TPC yaidai Tanesco bilioni 2.9 za umeme
KIWANDA cha Uzalishaji Sukari (TPC) Ltd cha Moshi mkoani Kilimanjaro kinalidai Shirika la Umeme nchini (Tanesco) zaidi ya Sh bilioni 2.9 kama fedha za kuwauzia umeme unaozalishwa hapo na kuingizwa katika Gridi ya Taifa.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi07 Jan
Tanesco yaikatia umeme Dawasco, yaidai Sh7 bilioni
9 years ago
Habarileo06 Jan
MSD yaidai serikali bilioni 117/-
BOHARI Kuu ya Taifa ya Dawa (MSD) imesema kuwa deni ambalo wanaidai Serikali limezidi kuongezeka hadi kufikia Sh bilioni 117 Septemba 2015, hali ambayo imefanya kuzorotesha utendaji wa bohari hiyo.
11 years ago
Mwananchi25 Mar
Tarime yaidai Barrick Sh1.2 bilioni
10 years ago
Habarileo22 Nov
Halmashauri ya Kilwa yaidai TPDC bilioni 3/-
SHIRIKA la Maendeleo la Taifa la Petroli Tanzania (TPDC) limetakiwa kuilipa Halmashauri ya wilaya ya Kilwa mkoani Lindi Sh bilioni tatu kutokana na kutolipa ushuru na fidia mbalimbali kwenye kiwanja wanachokimiliki.
10 years ago
Mwananchi17 Dec
Auswa yaidai Serikali, wananchi Sh1.2 bilioni
10 years ago
MichuziSHIRIKA LA UMEME TANESCO LAIBIWA NYAYA ZA UMEME KITUO CHA KIPAWA
10 years ago
Habarileo12 Sep
PPF yaikopesha Tanesco bilioni 30/-
MFUKO wa Pensheni wa PPF kwa kushirikiana na taasisi nyingine za fedha, umetoa mikopo kwa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) yenye thamani ya Sh bilioni 30 kwa ajili ya uboreshwaji wa miundombinu ya umeme.
10 years ago
Mwananchi02 Sep
Deni la Sh275 bilioni lailiza Tanesco
11 years ago
Mwananchi24 Dec
Tanesco yapandisha bei ya umeme