Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Deni la Sh275 bilioni lailiza Tanesco

Dar es Salaam. Shirika la Umeme (Tanesco) limesema limbikizo la deni la Sh275 bilioni kwa taasisi mbalimbali za Serikali na wateja binafsi, linachangia kukwamisha utekelezaji wa miradi mbalimbali.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo Movies

TANESCO Wataja Deni la Wema Sepetu Kufuatia Kuiba Umeme!

Shirika la Umeme nchini (TANESCO) limemkaba koo staa maarufu wa Bongo Movies , Wema Sepetu baada ya kubainika kutumia nishati ya umeme kwa njia zisizo halali.

Wema Sepetu

Wema Sepetu

Hivi karibuni TANESCO walifanya ziara ya kushtukiza kwenye nyumba yake na kubaini kuwa muigizaji huyo anatumia umeme wao bure!

WEMA UMEME

Jana Mkurugenzi Mkuu wa Tanesco, Eng. Felichesmi Mramba alizungumza na waandishi wa habari na kutaja kiasi cha fedha kitakachopatikana kutokana na faini waliyowapiga wezi mbalimbali wa...

 

9 years ago

Mwananchi

Deni la Sh1.13 bilioni kuziponza Polisi, Magereza

Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira mjini Moshi (Muwsa), imetoa siku 14 kwa taasisi tatu za Serikali mkoani Kilimanjaro, kulipa malimbikizo ya madeni yanayofikia Sh1.13 bilioni.

 

5 years ago

Bongo5

Serikali kurejesha deni la shilingi bilioni 3.2 za Shirika la Posta

Serikali imeahidi kuwa italirejeshea Shirika la Posta Tanzania kiasi cha shilingi bilioni 3.2, ambazo zilitumika kuwalipa wastaafu wa Shirika la Posta na Simu la Afrika Mashariki, punde ifikapo tarehe 30, mwezi Juni mwaka huu.

Ahadi hiyo imetolewa Bungeni Mjini Dodoma na Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji, alipokuwa akijibu swali la nyongeza kutoka kwa Mbunge wa Ludewa, Mhe. Deo Ngalawa (CCM), aliyehoji,

Serikali ilikuwa na mpango gani wa kuwalipa Wastaafu hawa...

 

11 years ago

Mwananchi

Serikali kulipa riba Sh5 bilioni deni la miezi sita

Serikali italazimika kulipa hasara ya zaidi ya Sh5.2 bilioni (Dola za Marekani milioni 3.1) ambazo ni riba ya malimbikizo ya malipo ya miezi sita kwa Kampuni ya Jacobsen Elekron AS inayotekeleza awamu ya kwanza ya mradi wa umeme wa Kinyerezi, Dar es Salaam.

 

10 years ago

Habarileo

PPF yaikopesha Tanesco bilioni 30/-

Mkurugenzi wa Vitegauchumi wa PPF, Selestine SomeMFUKO wa Pensheni wa PPF kwa kushirikiana na taasisi nyingine za fedha, umetoa mikopo kwa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) yenye thamani ya Sh bilioni 30 kwa ajili ya uboreshwaji wa miundombinu ya umeme.

 

9 years ago

Habarileo

TPC yaidai Tanesco bilioni 2.9 za umeme

KIWANDA cha Uzalishaji Sukari (TPC) Ltd cha Moshi mkoani Kilimanjaro kinalidai Shirika la Umeme nchini (Tanesco) zaidi ya Sh bilioni 2.9 kama fedha za kuwauzia umeme unaozalishwa hapo na kuingizwa katika Gridi ya Taifa.

 

10 years ago

Mwananchi

Sh5 bilioni za Tanesco ‘zamezwa’ na vipuri chakavu

Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), limetumia zaidi ya Sh5 bilioni kukarabati mitambo chakavu ambayo imekuwa chanzo cha kukatika kwa umeme mara kwa mara na kusababisha kusuasua kwa shughuli za maendeleo.

 

11 years ago

Mwananchi

Tanesco yaikatia umeme Dawasco, yaidai Sh7 bilioni

Kibao cha operesheni kata maji kimeligeukia Shirika la Majisafi na Majitaka Dar es Salaam (Dawasco) baada ya kukatiwa umeme na Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), ikidaiwa Sh7 bilioni.

 

5 years ago

Michuzi

Waziri Biteko: Sekta ya Madini inaongoza kwa ukuaji wa uchumi nchini,makusanyo yamepaa kutoka Bilioni 39/- hadi Bilioni 58/- kwa mwezi

 Waziri wa Madini, Doto Biteko akizungumza na wajumbe wa warsha iliyoandaliwa kwa lengo la kuandaa kitabu cha viashiria hatarishi (Risk Registry) vya Wizara ya Madini iliyofanyika katika ukumbi wa Chuo cha Madini Dodoma leo Mei 18, 2020. Kushoto kwake ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Madini, Prof. Simon Msanjila na Kulia ni Mkurugenzi wa Idara ya Sera na Mipango Augustine Ollal. (Picha na Wizara ya Madini).  Waziri wa Madini, Doto Biteko akizungumza na wajumbe wa warsha iliyoandaliwa kwa lengo la...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani