Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


PPF yaikopesha Tanesco bilioni 30/-

Mkurugenzi wa Vitegauchumi wa PPF, Selestine SomeMFUKO wa Pensheni wa PPF kwa kushirikiana na taasisi nyingine za fedha, umetoa mikopo kwa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) yenye thamani ya Sh bilioni 30 kwa ajili ya uboreshwaji wa miundombinu ya umeme.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Dewji Blog

Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PPF atembelea banda la PPF kujionea utendaji kazi wa PPF katika maonyesho ya Sabasaba

unnamed

Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Mh William Erio akisalimiana na mmoja wa wafanyakazi wa Mfuko huo wakati alipotembelea Banda laa PPF kujionea utendaji kazi wa Wafanyakazi wake katika maonyesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar Es Salaam yanayoendelea kufanyika katika Viwanja vya Mwl Nyerere.

unnamed (1)

Mkurugenzi Mkuu wa mfuko wa Pensheni wa PPF, Mh William Erio akiteta jambo na wafanyakazi wa PPF wakati alipotembelea Banda la PPF kujionea utendaji kazi wa Wafanyakazi wake. Kulia ni...

 

11 years ago

GPL

MKURUGENZI MKUU WA MFUKO WA PENSHENI WA PPF, MH WILLIAM ERIO ATEMBELEA BANDA LA PPF KUJIONEA UTENDAJI KAZI WA PPF KATIKA MAONYESHO YA SABASABA‏


Mkurugenzi Mkuu wa mfuko wa Pensheni wa PPF, Mh William Erio akiteta jambo na wafanyakazi wa PPF wakati alipotembelea Banda la PPF kujionea utendaji kazi wa Wafanyakazi wake. Kulia ni Meneja Uhusiano na Masoko wa PPF, Bi Lulu Mengele na Katikati ni Mbaruku.
Mmoja wa Wateja Wa Mfuko wa Pensheni wa PPF akifurahia huduma aliyopewa na Afisa Huduma Kwa Wateja wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Bi Jackline Jackson wakati mteja...

 

9 years ago

Habarileo

TPC yaidai Tanesco bilioni 2.9 za umeme

KIWANDA cha Uzalishaji Sukari (TPC) Ltd cha Moshi mkoani Kilimanjaro kinalidai Shirika la Umeme nchini (Tanesco) zaidi ya Sh bilioni 2.9 kama fedha za kuwauzia umeme unaozalishwa hapo na kuingizwa katika Gridi ya Taifa.

 

10 years ago

Mwananchi

Deni la Sh275 bilioni lailiza Tanesco

Dar es Salaam. Shirika la Umeme (Tanesco) limesema limbikizo la deni la Sh275 bilioni kwa taasisi mbalimbali za Serikali na wateja binafsi, linachangia kukwamisha utekelezaji wa miradi mbalimbali.

 

10 years ago

Mwananchi

Sh5 bilioni za Tanesco ‘zamezwa’ na vipuri chakavu

Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), limetumia zaidi ya Sh5 bilioni kukarabati mitambo chakavu ambayo imekuwa chanzo cha kukatika kwa umeme mara kwa mara na kusababisha kusuasua kwa shughuli za maendeleo.

 

11 years ago

Mwananchi

Tanesco yaikatia umeme Dawasco, yaidai Sh7 bilioni

Kibao cha operesheni kata maji kimeligeukia Shirika la Majisafi na Majitaka Dar es Salaam (Dawasco) baada ya kukatiwa umeme na Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), ikidaiwa Sh7 bilioni.

 

10 years ago

Michuzi

PPF YAWANOA WAAJIRI KUHUSIANA NA HUDUMA ZAKE MPYA IKIWEMO PPF TAARIFA APP

Prof. Betria Mapunda ambae amemwakilisha Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar Es salaam akifungua semina iliyoandaliwa na Mfuko wa Pensheni wa PPF kwa Waajiri kwa lengo la Kutoa elimu juu ya huduma zitolewazo na mfuko huo wa Pensheni wa PPF katika ukumbi wa Seaescape, Uliopo Mbezi Beach Jijini Dar Es Salaam.Meneja wa Kanda ya Kinondoni wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Bi Zahara Kayugwa akitoa mada wakati wa semina iliyoandaliwa na Mfuko wa Penhsheni wa PPF kwaa Waajiri wa Makampuni na mashirika...

 

11 years ago

GPL

MWENYEKITI WA BODI YA MFUKO WA PENSHENI WA PPF, MH. RAMADHAN KIJJAH AVUTIWA NA UTENDAJI KAZI WA PPF

Mwenyekiti wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Mh Ramadhan Kijjah akiongea na waandishi wa habari mara baada ya kumaliza kutembelea banda la PPF ili kujionea utendaji kazi wa Wafanyakazi wa PPF katika Maonyesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar Es Salaam yanayoendelea katika Viwanja vya Sabasaba
Mmoja wa wateja waliotembelea banda la PPF katika Maonyesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar Es Salaam akijaza fomu ya kujiunga...

 

11 years ago

Michuzi

PPF ILIVYOADHIMISHA SIKU YA WAFANYAKAZI LEO,RAIS KIKWETE AKAMKABIDHI ZAWADI MFANYAKAZI BORA WA PPF

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, akimkabidhi mfano wa hundi ya shilingi milioni 5, Herman Kachima, ambaye ni Msimamizi wa huduma kwa wateja wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, wakati wa maadhimisho ya siku ya wafanyakazi Duniani kwenye uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam leo. Mkurugenzi wa NSSF, Dkt. Mohammed Dau (Wapili kulia), akiteta jambo na mkurugenzi mkuu wa PPF, William Erio, na mkurugenzi mkuu wa mamlaka ya udhibiti wa mifuko ya hifadhi ya jamii, (SSRA), Irine Isaka (Kushoto), na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani