Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WAZIRI ZUNGU AKUTANA NA WADAU WA NISHATI MBADALA

 Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mh. Mussa Zungu akiongea na ujumbe kutoka Oryx gas Tanzania waliomtembelea Ofisini kwake Luthuli jijini Dar es Salaamikiwa ni maongezi juu matumizi ya gesi katika kupunguza wimbi la ukataji miti.  Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mh. Mussa Zungu akiwa katika mazungumzo na ujumbe wa Kampuni ya Burn Stove kutoka Kenya ambao walimtebelea Ofisini kwake Luthuli jijini Dar es Salaam ikiwa ni kwa ajili...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

WAZIRI ZUNGU AKUTANA NA MENEJIMENTI YA NEMC NA WADAU WA MAZINGIRA



Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mh. Mussa Azzan Zungu  akifafanua jambo wakati wa kikao na Menejimenti ya Baraza la Taifa la Uhifadhi na Mazingira (NEMC) pamoja na Wadau wa Mazingira kilichofanyika katika Ofisi za NEMC jijini Dar es Salaam.Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mh. Mussa Azzan...

 

5 years ago

Michuzi

ZUNGU AKUTANA NA WAWEKEZAJI WA NISHATI YA GESI NA UMEME,ASHIRIKI KUPANDA MITI


Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mussa Azzan Zungu hii leo ameungana na kikundi cha Pamoja Youth katika zoezi la Upandaji miti katika Shule ya Sekondari Buguruni-Moto. Takriban miti 100 imependwa katika eneo hilo ikiwemo miti ya matunda na miti ya vivuli.Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mussa Azzan Zungu...

 

5 years ago

Michuzi

DK.Shein Akutana na Waziri wa Muungano na Mazingira Mhe. Zungu

 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana  na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamo wa Rais Muungano na Mazingira  Mhe.Mussa Hassan Zungu (katikati) wakati alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo kujitambulisha akiwa ujumbe wake (Kushoto) Mkurugenzi wa Muungano Balozi   Mbarouk Nassor Mbarouk.(Picha na Ikulu.) 14/02/2020.

 

10 years ago

Michuzi

Waziri wa Nishati na Madini akutana na Balozi wa Marekani nchini

Na Teresia Mhagama
Balozi wa Marekani nchini, Mark Childress na Ujumbe wake, wamekutana na Waziri wa Nishati na Madini, George Simbachewene, katika makao makuu ya Wizara ya Nishati na Madini jijini Dar es Salaam.
Viongozi hao walikutana ili kuzungumzia masuala mbalimbali ikiwemo miradi ya umeme inayofadhiliwa na Mfuko wa Changamoto za Milenia (MCC), mradi mkubwa wa umeme unaofadhiliwa na nchi ya Marekani ujulikanao kama Umeme Afrika (Power Africa) pamoja na suala la kuwajengea...

 

5 years ago

Michuzi

ZUNGU ASISITIZA MATUMIZI YA MIFUKO MBADALA ILIYOKIDHI VIWANGO

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mussa Azzan Zungu akionyesha mifuko mbadala isiyokuwa na nembo na hairuhusiwi kutumika hapa nchini (kulia) na kulia ni Mifuko yenye Nembo inayoruhusiwa kutumika hapa nchini.Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mussa Azzan Zungu, akiongea na watendaji na Menejimenti ya Mwananchi Communications Limited (MCL) Francis Nanai.

Na Lulu Mussa Dar es SalaamWaziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na...

 

10 years ago

Michuzi

MAALIM SEIF AKUTANA NA WAZIRI WA NISHATI WA QATAR JIJINI DOHA

Na: Hassan Hamad, Doha. Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad ameishauri serikali ya Qatar kuangalia uwezekano wa kushirikiana na Zanzibar katika kuendeleza sekta ya nishati nchini. Amesema Zanzibar ikiwa miongoni mwa nchi zinazoendelea, bado inakabiliwa na changamoto nyingi ikiwemo ya upatikanaji wa umeme wa uhakika ambapo kwa sasa inategemea nishati hiyo kutoka Tanzania Bara. Maalim Seif ametoa ushauri huo wakati alipokutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani