Halmashauri Kilwa yasema inafaidika na gesi
HALMASHAURI ya Wilaya ya Kilwa imesema kwa kiasi kikubwa inafaidika vilivyo na rasilimali zilimo ndani ya wilaya hiyo, ikiwemo gesi asilia. Kutokana na faida hiyo, halmashauri hiyo imeandaa miradi mikubwa mitatu itakayowashirikisha wadau, na inatarajiwa kuanzia mwezi Machi mwaka huu mpaka Juni itakuwa imeshaanza.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo22 Nov
Halmashauri ya Kilwa yaidai TPDC bilioni 3/-
SHIRIKA la Maendeleo la Taifa la Petroli Tanzania (TPDC) limetakiwa kuilipa Halmashauri ya wilaya ya Kilwa mkoani Lindi Sh bilioni tatu kutokana na kutolipa ushuru na fidia mbalimbali kwenye kiwanja wanachokimiliki.
10 years ago
MichuziKILWA WAENDELEA KUFAIDI HUDUMA ZA WAWEKEZAJI WA GESI
Na Abdulaziz Kilwa Masoko
Wananchi wilayani Kilwa mkoani Lindi wameendelea kunufaika na wawekezaji,baada ya kampuni ya uchimbaji gesi ya PANAFRICAN ENERGY kuikabidhi halmashauri hiyo zahanati ya kijiji cha Nangurukuru ambayo ujenzi wake umegharimu Tshs 262 Milioni .
Akizungumza wakati...
11 years ago
Habarileo06 Feb
LAAC yasema wanasheria wa halmashauri ni dhaifu
WANASHERIA wa baadhi ya halmashauri za wilaya nchini wamedaiwa kuwa chanzo cha kuzisababishia halmashauri zao kupata hati chafu au zenye mashaka kutokana na mwenendo wao wa uandaaji wa kesi na matumizi yasiyo ya lazima katika kesi hizo.
11 years ago
Mwananchi05 Mar
Serikali inafaidika na migogoro ya walimu?
9 years ago
Michuzi01 Oct
TAASISI YA UONGOZI YAANDAA WARSHA YA NAFASI YA WADAU WA NGAZI YA MKOA, WILAYA NA HALMASHAURI KATIKA USIMAMIZI WA RASILIMALI ZA MAFUTA NA GESI ASILIA
9 years ago
StarTV21 Aug
Usafirishaji gesi: Kisima namba 3 cha Gesi Msimbati Mtwara chafunguliwa
Matumaini ya kuanza kuzalishwa umeme unaotokana na gesi siku chache zijazo yameanza kudhihirika baada ya kisima namba 3 cha gesi kilichoko Msimbati wilayani Mtwara kufunguliwa.
Lengo ni kuruhusu gesi kusafiri kwenye bomba hadi Madimba kuwezesha hatua ya uchakataji kuanza.
Mkurugenzi mkuu wa shirika la Maendeleo ya Petrol Tanzania TPDC James Mataragio akifungua rasmi bomba hilo kutoka kisima No MB 3 katika kijiji cha Msimbati na kubainisha kuwa mradi huo umejengwa kwa muda mfupi sana...
10 years ago
StarTV28 Jan
Halmashauri Gairo yaidai Halmashauri Kilosa Sh. Mil. 253
Na Kasilda Mgeni Mulimila,
Morogoro.
Halmashauri ya wilaya Mpya ya Gairo mkoa Morogoro imeiangukia Serikali kuwasaidia kurejeshwa kwa fedha za mapato ya ndani zaidi ya shilingi milioni 250 ambazo zimechukuliwa na halmashauri mama ya wilaya ya Kilosa hali inayofanya Gairo kuonesha upungufu katika makusanyo ya ndani.
Halmashauri ya wilaya ya Kilosa imekuwa ikichukua mapato ya ndani ya halmashauri ya Gairo kupitia wakala wa kukusanya mapato walioingia mkataba na wilaya hiyo ya Kilosa kabla...
9 years ago
TheCitizen14 Oct
Magufuli’s promise to Kilwa
11 years ago
Habarileo20 Feb
Mvua yasababisha maafa Kilwa
WAKAZI wa Wilaya ya Kilwa mkoani Lindi, wanakabiliwa na maafa kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha hivi sasa kusababisha mashamba, nyumba za makazi na majengo ya shule za msingi na sekondari, kuharibiwa Diwani wa Kata ya Mandawa Hassani Nalinga, amesema hayo jana kwenye kikao cha Baraza la Madiwani akichangia hoja kutoka kwenye Kamati ya Jamii, Maendeleo na Mazingira.