Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Dola za Marekani Milioni 3.4 Zatengwa Kusaidia Wachimbaji Wadogo wa Madini Tanzania

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

BENKI YA DUNIA NA SERIKALI IKISHIRIKIANA NA WAWEKEZAJI WAKUBWA WA MADINI WAZINDUA MRADI WA UCHIMBAJI MADINI KWA WACHIMBAJI WADOGO WADOGO MKOANI GEITA.

Naibu Waziri wa Nishati na Madini Mh,Stephen Masele akizungumza kwenye uzinduzi huo uliovuta hisia za wanakijiji wengi.Naibu Waziri wa Nishati na Madini akizungumza na Wananchi Mkurugenzi Mtendaji wa Geita Gold Mine,Michael Van Anen Mwakilishi Mwandamizi kutoka Benki ya Dunia ambaye pia ni mtaalamu wa madini kutoka idara ya nishati endelevu nchini Marekani,Bwa.Mamadou Barry akizungumza wakati wa uzinduzi wa mradi mkubwa wa uchimbaji madini kwa wachimbaji wadogo wadogo katika kijiji cha...

 

9 years ago

Dewji Blog

Dola Milioni 17 zatengwa kunufaisha wavuvi wa ukanda wa bahari Tanzania bara!!

WavuviBaadhi ya wavuvi wakiandaa nyavu zao kwa ajili ya kwenda kufanya shughuli zao za uvuvi..

Na Rabi Hume,Modewjiblog

Wavuvi wa ukanda wa bahari ya Hindi wanatarajiwa kunufaika na mradi wa Udhibiti wa Uvuvi na Maendeleo Shirikishi Kusini Magharibi mwa Bahari ya Hindi (SWIOFISH) ambao mradi unagharimu kiasi cha Dola Milioni 36 ambazo zimetolewa na mashirika ya kimataifa ili kufanikisha mradi huo.

Akizungumza na waandishi wa habari katika ukumbi wa Habari Maelezo, Mkuu wa kitengo cha...

 

11 years ago

GPL

BENKI YA DUNIA YAZINDUA MRADI WA UCHIMBAJI MADINI KWA WACHIMBAJI WADOGO WADOGO MKOANI GEITA

Naibu Waziri wa Nishati na Madini Mh,Stephen Masele akizungumza kwenye uzinduzi huo uliovuta hisia za wanakijiji wengi. Naibu Waziri wa Nishati na Madini akizungumza na Wananchi Mkurugenzi…

 

11 years ago

Michuzi

ZIARA YA KATIBU MKUU WA CCM,KINANA NDANI YA MERERANI,AKUTANA NA WACHIMBAJI WADOGO WADOGO WA MADINI NA KUSIKILZA CHANGAMOTO ZAO

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akioneshwa vipande vya madini aina ya Tanzanite ,katika mgodi wa mchimbaji mzawa wa madini ya Tanzanite Bi.Suzie Didas Kennedy.Katibu Mkuu wa CCM alitembelea migodi ya wachimbaji wadogo wa Mererani na kuzungumza nao juu ya changamoto zinazowakabili na namna ya kuzitatua. Pichani kati aneshuhudia ni Mbunge wa Jimbo la Simanjiro,Mh.Christopher Ole Sendeka.  Moja ya jiwe lenye madini kabla ya kufanyiwa mchakato.     Katibu Mkuu wa CCM Ndugu...

 

10 years ago

Michuzi

Wachimbaji madini wadogo waipongeza Serikali

 Mwenyekiti wa Shirikisho la Vyama vya Wachimbaji Madini Tanzania (FEMATA), Gregory Kibusi akiwasilisha mada kuhusu wachimbaji wadogo wa madini katika Semina ya Wathamini Madini ya Vito na Almasi nchini, iliyofanyika hivi karibuni (Agosti 12 na 13, 2015) katika Hoteli ya Gold Crest jijini Mwanza.  Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimaliwatu, Mrimia Mchomvu, akitoa hotuba ya kufunga Semina ya Wathamini Madini ya Vito na Almasi nchini iliyofanyika hivi karibuni (Agosti 12 na 13, 2015) katika...

 

11 years ago

Habarileo

Madini wakabidhi leseni kwa wachimbaji wadogo

SERIKALI kupitia Wizara ya Nishati na Madini imekabidhi leseni mbili zenye namba 1268 na 1269 kwa wachimbaji wadogo wa madini ya dhahabu katika Kijiji cha Ishokelahela, wilayani Misungwi mkoani Mwanza.

 

5 years ago

Michuzi

Wachimbaji Wadogo wa Madini Manyoni Waomba kupatiwa Umeme


Wachimbaji wa Madini wakiendelea na shughuli za uchimbaji wa madini katika machimbo ya dhahabu yaliyopo katika eneo la Londoni wilayani Manyoni mkoani Singida tarehe 18 Aprili, 2020.
Afisa Madini Mkazi wa Mkoa wa Singida, Mjiolojia Chone Malembo (kulia)akibadilishana mawazo na mmiliki wa mgodi wa Paulo Msalaba na Washirika, Martin Thomas (kushoto) katika machimbo ya dhahabu yaliyopo katika eneo la Londoni wilayani Manyoni mkoani Singida tarehe 18 Aprili, 2020. Mmiliki wa mgodi wa Paulo...

 

9 years ago

StarTV

Wachimbaji wadogo  Bukoba wataka Shria ya madini iangaliwe upya

Wachimbaji wadogo katika machimbo ya Nyanga wilayani Bukoba, wameilalamikia sheria namba kumi na nne  ya Madini ya mwaka 2010 kuwa inawanyima fursa katika shughuli za uchimbaji na usafirishaji wa madini ujenzi na hivyo kusababisha gharama  kubwa za ujenzi kwa watu wa kada ya kati na chini.

Licha ya kulaumu baadhi ya vipengele vilivyomo katika sheria hiyo, wamesema  inawakandamiza na hivyo kusababisha mgongano baina yao na watumishi wa idara ya madini mkoani humo .

Pamoja na wachimbaji hawa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani