MWENYEKITI WA BODI YA MFUKO WA PENSHENI WA PPF, MH. RAMADHAN KIJJAH AVUTIWA NA UTENDAJI KAZI WA PPF
Mwenyekiti wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Mh Ramadhan Kijjah akiongea na waandishi wa habari mara baada ya kumaliza kutembelea banda la PPF ili kujionea utendaji kazi wa Wafanyakazi wa PPF katika Maonyesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar Es Salaam yanayoendelea katika Viwanja vya Sabasaba Mmoja wa wateja waliotembelea banda la PPF katika Maonyesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar Es Salaam akijaza fomu ya kujiunga...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Dewji Blog03 Jul
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PPF atembelea banda la PPF kujionea utendaji kazi wa PPF katika maonyesho ya Sabasaba
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Mh William Erio akisalimiana na mmoja wa wafanyakazi wa Mfuko huo wakati alipotembelea Banda laa PPF kujionea utendaji kazi wa Wafanyakazi wake katika maonyesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar Es Salaam yanayoendelea kufanyika katika Viwanja vya Mwl Nyerere.
Mkurugenzi Mkuu wa mfuko wa Pensheni wa PPF, Mh William Erio akiteta jambo na wafanyakazi wa PPF wakati alipotembelea Banda la PPF kujionea utendaji kazi wa Wafanyakazi wake. Kulia ni...
11 years ago
GPLMKURUGENZI MKUU WA MFUKO WA PENSHENI WA PPF, MH WILLIAM ERIO ATEMBELEA BANDA LA PPF KUJIONEA UTENDAJI KAZI WA PPF KATIKA MAONYESHO YA SABASABA
11 years ago
Dewji Blog08 Jul
Mh. Kabaka atembelea Banda la PPF kwenye maonyesho ya Sabasaba na kuvutiwa na Utendaji Kazi wa Mfuko huo
Mwenyekiti wa Bodi wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Mh Ramadhan Kijjah (Kulia) akisalimiana na Waziri wa Kazi na Ajira, Mh Gaudensia Kabaka wakati alipotembelea banda la PPF kwenye maonyesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa katika Viwanja vya sabasaba.
Waziri wa Kazi na Ajira, Mh Gaudensia Kabaka akipokelewa na wafanyakazi wa Mfuko wa Pensheni wa PPF wakati alipotembelea Banda la PPF kwenye maonyesho ya 38 ya Kimataifa ya Biashara ya Dar Es Salaam.
Afisa Huduma Kwa Wateja wa Mfuko wa Pensheni...
11 years ago
MichuziKAMATI YA BUNGE YA UCHUMI, VIWANDA NA BIASHARA YAIWAGIA SIFA MFUKO WA PENSHENI WA PPF KWA HUDUMA NZURI ZINAZOTOLEWA NA MFUKO HUO
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-MnPgAYV8p90/VISBpLMlglI/AAAAAAAG1wo/WQS_Rhi2Dmc/s72-c/unnamed%2B(94).jpg)
MFUKO WA PENSHENI WA PPF WAIBUKA MSHINDI WA JUMLA
![](http://1.bp.blogspot.com/-MnPgAYV8p90/VISBpLMlglI/AAAAAAAG1wo/WQS_Rhi2Dmc/s1600/unnamed%2B(94).jpg)
ni Mwenyekiti wa bodi ya NBAA, Profesa Isaya Jairo (kushoto), MkurugenziMkuu wa Mamlaka ya Udhibuiti Mifuko ya Jamii, Irene Isaka (wapili kushoto),...
9 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-dT3A-flI_OY/VhkWv7FSZII/AAAAAAAAa7I/YEAdQmbi3mo/s72-c/JK_Speech2.jpg)
JK AUMWAGIA SIFA MFUKO WA PENSHENI WA PPF KWA UWEKEZAJI BORA
![](http://4.bp.blogspot.com/-dT3A-flI_OY/VhkWv7FSZII/AAAAAAAAa7I/YEAdQmbi3mo/s640/JK_Speech2.jpg)
RAIS Jakaya Kikwete, akitoa hotuba kwenye hafla ya kuweka jiwe la msingi la kitegauchumi PPF Plaza eneo la Vigaeni, mjini Mtwara, Oktoba 10, 2015. Jengo hilo la ghorofa mali ya PPF litagharimu shilingi Bilioni 9.5 ujenzi wake utakapokamilika mwishoni mwa mwaka huu. NA K-VIS MEDIA, MTWARA RAIS Jakaya Kikwete ameumwagia sifa kemkem Mfuko wa Pensehni wa PPF, kwa uwekezaji bora, wakati akiweka jiwe la msingi la ujenzi wa jingo la ghrorofatano la kitegauchumi la PPF Plaza mjini Mtwara Oktoba...
10 years ago
MichuziSHEREHE YA MWAKA YA MFUKO WA PENSHENI WA PPF YAFANA JIJINI DAR
10 years ago
VijimamboSHEREHE YA MWAKA YA MFUKO WA PENSHENI WA PPF YAFANA JIJINI DAR ES SALAAM
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-s3ypDAcaq1o/VL_HiWdsUVI/AAAAAAAG-wc/lv83j6e8xXM/s72-c/unnamed%2B(15).jpg)
Mfuko wa Pensheni wa PPF watembelewa na uongozi wa club ya Arsenal kwa lengo la kujitangaza
![](http://2.bp.blogspot.com/-s3ypDAcaq1o/VL_HiWdsUVI/AAAAAAAG-wc/lv83j6e8xXM/s1600/unnamed%2B(15).jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-in0GHYSQNzs/VL_HiFaTL0I/AAAAAAAG-wY/AmNfvypPObs/s1600/unnamed%2B(16).jpg)