Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


YURO MILIONI 3 zatengwa kwaajili ya mradi wa nishati mbadala Zanzibar

Kiasi cha yuro milioni tatu zinategemewa kutumika katika kufanikisha  upembuzi yakinifu wa mradi wa kutafuta umeme mbadala kwa zanzibar wa upepo na nishati ya jua ili kukabiliana na changamoto ya kutegemea umeme wa mfumo mmoja tu wa kutumia cable kutoka Tanzania Bara. Fedha hizo kutoka Jumuiya ya Ulaya zinategemewa kuiwezesha Zanzibar kuwa na njia nyengine …

StarTV

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

WIZARA YA NISHATI NA MADINI KUUNDA KITENGO MAALUMU KWAAJILI YA USHIRIKI WA WATANZANIA KATIKA SERA YA NISHATI NA MADINI

 Msimamizi wa masuala ya ushiriki wa watanzania wa wizara ya nishati na madini Neema Apson akizungumzia jinsi wizara ya nishati na madini inavyoshiriki katika kuhakikisha taarifa zinawafikia wananchi kwa usahihi kuhusiana na mafuta na gesi katika ukumbi wa mikutano wa British Cancil jijinin Dar es Salaam leo. pia wizara hiyo itaunda kitengo maalumu kwaajili ya kusimamia masuala ya gesi na mafuta na kuwajulisha wananchi kushiriki vyema katika nishati zitolewazo hapa nchini.
 Mkuu wa Biashara...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Milioni 65/- zatengwa Mbarali kwa ajili ya wajawazito

SHILINGI milioni 65 zimetengwa mwaka huu na Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya kwa ajili ya huduma ya uzazi kwa akina mama wanaofika kujifungua Hospitali ya Misheni ya Lutheran...

 

9 years ago

Dewji Blog

Dola Milioni 17 zatengwa kunufaisha wavuvi wa ukanda wa bahari Tanzania bara!!

WavuviBaadhi ya wavuvi wakiandaa nyavu zao kwa ajili ya kwenda kufanya shughuli zao za uvuvi..

Na Rabi Hume,Modewjiblog

Wavuvi wa ukanda wa bahari ya Hindi wanatarajiwa kunufaika na mradi wa Udhibiti wa Uvuvi na Maendeleo Shirikishi Kusini Magharibi mwa Bahari ya Hindi (SWIOFISH) ambao mradi unagharimu kiasi cha Dola Milioni 36 ambazo zimetolewa na mashirika ya kimataifa ili kufanikisha mradi huo.

Akizungumza na waandishi wa habari katika ukumbi wa Habari Maelezo, Mkuu wa kitengo cha...

 

10 years ago

Mwananchi

EAC kujadili nishati mbadala, nafuu

Nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) zitakukutana jijini Dar es Salaam kujadili mikakati ya upatikanaji umeme wa uhakika kwa bei nafuu kwa kutumia nishati mbadala.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Wananchi watakiwa kutumia nishati mbadala

MTAFITI wa Taasisi ya Uchumi na Jamii (ESRF), Solomon Balegu ametaka Watanzania kutumia nishati mbadala ili kuepuka mabadiliko ya tabianchi. Akizungumza jana jijini Dar es Salaam, Balegu alisema kuwa ikiwa...

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI ZUNGU AKUTANA NA WADAU WA NISHATI MBADALA

 Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mh. Mussa Zungu akiongea na ujumbe kutoka Oryx gas Tanzania waliomtembelea Ofisini kwake Luthuli jijini Dar es Salaamikiwa ni maongezi juu matumizi ya gesi katika kupunguza wimbi la ukataji miti.  Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mh. Mussa Zungu akiwa katika mazungumzo na ujumbe wa Kampuni ya Burn Stove kutoka Kenya ambao walimtebelea Ofisini kwake Luthuli jijini Dar es Salaam ikiwa ni kwa ajili...

 

10 years ago

Vijimambo

DKT. MENGI AFUNGUA KONGAMANO LA NISHATI MBADALA NA MAONYESHO LA AFRIKA MASHARIKI

Mwenyekiti wa Taasisi ya Sekta Binafsi Nchini, ambaye pia ni Mwenyekiti Mtendajiw a IPP, Dkt. Reginald Mengi, akitoa hotuba ya ufunguzi wa kongamano na maonyesho ya nishati mbadala kanda ya Afrika Mashariki, kwenye ukumbi wa kituo cha mikutano cha kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es Salaam leo Oktoba 31, 2014. Wengine pichani ni Mkurugenzi Mtendajiw a Baraza la Biashara la Afrika Mashariki, Andrew LuzzeMwanzilishi mwenza wa kampuni ya OFF. GRID ELECRTIC, Erica Mackey, akizungumzia...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani