ZUNGU AKUTANA NA WAWEKEZAJI WA NISHATI YA GESI NA UMEME,ASHIRIKI KUPANDA MITI
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mussa Azzan Zungu hii leo ameungana na kikundi cha Pamoja Youth katika zoezi la Upandaji miti katika Shule ya Sekondari Buguruni-Moto. Takriban miti 100 imependwa katika eneo hilo ikiwemo miti ya matunda na miti ya vivuli.Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mussa Azzan Zungu...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
MichuziWAZIRI ZUNGU AKUTANA NA WADAU WA NISHATI MBADALA
10 years ago
MichuziMKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM AONGOZA UPANDAJI MITI MABWEPANDE KATIKA MAADHIMISHO YA WIKI YA KUPANDA MITI
10 years ago
MichuziMKOA WA KAGERA WAADHIMISHA SIKU YA KUPANDA MITI KITAIFA WILAYANI ‘MISSENYI MISITU NI MALI PANDA MITI'
Maadhimisho hayo yaliyoongozwa na mgeni rasmi Naibu Katibu Mkuu Celestine Gesimba kutoka Wizara ya Maliasili na Utalii ambapo maadhimisho hayo yalianzia katika Kijiji cha Bugolola eneo la...
5 years ago
MichuziMGALU- VIWANDA VIPYA 50 KUNUFAINIKA NA HUDUMA YA NISHATI YA UMEME WA GESI ASILIA
11 years ago
Tanzania Daima12 Apr
Wananchi wahimizwa kupanda miti
MKUU wa Wilaya ya Mufindi, mkoani Iringa, Evarista Kalalu, amewataka wananchi wa wilaya hiyo kujenga tabia ya kupanda miti na kutunza mazingira kwa lengo la kukabiliana na changamoto za mabadiliko...
10 years ago
Habarileo17 Aug
Jamii yaaswa kupanda miti
SHIRIKA lisilo la kiserikali la Solar Oven Society Africa limetaka jamii kupanda miti kwa wingi katika maeneo yao ili kulinda na kuhifadhi mazingira na kuepusha nchi kugeuka jangwa.
10 years ago
Tanzania Daima11 Nov
Mbunge ataka magereza kupanda miti
MBUNGE wa Kisarawe, Seleman Jaffo (CCM) ametaka kujua mikakati ya serikali kuwezesha majeshi ya magereza kupanda miti na kutunza mazingira kwenye maeneo yao magereza. Katika swali la awali la Mbunge...
11 years ago
Tanzania Daima07 Jun
‘Tunzeni mazingira kwa kupanda miti’
MKUU wa Wilaya ya Temeke, Sofia Mjema, amewahimiza wananchi kushirikiana katika upandaji miti, ili kuzuia mmomonyoko wa ardhi, kwani kwa kufanya hivyo kutasaidia kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi. Mjema...
11 years ago
Tanzania Daima04 Jun
Ilala kupanda miti zaidi ya 1,200
MANISPAA ya Ilala imeanza kuadhimisha Siku ya Mazingira kwa kupanda miti 100 kati ya 1,252 inayotarajiwa kupandwa ifikapo Juni 5, siku ya kilele cha maadhimisho hayo. Akizungimza wakati wa shughuli...