Waziri Biteko: Sekta ya Madini inaongoza kwa ukuaji wa uchumi nchini,makusanyo yamepaa kutoka Bilioni 39/- hadi Bilioni 58/- kwa mwezi
Waziri wa Madini, Doto Biteko akizungumza na wajumbe wa warsha iliyoandaliwa kwa lengo la kuandaa kitabu cha viashiria hatarishi (Risk Registry) vya Wizara ya Madini iliyofanyika katika ukumbi wa Chuo cha Madini Dodoma leo Mei 18, 2020. Kushoto kwake ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Madini, Prof. Simon Msanjila na Kulia ni Mkurugenzi wa Idara ya Sera na Mipango Augustine Ollal. (Picha na Wizara ya Madini).
Waziri wa Madini, Doto Biteko akizungumza na wajumbe wa warsha iliyoandaliwa kwa lengo la...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
CCM BlogWAZIRI BITEKO:SEKTA YA MADINI YAONGOZA KWA UKUAJI NCHINI. MAKUSANYO YAPAA KUTOKA BIL. 39 HADI BIL.58 APRILI
Nuru Mwasampeta na Tito Mselem,WM- Dodoma
WAZIRI wa Madini, Doto Biteko amesema ukuaji na mchango wa Sekta ya Madini kwenye pato la taifa unakua kwa kasi na kuwa mwaka 2019 mchango huo umeongezeka na kufikia asilimia 17.7 kutoka ukuaji wa asilimia 1.5 kwa mwaka 2018.
Amesema, kwa ukuaji huo sekta ya madini imeongoza sekta zote kwa ukuaji ikifuatiwa na sekta ya ujenzi ikiwa na ukuaji wa asilimia 14.1.
Ameongeza kuwa, wizara yake imekuwa ikikusanya kiasi cha wastani wa shilingi bilioni 39 kwa...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-x0_6y3hRu70/XttCOT1sxII/AAAAAAALsyo/NhjW2NeRVqcM23CXaMZwoopVzfeVbQz9wCLcBGAsYHQ/s72-c/1.jpg)
UKUSANYAJI MAPATO SEKTA YA MADINI WAMKOSHA WAZIRI DOTTO BITEKO, AIMWAGIA SIFA GGML KWA UWEKEZAJI WA KIMKAKATI KATIKA MKOA WA GEITA
![](https://1.bp.blogspot.com/-x0_6y3hRu70/XttCOT1sxII/AAAAAAALsyo/NhjW2NeRVqcM23CXaMZwoopVzfeVbQz9wCLcBGAsYHQ/s640/1.jpg)
![](https://1.bp.blogspot.com/-pI4hb0lzwYQ/XttCOnY43vI/AAAAAAALsyw/TkP_EXxScisbuj5DfZdqsTIdfMbIVnbUgCLcBGAsYHQ/s640/2.jpg)
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-C-ee12u9090/Xmps7MiN3EI/AAAAAAAC8Uc/6WQLAgT3Q88vQ9gah2wHP2FJcd79Hm3wACLcBGAsYHQ/s72-c/1.jpg)
Sekta ya Madini kuzalisha mamilionea – Waziri Biteko
Waziri wa Madini Doto Biteko amesema kuwa Serikali kupitia Wizara ya Madini kwa kushirikiana na Tume ya Madini inaendelea kuhakikisha inawawezesha wachimbaji na wafanyabiashara wa madini ili waweze kuwa mamilionea huku Serikali ikipata mapato yake kutokana na kodi mbalimbali na kuinua Sekta ya Madini.
Waziri Biteko aliyasema hayo leo tarehe 12 Machi, 2020 kwenye ziara ya Kamati ya Bunge ya Nishati na Madini iliyofanyika katika machimbo ya mawe ya nakshi Ntyuka, Soko...
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/--0KVHI92Ies/XtyVFs-oeJI/AAAAAAAC6_E/Rs9_SxrCEKwiM9eD2XRALc2EwBKxjpg6gCLcBGAsYHQ/s72-c/1.jpg)
WAZIRI BITEKO ATAKA MCHANGO SEKTA YA MADINI KUTAZAMWA
![](https://1.bp.blogspot.com/--0KVHI92Ies/XtyVFs-oeJI/AAAAAAAC6_E/Rs9_SxrCEKwiM9eD2XRALc2EwBKxjpg6gCLcBGAsYHQ/s400/1.jpg)
“Niliwaambia wenzangu wizarani, lazima tuhame sasa kwenye mfumo wa kufurahia kuona mapato yameongezeka kutokana na ukusanyaji wa maduhuli twende kwenye mfumo wa kujiuliza je? Sekta ya madini imechangiaje ukuaji wa sekta...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-7Nr85iToPjE/Xuyv5d67UeI/AAAAAAALuls/wCd5IV8DjSY6B1VFHKTGao_2YiwXs4GPACLcBGAsYHQ/s72-c/WhatsApp%2BImage%2B2020-06-19%2Bat%2B1.39.54%2BPM.jpeg)
SEKTA BINAFSI YACHANGIA SERIKALI BILIONI 2.1 KWA AJILI YA KUBORESHA SEKTA YA AFYA
Na. WAMJW-DSM
Serikali kupitia Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imepokea kiasi cha shilingi bilioni 2.1 kwa ajili ya kuboresha huduma za afya kwenye vituo vya kutolea huduma za afya nchini kutoka kwa wadau wa Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF).
Akiongea wakati wa makabidhiano hayo Mganga Mkuu wa Serikali Prof. Abel Makubi ameishukuru TPSF kwa uratibu wao kwa sekta binafsi kuchangia vifaa tiba hivyo ili vituo vya afya kuwa na vifaa muhimu vya kutolea...
9 years ago
Mwananchi14 Aug
Ukuaji wa uchumi nchini washuka kwa asilimia 2.1
5 years ago
MichuziBilioni 66.5 zapatikana tangu kuanzishwa kwa masoko ya madini
Profesa Manya ameyasema hayo leo tarehe 11 Machi, 2020 kupitia mahojiano maalum jijini Dodoma na kueleza kuwa tangu kuanzishwa kwa masoko ya madini mwezi Machi, 2019 hadi kufikia mwezi Januari, 2020...
10 years ago
Mtanzania24 Feb
Sekta ya utalii yaingiza dola bilioni 2 kwa mwaka
NA ADAM MKWEPU DAR ES SALAAM
GAVANA wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Profesa Benno Ndulu, amesema sekta ya utalii nchini inaongoza kwa kuliingizia taifa fedha za kigeni na kufikia dola za Marekani bilioni 2 kwa mwaka kutokana na hali ya mabadiliko ya mfumo wa mapato hayo.
Kauli hiyo aliitoa jana jijini Dar es Salaam katika mkutano wa mwaka ulioandaliwa na taasisi inayoshughulika na mambo ya utafiti wa kupunguza umasikini (Repoa), ambapo aliitaja sekta ya madini hasa ya dhahabu kuwa ya pili...
5 years ago
Michuzi24 Jun
Serikali yamlipa mchimbaji mdogo zaidi ya Bilioni 7.74 kwa madini yake ya Tanzanite
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/06/b40f7044-3177-4651-8a94-d81001b23f08.jpg)
Mchimbaji mdogo wa madini, Saniniu Kurian Laizer, akimkabidhi waziri wa madini Dotto Biteko mawe ya Tanzanite yenye thamani ya zaidi ya Shilingi Bilioni 7.74 katika hafla fupi iliyofanyika Mirerani.Pichani kati ni Naibu Waziri wa Madini Mhe.Stansalus Nyongo
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/06/dd7daf87-392d-4223-963a-060b1369559c.jpg)
Katibu Mkuu wizara ya Madini Prof Simon Msanjila akizungumza wakati wa hafla ya kupokea madini kutoka kwa mchimbaji mdogo wa Mirerani.
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/06/ee85e80e-013a-4a7b-af47-a549941a3689.jpg)
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Anna Mughwira (wa Pili Kushoto), Mkuu wa wilaya ya Simanjiro Zephania...