Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


AIRTEL, GSMA WAANDAA SEMINA KUHAMASHISHA MATUMIZI YA NISHATI DAR

Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Prof. Makame Mnyaa Mbarawa  (wa pili kushoto), akimpongeza Mkurugenzi Mtendaji wa Airtel Tanzania, Sunil Colaso, baada ya kuzindua warsha ya siku mbili ya Nishati ya mbadala kwa wadau wa Mawasiliano ya simu ya GSMA, inayofanyika jijini Dar es Salaam leo.  Kulia ni Meneja wa Programu wa GSMA Mobile, Ferdous Mottakin na Afisa Mtendaji Mkuu wa Airtel Africa Towers Services Ltd,...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Airtel na GSMA waandaa semina kuhamashisha matumizi ya Nishati mbadala rafiki wa mazingira Dar — Green Power Energy

SONY DSC

Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Prof. Makame Mnyaa Mbarawa  (wa pili kushoto), akimpongeza Mkurugenzi Mtendaji wa Airtel Tanzania, Sunil Colaso, baada ya kuzindua warsha ya siku mbili ya Nishati ya mbadala kwa wadau wa Mawasiliano ya simu ya GSMA, inayofanyika jijini Dar es Salaam.  Kulia ni Meneja wa Programu wa GSMA Mobile, Ferdous Mottakin na Afisa Mtendaji Mkuu wa Airtel Africa Towers Services Ltd, Prakash Ranjalkar.

SONY DSC

Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Prof....

 

10 years ago

Michuzi

Airtel na GSMA waandaa semina kuhamashisha matumizi ya Nishati mbadala rafiki wa mazingira Dar es Salaam - Green Power Energy

Bharti Airtel, kampuni ya mawasiliano ya kimataifa yenye shughuli katika nchi 20 mbalimbali Asia na Afrika, leo imeshiriki kuandaa semina ya GSMA inayofanyika Dar es Salaam kwa siku mbili mfululizo tarehe 12 na 13 Agosti 2014 katika hoteli ya Serena.  Semina hiyo ya kimataifa ya GSMA inalenga zaidi kutazama maendelea ya sekta ya Mawasiliano kwa kuangalia Zaidi mipango, mafanikio na fursa ya baadaye ya mawasiliano ya nishati mbadala rafiki kwa mazingirana yaani –green telecoms, pia itaendesha...

 

11 years ago

Michuzi

Nishati na Madini kuanzisha Mpango wa Taifa wa Matumizi Bora ya Nishati

Mtaalamu kutoka Idara ya Nishati iliyopo chini ya Wizara ya Nishati na Madini Mhandisi Nyaso Makwaya akisisitiza jambo wakati alipokuwa  akiwasilisha mada kuhusiana na mikakati ya Wizara katika kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi

 Na Greyson Mwase, MorogoroWizara ya nishati na madini inatarajia kuanzisha mpango wa taifa wa matumizi bora ya nishati  unaotarajiwa kuanza kutekelezwa mara baada ya maandalizi yake kukamilika.Akizungumza katika  kongamano la mabadiliko ya tabianchi...

 

10 years ago

Tanzania Daima

EADB, DLA Piper waandaa semina ya mikataba

BENKI ya Maendeleo ya Afrika ya Mashariki (EADB), kwa kushirikiana na taasisi ya kisheria ya DLA Piper imeandaa semina kuhusu elimu juu ya mikataba ya miradi ya fedha, Septemba 9...

 

10 years ago

Michuzi

WAMA WAKISHIRIKIANA NA ENGENDER HEALTH WAANDAA SEMINA YA KUZUIA MIMBA ZA UTOTONI KWA WANAFUNZI WA SEKONDARI ZA WILAYA YA TEMEKE.

  Meneja Uragibishi na Mawasiliano wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo, WAMA, Ndugu Philomena Marijani (aliyesimama)akitoa maelezo mafupi kuhusu semina ya siku 5 kwa wanafunzi wa Shule za Sekondari katika Wilaya ya Temeke itayozungumzia uzuiaji wa mimba za utotoni kwa wanafunzi wa wilaya hiyo. Semina hiyo inafanyika katika Shule ya Sekondari Kibasila kuanzia tarehe 13 hadi 17.4.2015.   Baadhi ya wanafunzi na walimu kutoka Shule 11 za Sekondari katika Wilaya ya Temeke wakisikiliza hotuba ya...

 

11 years ago

GPL

AIRTEL YAENDESHA SEMINA ELEKEZI KWA VIONGOZI WA SOKA KWA AJILI YA KUJIANDAA NA MICHUANO YA AIRTEL RISING STARS 2014‏

Meneja Matukio wa Airtel Tanzania Rebeca Mauma akizungumza wakati wa semina elekezi ya Airtel Rising Stars iliyofanyika kwenye uwanja wa Taifa, Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
Baadhi ya washiriki wa semina elekezi ya Airtel Rising Stars wakifuatilia kwa makini moja ya mada zilizowasilishwa kwenye semina hiyo iliyofanyika uwanja wa Taifa, Dar es Salaam mwishoni mwa… ...

 

10 years ago

StarTV

Matumizi Nishati ya Umeme, idadi ya watumiaji bado yasuasua.

Na Magreth Tengule,

Rombo.

 

Tanzania imesalia kuwa miongoni mwa nchi chache barani Afrika ambazo zina idadi ndogo ya watumiaji wa nishati ya umeme.

 

Kwa mujibu wa takwimu za Serikali za mara kwa mara ni asilimia 17 pekee ya wananchi wote wanaofikiwa na huduma hiyo.

 

Katika kuhakikisha huduma ya umeme inazidi kuwafikia watu wengi hasa wale wanaoishi maeneo ya pembezoni, Chama cha Mapinduzi CCM kimesema kitazidi kuibana Serikali ielekeze nguvu kwenye utekelezaji wa mradi wa umeme vijijini...

 

11 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI WA NISHATI NA MADINI AFUNGUA RASMI SEMINA YA WACHIMBAJI WADOGO KIBARA, MKOANI MARA

Naibu Waziri wa Nishati na Madini anayeshughulikia masuala ya madini Mhe. Stephen Masele akifungua mafunzo ya wachimbaji wadogo yaliyofanyika Kibara, mkoani Mara. Pia semina hiyo ilishirikisha viongozi wa vijiji, vyama pamoja na madiwani lengo likiwa ni kuwapa uelewa wa sheria na kanuni za uchimbaji wa madini. Aliyekaa katikati ni Mbunge wa Jimbo la Mwibara Mhe. Kangi Lugora. Kushoto ni Kamishna Msaidizi – Uendelezaji wa Uchimbaji Mdogo Mhandisi Fredy Mahobe. Mtalaamu kutoka...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani