Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KILWA WAENDELEA KUFAIDI HUDUMA ZA WAWEKEZAJI WA GESI

Mkuu wa wilaya Ya Kilwa ,Abdallah Ulega (kushoto) akipokea sehemu ya mchango uliotolewa na Kampuni ya uchimbaji gesi ya PANAFRICAN ENERGY kutoka kwa Meneja wa huduma za jamii wa kampuni hiyo,Andrew Kashangaki .
Na Abdulaziz Kilwa Masoko
Wananchi wilayani Kilwa mkoani Lindi wameendelea kunufaika na wawekezaji,baada ya kampuni ya uchimbaji gesi ya PANAFRICAN ENERGY kuikabidhi halmashauri hiyo zahanati ya kijiji cha Nangurukuru ambayo ujenzi wake umegharimu Tshs 262 Milioni .
Akizungumza wakati...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Vijana 916 waandaliwa kufaidi gesi

VIJANA 916 wa Kitanzania wengi kutoka mikoa ya Lindi na Mtwara, wamepewa mafunzo ya ndani na nje ya nchi zitakazokuwa na mahitaji makubwa katika sekta ya gesi. Kati ya vijana hao, vijana 668 wanatoka katika mikoa ya Lindi na Mtwara na wamepewa mafunzo ya miaka miwili ya stadi za huduma mbalimbali katika viwango vya kimataifa, katika Chuo cha Mamlaka ya Ufundi Stadi (VETA), mkoani Mtwara.

 

11 years ago

Habarileo

Halmashauri Kilwa yasema inafaidika na gesi

HALMASHAURI ya Wilaya ya Kilwa imesema kwa kiasi kikubwa inafaidika vilivyo na rasilimali zilimo ndani ya wilaya hiyo, ikiwemo gesi asilia. Kutokana na faida hiyo, halmashauri hiyo imeandaa miradi mikubwa mitatu itakayowashirikisha wadau, na inatarajiwa kuanzia mwezi Machi mwaka huu mpaka Juni itakuwa imeshaanza.

 

11 years ago

Mwananchi

JK ataka wawekezaji waaminifu katika gesi

Rais Jakaya Kikwete amesema Tanzania inahitaji washirika wawekezaji waaminifu katika sekta ya gesi, ili kuwezesha Watanzania kunufaika kikamilifu na rasilimali hiyo.

 

11 years ago

Mwananchi

Gesi asili yawavutia wawekezaji wa Misri

Wawekezaji mbalimbali wa Misri wameonyesha nia kuwekeza Tanzania zaidi ya dola 5 milioni za Marekani, hasa eneo la gesi asilia na huduma nyingine.

 

11 years ago

Mwananchi

Wawekezaji gesi watazamwe kwa jicho la pili

Wakati shughuli za uwekezaji zikiendelea kwa kasi ili kuleta mapinduzi ya kiuchumi, mpaka sasa inakadiriwa kuwapo na utajiri wa futi za ujazo trilioni 46 huku Serikali kupitia Shirika la Maendeleo la Petroli nchini (TPDC) likiendelea kusaini mikataba na kampuni mbalimbali katika shughuli za utafutaji wa nishati hiyo.

 

5 years ago

Michuzi

ZUNGU AKUTANA NA WAWEKEZAJI WA NISHATI YA GESI NA UMEME,ASHIRIKI KUPANDA MITI


Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mussa Azzan Zungu hii leo ameungana na kikundi cha Pamoja Youth katika zoezi la Upandaji miti katika Shule ya Sekondari Buguruni-Moto. Takriban miti 100 imependwa katika eneo hilo ikiwemo miti ya matunda na miti ya vivuli.Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mussa Azzan Zungu...

 

10 years ago

Vijimambo

Utoaji huduma za afya bure waendelea kuvutia wengi Sabasaba

Baadhi ya wateja kwenye Maonesho 39 ya Kimataifa ya Biashara, Sabasaba viwanja vya Mwalimu Julias Nyerere Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam wakiwa wamepanga foleni kusubiri kumuona daktari ndani ya Banda la NSSF walipotembelea banda hilo. Baadhi ya wateja kwenye Maonesho 39 ya Kimataifa ya Biashara, Sabasaba viwanja vya Mwalimu Julias Nyerere Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam wakiwa wamepanga foleni kusubiri kumuona daktari ndani ya Banda la NSSF walipotembelea banda hilo.Mmoja wa madaktari (kushoto) akimuhudumia mteja alipokuwa akipatiwa huduma za afya bure zinazotolewa na NSSF. Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) linatoa huduma za afya bure kwa wateja mbalimbali watakaotembelea katika Banda la shirika hilo ndani ya Maonesho ya 39 ya Kimataifa ya Biashara, Sabasaba yanayofanyika viwanja vya Mwalimu Julias Nyerere Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam. Mmoja wa madaktari (kushoto) akimuhudumia mteja alipokuwa akipatiwa huduma za afya bure zinazotolewa na NSSF. Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) linatoa huduma za afya bure kwa wateja mbalimbali watakaotembelea katika Banda la shirika hilo...

 

9 years ago

Michuzi

WAKAZI WA JIJI LA DAR ES SALAAM WAENDELEA KUNUFAIKA NA HUDUMA ZA MAWASILIANO

  Ofisa Mkuu wa Idara ya Mauzo na Usambazaji wa Vodacom Tanzania, Keith Tukei (katikati) akikata utepe kuashiria uzinduzi wa duka jipya la Vodacom Tanzania lililopo katika maduka ya Shoppers plaza Mbezi Beach jijini Dar es Salaam.Wengine katika picha kushoto ni mteja wa kwanza kufika kupata huduma katika duka hilo Bw.Argylle Tsvakai na Mkuu wa kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano wa kampuni hiyo, Rosalynn Mworia. Mteja wa kwanza kufika katika duka jipya la Vodacom Tanzania Bw.Argylle Tsvakai...

 

11 years ago

Michuzi

PPF WAENDELEA KUTOA HUDUMA KWA WAKATI KATIKA MAONYESHO YA 38 YA SABASABA

 Afisa Huduma Kwa Wateja wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Bi Jackline Jackson akitoa ufafanuzi juu ya huduma mbalimbali zinazotolewa na Mfuko wa Pensheni wa PPF kwa wateja waliotembelea Banda la PPF kwenye maonyesho ya Sabasaba yanayoendelea Kufanyika katika viwanja hivyo. Afisa Rasilimali Watu, Utawala na Ushauri wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Happiness Mmbando (Kulia) akimuhudumia mmoja wa wateja waliotembelea banda la PPF katika maonyesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa yanayoendelea Katika...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani