Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Halmashauri ya Kilwa yaidai TPDC bilioni 3/-

SHIRIKA la Maendeleo la Taifa la Petroli Tanzania (TPDC) limetakiwa kuilipa Halmashauri ya wilaya ya Kilwa mkoani Lindi Sh bilioni tatu kutokana na kutolipa ushuru na fidia mbalimbali kwenye kiwanja wanachokimiliki.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

StarTV

Halmashauri Gairo yaidai Halmashauri Kilosa Sh. Mil. 253

Na Kasilda Mgeni Mulimila,

Morogoro.

 

Halmashauri ya wilaya Mpya ya Gairo mkoa Morogoro imeiangukia Serikali kuwasaidia kurejeshwa kwa fedha za mapato ya ndani zaidi ya shilingi milioni 250 ambazo zimechukuliwa na halmashauri mama ya wilaya ya Kilosa hali inayofanya Gairo kuonesha upungufu katika makusanyo ya ndani.

Halmashauri ya wilaya ya Kilosa imekuwa ikichukua mapato ya ndani ya halmashauri ya Gairo kupitia wakala wa kukusanya mapato walioingia mkataba na wilaya hiyo ya Kilosa kabla...

 

9 years ago

Habarileo

TPC yaidai Tanesco bilioni 2.9 za umeme

KIWANDA cha Uzalishaji Sukari (TPC) Ltd cha Moshi mkoani Kilimanjaro kinalidai Shirika la Umeme nchini (Tanesco) zaidi ya Sh bilioni 2.9 kama fedha za kuwauzia umeme unaozalishwa hapo na kuingizwa katika Gridi ya Taifa.

 

11 years ago

Mwananchi

Tarime yaidai Barrick Sh1.2 bilioni

Halmashauri ya Wilaya ya Tarime Mkoa wa Mara imesema inaudai mgodi wa North Mara, unaomilikiwa na African Barrick Gold, dola 800,000 za Kimarekani (sawa na Sh1.28 bilioni za Kitanzania).

 

9 years ago

Habarileo

MSD yaidai serikali bilioni 117/-

BOHARI Kuu ya Taifa ya Dawa (MSD) imesema kuwa deni ambalo wanaidai Serikali limezidi kuongezeka hadi kufikia Sh bilioni 117 Septemba 2015, hali ambayo imefanya kuzorotesha utendaji wa bohari hiyo.

 

10 years ago

Mwananchi

Auswa yaidai Serikali, wananchi Sh1.2 bilioni

Mamlaka ya Majisafi na Majitaka Arusha (Auswa), inaidai Serikali na taasisi zake kiasi cha Sh1.2 bilioni.

 

11 years ago

Mwananchi

Tanesco yaikatia umeme Dawasco, yaidai Sh7 bilioni

Kibao cha operesheni kata maji kimeligeukia Shirika la Majisafi na Majitaka Dar es Salaam (Dawasco) baada ya kukatiwa umeme na Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), ikidaiwa Sh7 bilioni.

 

11 years ago

Habarileo

Halmashauri Kilwa yasema inafaidika na gesi

HALMASHAURI ya Wilaya ya Kilwa imesema kwa kiasi kikubwa inafaidika vilivyo na rasilimali zilimo ndani ya wilaya hiyo, ikiwemo gesi asilia. Kutokana na faida hiyo, halmashauri hiyo imeandaa miradi mikubwa mitatu itakayowashirikisha wadau, na inatarajiwa kuanzia mwezi Machi mwaka huu mpaka Juni itakuwa imeshaanza.

 

10 years ago

GPL

TPDC YATUMIA DOLA ZA KIMAREKANI BILIONI 1.225 KWA AJILI YA MRADI WA BOMBA LA GESI

 Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Maendeleo ya Petroli Nchini (TPDC), Michael Mwande akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa kuzungumzia mradi wa bomba la gesi kutoka Mtwara hadi Dar es Salaam ambapo ujenzi huo umefikia asilimia 94.…

 

10 years ago

Habarileo

Halmashauri zadai NFRA bilioni 1.3/-

WAKALA wa Hifadhi ya Taifa wa Chakula (NFRA) Kanda ya Sumbawanga mkoani Rukwa, inadaiwa na halmashauri mkoani humo zaidi ya Sh bilioni 1.3 zikiwa ni fedha za ushuru kwa mahindi waliyoiuzia wakala huyo kwa msimu huu wa kilimo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani