Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mfuko wa Pensheni wa PPF watembelewa na uongozi wa club ya Arsenal kwa lengo la kujitangaza

Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PPF ndugu William Erio (katikati) akipokea jezi ya timu ya Arsenal kutoka kwa Mkurugenzi wa Mahusiano ya Kimaendeleo ya Arsenal Bwana Sam Stone (kulia). Kushoto ni Meneja wa Mahusiano ya Kimaendeleo ya Arsenal Bwana Daniel Willey.Lengo la ziara hiyo ni kuanzisha mahusiano kati ya PPF na Club ya Arsernal kwa kuendelea kujenga imani kwa wateja wao na kuendelea kujitangaza. Uongozi wa club ya Arsenal ukipokea zawadi kutoka kwa Mkurugenzi mkuu wa Mfuko wa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Dewji Blog

Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PPF atembelea banda la PPF kujionea utendaji kazi wa PPF katika maonyesho ya Sabasaba

unnamed

Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Mh William Erio akisalimiana na mmoja wa wafanyakazi wa Mfuko huo wakati alipotembelea Banda laa PPF kujionea utendaji kazi wa Wafanyakazi wake katika maonyesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar Es Salaam yanayoendelea kufanyika katika Viwanja vya Mwl Nyerere.

unnamed (1)

Mkurugenzi Mkuu wa mfuko wa Pensheni wa PPF, Mh William Erio akiteta jambo na wafanyakazi wa PPF wakati alipotembelea Banda la PPF kujionea utendaji kazi wa Wafanyakazi wake. Kulia ni...

 

11 years ago

GPL

MKURUGENZI MKUU WA MFUKO WA PENSHENI WA PPF, MH WILLIAM ERIO ATEMBELEA BANDA LA PPF KUJIONEA UTENDAJI KAZI WA PPF KATIKA MAONYESHO YA SABASABA‏


Mkurugenzi Mkuu wa mfuko wa Pensheni wa PPF, Mh William Erio akiteta jambo na wafanyakazi wa PPF wakati alipotembelea Banda la PPF kujionea utendaji kazi wa Wafanyakazi wake. Kulia ni Meneja Uhusiano na Masoko wa PPF, Bi Lulu Mengele na Katikati ni Mbaruku.
Mmoja wa Wateja Wa Mfuko wa Pensheni wa PPF akifurahia huduma aliyopewa na Afisa Huduma Kwa Wateja wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Bi Jackline Jackson wakati mteja...

 

11 years ago

Michuzi

KAMATI YA BUNGE YA UCHUMI, VIWANDA NA BIASHARA YAIWAGIA SIFA MFUKO WA PENSHENI WA PPF KWA HUDUMA NZURI ZINAZOTOLEWA NA MFUKO HUO

 Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Mh William Erio (wa kwanza Kushoto) akiongea na wabunge wa Kamati ya Uchumi, Viwanda na Biashara wakati wabunge hao walipotembelea Banda la PPF katika Maonyesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar Es Salaam yanayoendelea Kufanyika katika Viwanja Vya Sabasaba Jijini Dar Es Salaam.Katikati ni Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Mh Luhoga J Mpina. Wabunge wa Kamati ya Uchumi, Viwanda na Biashara wakisikiliza maelezo kuhusiana na huduma mbalimbali...

 

11 years ago

GPL

MWENYEKITI WA BODI YA MFUKO WA PENSHENI WA PPF, MH. RAMADHAN KIJJAH AVUTIWA NA UTENDAJI KAZI WA PPF

Mwenyekiti wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Mh Ramadhan Kijjah akiongea na waandishi wa habari mara baada ya kumaliza kutembelea banda la PPF ili kujionea utendaji kazi wa Wafanyakazi wa PPF katika Maonyesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar Es Salaam yanayoendelea katika Viwanja vya Sabasaba
Mmoja wa wateja waliotembelea banda la PPF katika Maonyesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar Es Salaam akijaza fomu ya kujiunga...

 

9 years ago

Vijimambo

JK AUMWAGIA SIFA MFUKO WA PENSHENI WA PPF KWA UWEKEZAJI BORA

 
RAIS Jakaya Kikwete, akitoa hotuba kwenye hafla ya kuweka jiwe la msingi la kitegauchumi PPF Plaza eneo la Vigaeni, mjini Mtwara, Oktoba 10, 2015. Jengo hilo la ghorofa  mali ya PPF litagharimu shilingi Bilioni 9.5 ujenzi wake utakapokamilika mwishoni mwa mwaka huu. 

NA K-VIS MEDIA, MTWARA

RAIS Jakaya Kikwete ameumwagia sifa kemkem Mfuko wa Pensehni wa PPF, kwa uwekezaji bora, wakati akiweka jiwe la msingi la ujenzi wa jingo la ghrorofatano  la kitegauchumi la PPF Plaza mjini Mtwara Oktoba...

 

10 years ago

Michuzi

MFUKO WA PENSHENI WA PPF WAIBUKA MSHINDI WA JUMLA KWA MAHESABU BORA NCHINI KWA ZAIDI YA MAKAMPUNI


 Naibu Waziri wa Fedha, Adam Malima (watatu kushoto mstari wa mbele) akimkabidhi tuzo ya Mahesabu Safi kwa Mkurugenzi wa Ukaguzi wa Ndani  Mfuko wa Pensheni wa PPF, Bw. Hosea Kashimba baada ya PPF kuwa mshindi wa jumla katika sherehe zilizoandaliwa na Bodi ya Taifa ya ukaguzi wa Hesabu nchini (NBAA) zilizofanyika jijini Arusha. Wengine pichani  ni Mwenyekiti wa bodi ya NBAA, Profesa Isaya Jairo (kushoto), Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibuiti  Mifuko ya Jamii, Irene Isaka (wapili kushoto),...

 

10 years ago

Vijimambo

MFUKO WA PENSHENI WA PPF WAIBUKA MSHINDI WA JUMLA

 Naibu Waziri wa Fedha, Adam Malima (watatu kushoto mstari wa mbele) akimkabidhi tuzo ya Mahesabu Safi kwa Mkurugenzi wa Ukaguzi wa Ndani  Mfuko wa Pensheni wa PPF, Bw. Hosea Kashimba baada ya PPF kuwa mshindi wa jumla katika sherehe zilizoandaliwa na Bodi ya Taifa ya ukaguzi wa Hesabu nchini (NBAA) zilizofanyika jijini Arusha. Wengine pichani 
ni Mwenyekiti wa bodi ya NBAA, Profesa Isaya Jairo (kushoto), MkurugenziMkuu wa Mamlaka ya Udhibuiti  Mifuko ya Jamii, Irene Isaka (wapili kushoto),...

 

10 years ago

Michuzi

SHEREHE YA MWAKA YA MFUKO WA PENSHENI WA PPF YAFANA JIJINI DAR

 Kaimu Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Dr Aggrey Mlimuka akizungumza na wafanyakazi wa mfuko wa pensheni wa PPF wakati wa sherehe ya Mwaka iliyofanyika katika Ukumbi wa Blue Pearl Ubungo Jijini Dar Es Salaam Mwishoni mwa wiki Kaimu Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Dr Aggrey Mlimuka akiwapongeza Vijana wanaounda kundi la The Voice ambao ni wasanii wa fani ya Akapela mara baada ya Kutoa burudani katika sherehe ya Mwaka ya Mfuko wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani