MFUKO WA PENSHENI WA PPF WAIBUKA MSHINDI WA JUMLA
.jpg)
Naibu Waziri wa Fedha, Adam Malima (watatu kushoto mstari wa mbele) akimkabidhi tuzo ya Mahesabu Safi kwa Mkurugenzi wa Ukaguzi wa Ndani Mfuko wa Pensheni wa PPF, Bw. Hosea Kashimba baada ya PPF kuwa mshindi wa jumla katika sherehe zilizoandaliwa na Bodi ya Taifa ya ukaguzi wa Hesabu nchini (NBAA) zilizofanyika jijini Arusha. Wengine pichani
ni Mwenyekiti wa bodi ya NBAA, Profesa Isaya Jairo (kushoto), MkurugenziMkuu wa Mamlaka ya Udhibuiti Mifuko ya Jamii, Irene Isaka (wapili kushoto),...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi.jpg)
MFUKO WA PENSHENI WA PPF WAIBUKA MSHINDI WA JUMLA KWA MAHESABU BORA NCHINI KWA ZAIDI YA MAKAMPUNI
.jpg)
11 years ago
Dewji Blog03 Jul
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PPF atembelea banda la PPF kujionea utendaji kazi wa PPF katika maonyesho ya Sabasaba
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Mh William Erio akisalimiana na mmoja wa wafanyakazi wa Mfuko huo wakati alipotembelea Banda laa PPF kujionea utendaji kazi wa Wafanyakazi wake katika maonyesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar Es Salaam yanayoendelea kufanyika katika Viwanja vya Mwl Nyerere.
Mkurugenzi Mkuu wa mfuko wa Pensheni wa PPF, Mh William Erio akiteta jambo na wafanyakazi wa PPF wakati alipotembelea Banda la PPF kujionea utendaji kazi wa Wafanyakazi wake. Kulia ni...
11 years ago
GPLMKURUGENZI MKUU WA MFUKO WA PENSHENI WA PPF, MH WILLIAM ERIO ATEMBELEA BANDA LA PPF KUJIONEA UTENDAJI KAZI WA PPF KATIKA MAONYESHO YA SABASABA
11 years ago
GPLMWENYEKITI WA BODI YA MFUKO WA PENSHENI WA PPF, MH. RAMADHAN KIJJAH AVUTIWA NA UTENDAJI KAZI WA PPF
11 years ago
MichuziKAMATI YA BUNGE YA UCHUMI, VIWANDA NA BIASHARA YAIWAGIA SIFA MFUKO WA PENSHENI WA PPF KWA HUDUMA NZURI ZINAZOTOLEWA NA MFUKO HUO
10 years ago
Vijimambo
JK AUMWAGIA SIFA MFUKO WA PENSHENI WA PPF KWA UWEKEZAJI BORA

RAIS Jakaya Kikwete, akitoa hotuba kwenye hafla ya kuweka jiwe la msingi la kitegauchumi PPF Plaza eneo la Vigaeni, mjini Mtwara, Oktoba 10, 2015. Jengo hilo la ghorofa mali ya PPF litagharimu shilingi Bilioni 9.5 ujenzi wake utakapokamilika mwishoni mwa mwaka huu. NA K-VIS MEDIA, MTWARA RAIS Jakaya Kikwete ameumwagia sifa kemkem Mfuko wa Pensehni wa PPF, kwa uwekezaji bora, wakati akiweka jiwe la msingi la ujenzi wa jingo la ghrorofatano la kitegauchumi la PPF Plaza mjini Mtwara Oktoba...
11 years ago
MichuziSHEREHE YA MWAKA YA MFUKO WA PENSHENI WA PPF YAFANA JIJINI DAR
11 years ago
VijimamboSHEREHE YA MWAKA YA MFUKO WA PENSHENI WA PPF YAFANA JIJINI DAR ES SALAAM
10 years ago
Michuzi.jpg)
Mfuko wa Pensheni wa PPF watembelewa na uongozi wa club ya Arsenal kwa lengo la kujitangaza
.jpg)
.jpg)