Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Serikali kurejesha deni la shilingi bilioni 3.2 za Shirika la Posta

Serikali imeahidi kuwa italirejeshea Shirika la Posta Tanzania kiasi cha shilingi bilioni 3.2, ambazo zilitumika kuwalipa wastaafu wa Shirika la Posta na Simu la Afrika Mashariki, punde ifikapo tarehe 30, mwezi Juni mwaka huu.

Ahadi hiyo imetolewa Bungeni Mjini Dodoma na Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji, alipokuwa akijibu swali la nyongeza kutoka kwa Mbunge wa Ludewa, Mhe. Deo Ngalawa (CCM), aliyehoji,

Serikali ilikuwa na mpango gani wa kuwalipa Wastaafu hawa...

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Serikali kulipa riba Sh5 bilioni deni la miezi sita

Serikali italazimika kulipa hasara ya zaidi ya Sh5.2 bilioni (Dola za Marekani milioni 3.1) ambazo ni riba ya malimbikizo ya malipo ya miezi sita kwa Kampuni ya Jacobsen Elekron AS inayotekeleza awamu ya kwanza ya mradi wa umeme wa Kinyerezi, Dar es Salaam.

 

5 years ago

Michuzi

Serikali yapokea msaada wa shilingi bilioni 14.9


Na WAMJW-Dar es Salaam

Serikali  imepokea msaada wa shilingi bilioni 14.9 kutoka Global Fund, Airtel Tanzania, Rotary Club Tanzania ambazo sehemu kubwa zitatumika kununua vifaa kinga kwa watumishi wa afya na vifaa tiba kwa ajili ya kuwahudumia wagonjwa wenye maambukizi ya COVID-19.

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu ameyasema hayo leo wakati akipokea msaada wa fedha na lita 1,250 za vitakasa mikono ikiwa ni sehemu ya kuunga mkono juhudi za Serikali za...

 

11 years ago

Dewji Blog

Tiper yaikabidhi Serikali gawio la zaidi ya shilingi bilioni 1

DIGITAL CAMERA

Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Dkt. Servarcius Likwelile (wa pili kushoto) akipokea hundi yyenye thamani y ash. Bilioni moja ktoka TIPER gawio la hisa katika hafla iliyofanyika leo mjini Dodoma. Wa kwanza kshoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa TIPER Daniel Belair, Wa pili kulia ni Mwenyekiti Mtendaji wa Bodi ya Wakurugenzi ya TIPER Prof. Abdulkarim Mruma na Wizara ya fedha Kaimu Msajili wa Hazina Elius Mwakabinga (wa kwanza kulia).

Serikali imepokea shilingi bilioni moja kutoka TIPER ikiwa ni gawio...

 

11 years ago

Dewji Blog

Serikali yatoa zaidi ya shilingi 6.7 bilioni kujenga hospitali ya rufaa Singida

DSC_0473

Katibu Mkuu wa CCM Taifa Abdulrahamani Kinana akiongozwa na Mkuu wa Moa wa Singida Dk, Parseko Kone, Katibu Tawala Lianna Hassan na viongozi wengine wa Mkoa wa Singida  kukagua hatua iliyofikiwa ya ujenzi wa hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Singida, wakati Kinana alipokuwa Mkoani Singida kwa ziara ya kikazi ya siku saba.(Picha na Zainul Mzige wa modewjiblog).

Na Nathaniel Limu, Singida

MKUU wa Mkoa wa Singida,Dk.Parseko Vicent Kone amesema serikali imetoa zaidi ya shilingi 6.7 bilioni kwa...

 

11 years ago

GPL

SERIKALI YATOA ZAIDI YA SHILINGI 6.7 BILIONI KUJENGA HOSPITALI YA RUFAA SINGIDA‏

Katibu Mkuu wa CCM Taifa Abdulrahamani Kinana akiongozwa na Mkuu wa Moa wa Singida Dk, Parseko Kone, Katibu Tawala Lianna Hassan na viongozi wengine wa Mkoa wa Singida kukagua hatua iliyofikiwa ya ujenzi wa hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Singida, wakati Kinana alipokuwa Mkoani Singida kwa ziara ya kikazi ya siku saba. Katibu Mkuu wa CCM akiweka saini kwenye kitabu cha hospitali ya Rufaa huku Naibu Katibu Mkuu wake Mwigulu...

 

11 years ago

Dewji Blog

Serikali imetumia zaidi ya Shilingi Bilioni 111 kununua mazao kwa wakulima

IMG_5996

Afisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula Bw. Charles akiongea na waandishi wa Habari( Hawapo Pichani) kuhusu mafanikio yaliyopatikana na wakala hao ikiwamo kutumia Zaidi ya Bilioni 111 kununua mazao kwa wakulima katika kipindi cha Mwaka 2013/2014. wakati wa Mkutano uliofanyika katika ukumbi wa Idara ya Habari (MAELEZO) Jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mkurugenzi Mipango na Uendeshaji wa wakala huo Bi. Anna Mapunda.

IMG_6007

Baadhi ya waandishi wa Habari waliohudhuria Mkutano huo...

 

10 years ago

Michuzi

Serikali yatumia shilingi bilioni 881 katika mradi wa REA Awamu ya Pili

Na Greyson Mwase, Maswa.Meneja Utaalamu Elekezi  kutoka  Wakala wa Nishati  Vijijini (REA) Gissima Nyamohanga amesema kuwa serikali imetumia shilingi bilioni 881 katika mradi wa kusambaza umeme  vijijini  unaotekelezwa na  Wakala wa Nishati Vijijini (REA) Awamu ya Pili.

Nyamohanga aliyasema hayo kwenye  sherehe za uzinduzi wa mradi wa umeme vijijini unaofadhiliwa na REA uliofanyika katika kata ya Shishiyu wilayani Maswa mkoani  Simiyu.

Alisema kuwa Mradi wa  REA  Awamu ya Pili  utaiwezesha ...

 

10 years ago

Michuzi

SERIKALI YAPATA GAWIO LA FAIDA LA SHILINGI BILIONI 3 KUTOKA KAMPUNI YA PUMA ENERGY TANZANIA LIMITED

Waziri wa Fedha, Mh. Saada Mkuya Salum (wa pili kulia) akiwa na Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Dr. Servacius Likwelile pamoja na Msajili wa Hazina, Nd. Lawrence Mafuru wakipokea hundi ya mfano ya shilingi Bilioni 3 kutoka Kampuni ya Puma Energy Tanzania Limited iliyokabidhiwa na Mkuu wa Puma Energy Tanzania Limited, Nd. Philippe Corsaletti. Waziri wa Fedha, Mh. Saada Mkuya Salum akiwashukuru watendaji wakuu wa Puma Energy Tanzania Limited kwa kuwasilisha kwa Serikali gawio la faida la...

 

5 years ago

Michuzi

KAMPUNI YA GGML YATOA SHILINGI BILIONI 1.6 KUUNGA MKONO JUHUDI ZA SERIKALI MAPAMBANO DHIDI YA VIRUSI VYA CORONA

 Baadhi ya wananchi wanaozunguka mgodi wa kampuni hiyo wakinawa mikono kwa maji tiririka na sabuni, vifaa hivyo vimetolewa na GGML kudhibiti maambukizi ya Corona katika mji wa Geita Mkurugenzi Mkuu wa GGML, Richard Jordinson akifafanua jambo
KAMPUNI  ya Geita Gold Mining Limited (GGML) imetoa Shilingi bilioni 1.6 kuunga mkono juhudi za Serikali katika kudhibiti maambukizi ya Virusi vya Corona ambayo hadi sasa yamesambaa katika nchi 210 duniani Tanzania ikiwemo.

Pia GGML imezindua mikakati...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani