya za NMB Makao Makuu jana. NMB ilitanganza faida baada ya kodi ya shilingi bilioni 77 ikiwa zaidi ya faida ya mwaka jana kipindi hicho hicho ambayo ilikua shilingi bilioni 72/-. Kushoto ni Afisa Mkuu wa Fedha wa NMB-Waziri Barnabas.

 

10 years ago

Mwananchi

DTB yapata faida Sh20 bilioni

Benki ya Diamond Trust (DTB) imepata faida ya Sh20 bilioni kabla ya kodi kwa hesabu za mwaka 2014, ikiwa ni ongezeko la asilimia 25 ikilinganishwa na mwaka 2013.

 

11 years ago

Mwananchi

BOA Tanzania yapata faida ya Sh5 bilioni

 Benki ya Afrika (BOA) imeongeza faida yake kwa asilimia 63 na kupata Sh5.4 bilioni mwaka 2013 kabla ya kodi, ikilinganishwa na faida ya Sh3.3 bilioni iliyopatikana mwaka 2012.

 

9 years ago

GPL

NMB YAPATA FAIDA SHILINGI BILIONI 77‏

Mkurugenzi Mtendaji wa NMB-Ineke Bussemaker akitangaza matokeo ya kifedha ya nusu mwaka mbele ya Waandishi wa Habari katika Ofisi Mpya za NMB Makao Makuu jana. NMB ilitanganza faida baada ya kodi ya shilingi bilioni 77 ikiwa zaidi ya faida ya mwaka jana kipindi hicho hicho ambayo ilikua shilingi bilioni 72/-. Kushoto ni Afisa Mkuu wa Fedha wa NMB-Waziri Barnabas. ...

 

10 years ago

Dewji Blog

Wateja wa Tigo Pesa kuvuna faida ya bilioni 3.3 kwenye malipo ya kila robo mwaka

4322-tigo

Kampuni ya Tigo Tanzania imetangaza malipo ya faida ya hisa za tigo pesa kwa wateja wake katika robo mwaka mwingine, malipo haya ni jumla ya kiasa cha pesa bilioni 3.314 sawa na dola za kimarekani milioni 1.8. Huu ni ugawaji wa faida ya robo ya pili kwa mwaka huu.

Lengo letu ni kuhakikisha kuwa wadau wote wa Tigo Pesa, ambao ni pamoja na wateja binafsi, mawakala wa reja reja na washirika wetu wa kibiashara ambao watashiriki kwenye gawio la faida hii ni kutokana na thamani ya kietronikia...

 

5 years ago

Michuzi

BENKI YA TPB YAPATA FAIDA YA SHILINGI BILIONI 15.9 KWA MWAKA UNAOISHIA DESEMBA 31,2019


Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya TPB Dk. Edmund Mndolwa,(kushoto) akizungumza na waandishi wa habari hawapo pichani jijini Dar es Salaam wakati wa kutoa tarifa ya kupata faida ya kodi ya Sh.bilioni 15.9 kwa mwaka Desemba 2019.Kulia ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki hiyo, Sabasaba Mushingi.
Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya TPB Sabasaba Moshingi,(kulia) akizungumza na waandishi wa habari hawapo pichani Jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki wakati wa kutoa tarifa ya kupata faida ya ...

 

10 years ago

Michuzi

SERIKALI YAPATA GAWIO LA FAIDA LA SHILINGI BILIONI 3 KUTOKA KAMPUNI YA PUMA ENERGY TANZANIA LIMITED

Waziri wa Fedha, Mh. Saada Mkuya Salum (wa pili kulia) akiwa na Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Dr. Servacius Likwelile pamoja na Msajili wa Hazina, Nd. Lawrence Mafuru wakipokea hundi ya mfano ya shilingi Bilioni 3 kutoka Kampuni ya Puma Energy Tanzania Limited iliyokabidhiwa na Mkuu wa Puma Energy Tanzania Limited, Nd. Philippe Corsaletti. Waziri wa Fedha, Mh. Saada Mkuya Salum akiwashukuru watendaji wakuu wa Puma Energy Tanzania Limited kwa kuwasilisha kwa Serikali gawio la faida la...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani