Wachimbaji wadogo  Bukoba wataka Shria ya madini iangaliwe upya
Wachimbaji wadogo katika machimbo ya Nyanga wilayani Bukoba, wameilalamikia sheria namba kumi na nne ya Madini ya mwaka 2010 kuwa inawanyima fursa katika shughuli za uchimbaji na usafirishaji wa madini ujenzi na hivyo kusababisha gharama kubwa za ujenzi kwa watu wa kada ya kati na chini.
Licha ya kulaumu baadhi ya vipengele vilivyomo katika sheria hiyo, wamesema inawakandamiza na hivyo kusababisha mgongano baina yao na watumishi wa idara ya madini mkoani humo .
Pamoja na wachimbaji hawa...
StarTV
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi15 Sep
BENKI YA DUNIA NA SERIKALI IKISHIRIKIANA NA WAWEKEZAJI WAKUBWA WA MADINI WAZINDUA MRADI WA UCHIMBAJI MADINI KWA WACHIMBAJI WADOGO WADOGO MKOANI GEITA.
11 years ago
GPL
BENKI YA DUNIA YAZINDUA MRADI WA UCHIMBAJI MADINI KWA WACHIMBAJI WADOGO WADOGO MKOANI GEITA
11 years ago
Michuzi
ZIARA YA KATIBU MKUU WA CCM,KINANA NDANI YA MERERANI,AKUTANA NA WACHIMBAJI WADOGO WADOGO WA MADINI NA KUSIKILZA CHANGAMOTO ZAO



10 years ago
Michuzi
Wachimbaji madini wadogo waipongeza Serikali

11 years ago
Habarileo20 Jul
Madini wakabidhi leseni kwa wachimbaji wadogo
SERIKALI kupitia Wizara ya Nishati na Madini imekabidhi leseni mbili zenye namba 1268 na 1269 kwa wachimbaji wadogo wa madini ya dhahabu katika Kijiji cha Ishokelahela, wilayani Misungwi mkoani Mwanza.
5 years ago
Michuzi
Wachimbaji Wadogo wa Madini Manyoni Waomba kupatiwa Umeme


Afisa Madini Mkazi wa Mkoa wa Singida, Mjiolojia Chone Malembo (kulia)akibadilishana mawazo na mmiliki wa mgodi wa Paulo Msalaba na Washirika, Martin Thomas (kushoto) katika machimbo ya dhahabu yaliyopo katika eneo la Londoni wilayani Manyoni mkoani Singida tarehe 18 Aprili, 2020.

9 years ago
Michuzi
10 years ago
Michuzi
MAGUFULI APIGWA NA BUTWAA NYOMI LA GEITA, AAHIDI KUSHUGHULIKIA MATATIZO YA WACHIMBAJI WADOGO WA MADINI

Mgombea Urais Huyo amewaambia wananchi wa Geita kuwa mara atakapoingia Ikulu, moja ya changamoto anazotarajiwa kuzipa kipaumbele ni pamoja na suala la kutatua mgogoro wa wachimbaji madini wadogo wadogo.
Magufuli ameasema...
9 years ago
Michuzi
wachimbaji wadogo wa madini ya Tanzanite Mji mdogo wa Mirerani kupinga kufungiwa migodi yao

