Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Gesi asili yawavutia wawekezaji wa Misri

Wawekezaji mbalimbali wa Misri wameonyesha nia kuwekeza Tanzania zaidi ya dola 5 milioni za Marekani, hasa eneo la gesi asilia na huduma nyingine.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

EPZ Bagamoyo yawavutia wawekezaji kutoka China

Naibu Gavana wa Jimbo la Ji Lin China, ZhongCheng Sui amesema eneo la uwekezaji lililopo Kijiji cha Kerege wilayani Bagamoyo mkoani Pwani ni kivutio cha wafanyabiashara wa nje.

 

11 years ago

Mwananchi

JK ataka wawekezaji waaminifu katika gesi

Rais Jakaya Kikwete amesema Tanzania inahitaji washirika wawekezaji waaminifu katika sekta ya gesi, ili kuwezesha Watanzania kunufaika kikamilifu na rasilimali hiyo.

 

10 years ago

Mwananchi

Statoil yagundua kisima kingine cha gesi asili

Kampuni ya Statoil ikishirikiana na Exxon Mobil, imetangaza kugundulika kwa gesi asilia katika eneo jipya la Giligiliani-1 katika ukanda wa Bahari ya Hindi.

 

11 years ago

Mwananchi

Wawekezaji gesi watazamwe kwa jicho la pili

Wakati shughuli za uwekezaji zikiendelea kwa kasi ili kuleta mapinduzi ya kiuchumi, mpaka sasa inakadiriwa kuwapo na utajiri wa futi za ujazo trilioni 46 huku Serikali kupitia Shirika la Maendeleo la Petroli nchini (TPDC) likiendelea kusaini mikataba na kampuni mbalimbali katika shughuli za utafutaji wa nishati hiyo.

 

10 years ago

Michuzi

KILWA WAENDELEA KUFAIDI HUDUMA ZA WAWEKEZAJI WA GESI

Mkuu wa wilaya Ya Kilwa ,Abdallah Ulega (kushoto) akipokea sehemu ya mchango uliotolewa na Kampuni ya uchimbaji gesi ya PANAFRICAN ENERGY kutoka kwa Meneja wa huduma za jamii wa kampuni hiyo,Andrew Kashangaki .
Na Abdulaziz Kilwa Masoko
Wananchi wilayani Kilwa mkoani Lindi wameendelea kunufaika na wawekezaji,baada ya kampuni ya uchimbaji gesi ya PANAFRICAN ENERGY kuikabidhi halmashauri hiyo zahanati ya kijiji cha Nangurukuru ambayo ujenzi wake umegharimu Tshs 262 Milioni .
Akizungumza wakati...

 

10 years ago

Michuzi

UJENZI WA MTAMBO WA KUCHAKATA GESI ASILI KUCHUKUA MIAKA SABA


Na. Leonard Mwakalebela, Norway UJENZI wa mtambo wa kuchakata gesi asili kwa ajili ya matumizi mbalimbali (LNG) mjini Mtwara unakadiriwa kuchukua miaka takriban saba.
Meneja Uendeshaji wa kampuni ya Statoil Tanzania Bw. Thomas Mannes amesema kuwa, mambo yakienda kama yalivyopangwa, mtambo huo utakuwa tayari kwa uchakataji kati ya mwaka 2022 au 2023.
Akizungumza na viongozi wa dini wa Tanzania waliotembelea mtambo wa uchakataji gesi wa Statoil uliopo Karsto, Bw.Mannes amesema kuwa mradi huo...

 

9 years ago

BBCSwahili

Gesi nyingi yagunduliwa Misri

Kampuni moja ya Utaliana yasema yagundua gesi itayofaa Misri kwa miongo kadha ijayo

 

5 years ago

Michuzi

ZUNGU AKUTANA NA WAWEKEZAJI WA NISHATI YA GESI NA UMEME,ASHIRIKI KUPANDA MITI


Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mussa Azzan Zungu hii leo ameungana na kikundi cha Pamoja Youth katika zoezi la Upandaji miti katika Shule ya Sekondari Buguruni-Moto. Takriban miti 100 imependwa katika eneo hilo ikiwemo miti ya matunda na miti ya vivuli.Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mussa Azzan Zungu...

 

9 years ago

Habarileo

Kasi ya Rais Magufuli yawavutia maaskofu

VIONGOZI wa makanisa mbalimbali nchini, wametoa salamu za Sikukuu ya Krismasi jana, wakielezea kufurahishwa na kasi ya utendaji kazi wa Rais John Magufuli. Wamesisitiza waumini wao, kumuombea Rais na kuwataka wananchi kutii mamlaka, kwa kuwa yamewekwa na Mungu. Viongozi hao pia, wamewataka watendaji wa Serikali na wananchi walioshiriki ukwepaji kodi, watubu dhambi zao na kurejesha vyote walivyochukua, ambavyo si halali yao.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani