BOA Tanzania yapata faida ya Sh5 bilioni
 Benki ya Afrika (BOA) imeongeza faida yake kwa asilimia 63 na kupata Sh5.4 bilioni mwaka 2013 kabla ya kodi, ikilinganishwa na faida ya Sh3.3 bilioni iliyopatikana mwaka 2012.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi
SERIKALI YAPATA GAWIO LA FAIDA LA SHILINGI BILIONI 3 KUTOKA KAMPUNI YA PUMA ENERGY TANZANIA LIMITED


10 years ago
Mwananchi25 Mar
DTB yapata faida Sh20 bilioni
Benki ya Diamond Trust (DTB) imepata faida ya Sh20 bilioni kabla ya kodi kwa hesabu za mwaka 2014, ikiwa ni ongezeko la asilimia 25 ikilinganishwa na mwaka 2013.
10 years ago
Michuzi
NMB Yapata Faida shilingi bilioni 77

10 years ago
GPLNMB YAPATA FAIDA SHILINGI BILIONI 77
Mkurugenzi Mtendaji wa NMB-Ineke Bussemaker akitangaza matokeo ya kifedha ya nusu mwaka mbele ya Waandishi wa Habari katika Ofisi Mpya za NMB Makao Makuu jana. NMB ilitanganza faida baada ya kodi ya shilingi bilioni 77 ikiwa zaidi ya faida ya mwaka jana kipindi hicho hicho ambayo ilikua shilingi bilioni 72/-. Kushoto ni Afisa Mkuu wa Fedha wa NMB-Waziri Barnabas. ...
5 years ago
Michuzi
BENKI YA TPB YAPATA FAIDA YA SHILINGI BILIONI 15.9 KWA MWAKA UNAOISHIA DESEMBA 31,2019

Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya TPB Dk. Edmund Mndolwa,(kushoto) akizungumza na waandishi wa habari hawapo pichani jijini Dar es Salaam wakati wa kutoa tarifa ya kupata faida ya kodi ya Sh.bilioni 15.9 kwa mwaka Desemba 2019.Kulia ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki hiyo, Sabasaba Mushingi.

Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya TPB Sabasaba Moshingi,(kulia) akizungumza na waandishi wa habari hawapo pichani Jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki wakati wa kutoa tarifa ya kupata faida ya ...
11 years ago
Michuzi.jpg)
TANZANIA YAPATA BILIONI 24.1 TOKA JAPAN KUSAIDIA BAJETI YA SERIKALI
Wakati wizara ya fedha ikiendelea na majadiliano ya Bajeti ya Serikali mjini Dodoma, Serikali ya Japan imetoa kiasi cha Yen za Kijapani bilioni 1.5 ambazo ni sawa na shilingi bilioni 24.1 za kitanzania kutoka Serikali ya Japani kwa ajili ya shughuli za maendeleo hapa nchini.
Akizungumza katika hafla hiyo ya kutiliana saini, Waziri Mkuya aliishukuru Serikali ya Japani kwa kuwa na ushirikiano mzuri na Tanzania.
“Mkopo huu utachangia bajeti ya serikali ya mwaka wa fedha wa 2014/2015, na...
11 years ago
Mwananchi08 May
EU yamwaga Sh5 bilioni EAC
Jumuiya ya Ulaya (EU), jana ilitoa msaada wa Euro 2.3 milioni (Sh5.7 bilioni) kwa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), kusadia vita dhidi ya maharamia na uhalifu wa majini Ukanda wa Kusini mwa Afrika.
11 years ago
Mwananchi04 Jun
Kizimbani kwa pembe za ndovu za Sh5 bilioni
Wafanyabiashara wawili wakazi wa Dar es Salaam wamepandishwa kizimbani mbele ya Hakimu Frank Moshi wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jana na kusomewa mashtaka matatu ya kufanya biashara ya pembe za ndovu zenye thamani ya zaidi ya Sh5.4 bilioni.
10 years ago
Mwananchi27 Apr
Sh5 bilioni za Tanesco ‘zamezwa’ na vipuri chakavu
Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), limetumia zaidi ya Sh5 bilioni kukarabati mitambo chakavu ambayo imekuwa chanzo cha kukatika kwa umeme mara kwa mara na kusababisha kusuasua kwa shughuli za maendeleo.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
06-May-2025 in Tanzania