Airtel na GSMA waandaa semina kuhamashisha matumizi ya Nishati mbadala rafiki wa mazingira Dar es Salaam - Green Power Energy
![](http://1.bp.blogspot.com/-xcJOlJ9xc1w/U-thBamh1_I/AAAAAAAF_NQ/6pdKBegIBB0/s72-c/unnamed%2B(5).jpg)
Bharti Airtel, kampuni ya mawasiliano ya kimataifa yenye shughuli katika nchi 20 mbalimbali Asia na Afrika, leo imeshiriki kuandaa semina ya GSMA inayofanyika Dar es Salaam kwa siku mbili mfululizo tarehe 12 na 13 Agosti 2014 katika hoteli ya Serena. Semina hiyo ya kimataifa ya GSMA inalenga zaidi kutazama maendelea ya sekta ya Mawasiliano kwa kuangalia Zaidi mipango, mafanikio na fursa ya baadaye ya mawasiliano ya nishati mbadala rafiki kwa mazingirana yaani –green telecoms, pia itaendesha...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog13 Aug
Airtel na GSMA waandaa semina kuhamashisha matumizi ya Nishati mbadala rafiki wa mazingira Dar — Green Power Energy
Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Prof. Makame Mnyaa Mbarawa (wa pili kushoto), akimpongeza Mkurugenzi Mtendaji wa Airtel Tanzania, Sunil Colaso, baada ya kuzindua warsha ya siku mbili ya Nishati ya mbadala kwa wadau wa Mawasiliano ya simu ya GSMA, inayofanyika jijini Dar es Salaam. Kulia ni Meneja wa Programu wa GSMA Mobile, Ferdous Mottakin na Afisa Mtendaji Mkuu wa Airtel Africa Towers Services Ltd, Prakash Ranjalkar.
Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Prof....
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/OcxvxG4wHxZueZU1IrXseSysrlpbIZZGX0iswoobxtGUkQ6-eijN7-pFA*m1QCLr6kO0SPVVXLrh7NqLH4HIxhb8TtfC5kCi/1.jpg?width=650)
AIRTEL, GSMA WAANDAA SEMINA KUHAMASHISHA MATUMIZI YA NISHATI DAR
11 years ago
Michuzi04 Mar
11 years ago
Dewji Blog08 May
Wahariri wa vyombo vya habari wapewa semina ya kuelimisha utunzaji wa Mazingira Jijini Dar Es Salaam
Mkurugenzi Mkuu wa Mazingira Ofisi ya Makamu wa Rais Julius Ningu akifungua mkutano na Wahariri wa vyombo vya habari juu ya utunzaji wa Mazingira na kuelekea maadhimisho ya siku ya Mazingira Duniani mapema mwezi wa Sita.
Mwendesha mada wakati wa Mkutano wa Wahariri wa vyombo mbalimbali vya Habari juu ya masuala ya mazingira Bi. Singlunda akitoa maelezo na mwongozo wa mada mbalimbali zilizokuwa zikiwasilishwa.
Mmoja ya Wataalam wa Mazingira kutoka Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira...
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-Jo4jM0iZuqM/U2tViJvSMEI/AAAAAAACgeg/fx95lpx899I/s72-c/1.jpg)
WAHARIRI WA VYOMBO VYA HABARI WAPEWA SEMINA YA KUELIMISHA UTUNZAJI WA MAZINGIRA MAY 7-2014 JIJINI DAR ES SALAAM
![](http://3.bp.blogspot.com/-Jo4jM0iZuqM/U2tViJvSMEI/AAAAAAACgeg/fx95lpx899I/s1600/1.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/--UDeLTjFcFI/U2tVsWbj2kI/AAAAAAACges/zW0tTrjxP0Y/s1600/2.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-Z6hpwsfZtlM/U2tV5JZO44I/AAAAAAACge4/J5dz8xVueYw/s1600/3.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-FH20rqKyv2c/U2tWGVV7-eI/AAAAAAACgfI/0yNhu9Hv114/s1600/4.jpg)
9 years ago
GPLWAJASIRIAMALI WALIOWEZESHWA NA AIRTEL FURSA WATEMBELEA OFISI ZA AIRTEL ZILIZOPO JIJINI DAR ES SALAAM
10 years ago
GPLAIRTEL KUZINDUA AIRTEL UNI 255 J-MOSI MAALUM KWA VYUO VIKUU DAR ES SALAAM
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-G25Ul8cs488/U89axozq-pI/AAAAAAAF5BU/QRkUZb08clA/s72-c/unnamed+(5).jpg)
Nishati na Madini kuanzisha Mpango wa Taifa wa Matumizi Bora ya Nishati
![](http://3.bp.blogspot.com/-G25Ul8cs488/U89axozq-pI/AAAAAAAF5BU/QRkUZb08clA/s1600/unnamed+(5).jpg)
10 years ago
Tanzania Daima08 Sep
EADB, DLA Piper waandaa semina ya mikataba
BENKI ya Maendeleo ya Afrika ya Mashariki (EADB), kwa kushirikiana na taasisi ya kisheria ya DLA Piper imeandaa semina kuhusu elimu juu ya mikataba ya miradi ya fedha, Septemba 9...