Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Sh5 bilioni za Tanesco ‘zamezwa’ na vipuri chakavu

Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), limetumia zaidi ya Sh5 bilioni kukarabati mitambo chakavu ambayo imekuwa chanzo cha kukatika kwa umeme mara kwa mara na kusababisha kusuasua kwa shughuli za maendeleo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

EU yamwaga Sh5 bilioni EAC

Jumuiya ya Ulaya (EU), jana ilitoa msaada wa Euro 2.3 milioni (Sh5.7 bilioni) kwa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), kusadia vita dhidi ya maharamia na uhalifu wa majini Ukanda wa Kusini mwa Afrika.

 

11 years ago

Mwananchi

Uchaguzi Serikali za Mitaa watengewa Sh5 bilioni

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda jana aliwasilisha bungeni, bajeti ya ofisi yake na mfuko wa Bunge inayofikia Sh5.21 trilioni. Kati ya hizo, Sh5 bilioni zimetengwa kwa ajili ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliopangwa kufanyika baadaye mwaka huu.

 

11 years ago

Mwananchi

BOA Tanzania yapata faida ya Sh5 bilioni

 Benki ya Afrika (BOA) imeongeza faida yake kwa asilimia 63 na kupata Sh5.4 bilioni mwaka 2013 kabla ya kodi, ikilinganishwa na faida ya Sh3.3 bilioni iliyopatikana mwaka 2012.

 

11 years ago

Mwananchi

Kizimbani kwa pembe za ndovu za Sh5 bilioni

Wafanyabiashara wawili wakazi wa Dar es Salaam wamepandishwa kizimbani mbele ya Hakimu Frank Moshi wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jana na kusomewa mashtaka matatu ya kufanya biashara ya pembe za ndovu zenye thamani ya zaidi ya Sh5.4 bilioni.

 

11 years ago

Mwananchi

Serikali kulipa riba Sh5 bilioni deni la miezi sita

Serikali italazimika kulipa hasara ya zaidi ya Sh5.2 bilioni (Dola za Marekani milioni 3.1) ambazo ni riba ya malimbikizo ya malipo ya miezi sita kwa Kampuni ya Jacobsen Elekron AS inayotekeleza awamu ya kwanza ya mradi wa umeme wa Kinyerezi, Dar es Salaam.

 

10 years ago

Habarileo

PPF yaikopesha Tanesco bilioni 30/-

Mkurugenzi wa Vitegauchumi wa PPF, Selestine SomeMFUKO wa Pensheni wa PPF kwa kushirikiana na taasisi nyingine za fedha, umetoa mikopo kwa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) yenye thamani ya Sh bilioni 30 kwa ajili ya uboreshwaji wa miundombinu ya umeme.

 

10 years ago

Mwananchi

Deni la Sh275 bilioni lailiza Tanesco

Dar es Salaam. Shirika la Umeme (Tanesco) limesema limbikizo la deni la Sh275 bilioni kwa taasisi mbalimbali za Serikali na wateja binafsi, linachangia kukwamisha utekelezaji wa miradi mbalimbali.

 

9 years ago

Habarileo

TPC yaidai Tanesco bilioni 2.9 za umeme

KIWANDA cha Uzalishaji Sukari (TPC) Ltd cha Moshi mkoani Kilimanjaro kinalidai Shirika la Umeme nchini (Tanesco) zaidi ya Sh bilioni 2.9 kama fedha za kuwauzia umeme unaozalishwa hapo na kuingizwa katika Gridi ya Taifa.

 

11 years ago

Mwananchi

Tanesco yaikatia umeme Dawasco, yaidai Sh7 bilioni

Kibao cha operesheni kata maji kimeligeukia Shirika la Majisafi na Majitaka Dar es Salaam (Dawasco) baada ya kukatiwa umeme na Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), ikidaiwa Sh7 bilioni.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani