Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KAMPUNI YA NISHATI INAENDELEZA MPANGO WA MATUMIZI YA NISHATI MBADALA

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Nishati na Madini kuanzisha Mpango wa Taifa wa Matumizi Bora ya Nishati

Mtaalamu kutoka Idara ya Nishati iliyopo chini ya Wizara ya Nishati na Madini Mhandisi Nyaso Makwaya akisisitiza jambo wakati alipokuwa  akiwasilisha mada kuhusiana na mikakati ya Wizara katika kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi

 Na Greyson Mwase, MorogoroWizara ya nishati na madini inatarajia kuanzisha mpango wa taifa wa matumizi bora ya nishati  unaotarajiwa kuanza kutekelezwa mara baada ya maandalizi yake kukamilika.Akizungumza katika  kongamano la mabadiliko ya tabianchi...

 

10 years ago

Dewji Blog

Airtel na GSMA waandaa semina kuhamashisha matumizi ya Nishati mbadala rafiki wa mazingira Dar — Green Power Energy

SONY DSC

Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Prof. Makame Mnyaa Mbarawa  (wa pili kushoto), akimpongeza Mkurugenzi Mtendaji wa Airtel Tanzania, Sunil Colaso, baada ya kuzindua warsha ya siku mbili ya Nishati ya mbadala kwa wadau wa Mawasiliano ya simu ya GSMA, inayofanyika jijini Dar es Salaam.  Kulia ni Meneja wa Programu wa GSMA Mobile, Ferdous Mottakin na Afisa Mtendaji Mkuu wa Airtel Africa Towers Services Ltd, Prakash Ranjalkar.

SONY DSC

Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Prof....

 

10 years ago

Michuzi

Airtel na GSMA waandaa semina kuhamashisha matumizi ya Nishati mbadala rafiki wa mazingira Dar es Salaam - Green Power Energy

Bharti Airtel, kampuni ya mawasiliano ya kimataifa yenye shughuli katika nchi 20 mbalimbali Asia na Afrika, leo imeshiriki kuandaa semina ya GSMA inayofanyika Dar es Salaam kwa siku mbili mfululizo tarehe 12 na 13 Agosti 2014 katika hoteli ya Serena.  Semina hiyo ya kimataifa ya GSMA inalenga zaidi kutazama maendelea ya sekta ya Mawasiliano kwa kuangalia Zaidi mipango, mafanikio na fursa ya baadaye ya mawasiliano ya nishati mbadala rafiki kwa mazingirana yaani –green telecoms, pia itaendesha...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Wananchi watakiwa kutumia nishati mbadala

MTAFITI wa Taasisi ya Uchumi na Jamii (ESRF), Solomon Balegu ametaka Watanzania kutumia nishati mbadala ili kuepuka mabadiliko ya tabianchi. Akizungumza jana jijini Dar es Salaam, Balegu alisema kuwa ikiwa...

 

10 years ago

Mwananchi

EAC kujadili nishati mbadala, nafuu

Nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) zitakukutana jijini Dar es Salaam kujadili mikakati ya upatikanaji umeme wa uhakika kwa bei nafuu kwa kutumia nishati mbadala.

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI ZUNGU AKUTANA NA WADAU WA NISHATI MBADALA

 Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mh. Mussa Zungu akiongea na ujumbe kutoka Oryx gas Tanzania waliomtembelea Ofisini kwake Luthuli jijini Dar es Salaamikiwa ni maongezi juu matumizi ya gesi katika kupunguza wimbi la ukataji miti.  Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mh. Mussa Zungu akiwa katika mazungumzo na ujumbe wa Kampuni ya Burn Stove kutoka Kenya ambao walimtebelea Ofisini kwake Luthuli jijini Dar es Salaam ikiwa ni kwa ajili...

 

5 years ago

StarTV

YURO MILIONI 3 zatengwa kwaajili ya mradi wa nishati mbadala Zanzibar

Kiasi cha yuro milioni tatu zinategemewa kutumika katika kufanikisha  upembuzi yakinifu wa mradi wa kutafuta umeme mbadala kwa zanzibar wa upepo na nishati ya jua ili kukabiliana na changamoto ya kutegemea umeme wa mfumo mmoja tu wa kutumia cable kutoka Tanzania Bara. Fedha hizo kutoka Jumuiya ya Ulaya zinategemewa kuiwezesha Zanzibar kuwa na njia nyengine …

 

10 years ago

Vijimambo

DKT. MENGI AFUNGUA KONGAMANO LA NISHATI MBADALA NA MAONYESHO LA AFRIKA MASHARIKI

Mwenyekiti wa Taasisi ya Sekta Binafsi Nchini, ambaye pia ni Mwenyekiti Mtendajiw a IPP, Dkt. Reginald Mengi, akitoa hotuba ya ufunguzi wa kongamano na maonyesho ya nishati mbadala kanda ya Afrika Mashariki, kwenye ukumbi wa kituo cha mikutano cha kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es Salaam leo Oktoba 31, 2014. Wengine pichani ni Mkurugenzi Mtendajiw a Baraza la Biashara la Afrika Mashariki, Andrew LuzzeMwanzilishi mwenza wa kampuni ya OFF. GRID ELECRTIC, Erica Mackey, akizungumzia...

 

10 years ago

Vijimambo

MAWAZIRI WA NISHATI WAJADILI KUHUSU NISHATI ENDELEVU KWA WOTE

Sehemu ya Wajumbe wa Mkutano wa Mawaziri kuhusu nishati, mkutano ambao ulifunguliwa na Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Bw. Jan Eliasson siku ya Jumatano.Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Mhe. Charles Kitwanga akiwa katika Ukumbi wa Mikutano wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, unapofanyika mkutano wa Mawaziri wa Nishati kutoka mataifa mbalimbali duniani, mkutano ambao pia unawashirikisha wadau na wataalamu wanaohusika sekta ya nishati.
Na Mwandishi Maalum, New York
Naibu ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani