Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAALIM SEIF AKUTANA NA WAZIRI WA NISHATI WA QATAR JIJINI DOHA

Na: Hassan Hamad, Doha. Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad ameishauri serikali ya Qatar kuangalia uwezekano wa kushirikiana na Zanzibar katika kuendeleza sekta ya nishati nchini. Amesema Zanzibar ikiwa miongoni mwa nchi zinazoendelea, bado inakabiliwa na changamoto nyingi ikiwemo ya upatikanaji wa umeme wa uhakika ambapo kwa sasa inategemea nishati hiyo kutoka Tanzania Bara. Maalim Seif ametoa ushauri huo wakati alipokutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MAALIM SEIF AKUTANA NA WAZIRI WA NISHATI WA QATAR JIJINI DOHA

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad na ujumbe wake, wakimsikiliza Waziri wa Nishati na Viwanda wa Qatar Dr. Mohammed Saleh Al-Sada (hayupo pichani) mjini Doha-Qatar. Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad na Waziri wa Nishati na Viwanda wa Qatar Dr. Mohammed Saleh Al-Sada, wakifurahia jambo wakati… ...

 

10 years ago

Michuzi

MAALIM SEIF AKUTANA NA WAZIRI MKUU WA QATAR

   Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akimtambulisha Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe. Ali Juma Shamuhuna, kwa Waziri Mkuu wa Qatar sheikh Abdallah Bin Nasser Bin Khalifa Al-Thani walipokutana leo mjini Doha, Qatar. Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akisalimiana na Waziri Mkuu wa Qatar sheikh Abdallah Bin Nasser Bin Khalifa Al-Thani walipokutana leo mjini Doha, Qatar. Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim...

 

10 years ago

Michuzi

Maalim Seif akutana na uongozi wa mamlaka ya uwekezaji nchini Qatar

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akizungumza na ujumbe wa mamlaka ya uwekezaji (Qatar Holding) mjini Doha, ikiwa ni sehemu ya ziara yake ya siku nne nchini Qatar. Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akipokea zawadi kutoka kwa Mkurugenzi wa maendeleo ya biashara wa mamlaka ya uwekezaji ya Qatar Sheikh Faisal Bin Soud Al-Thani, baada ya mazungumzo yao mjini Doha. Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif...

 

10 years ago

GPL

RAIS KIKWETE AKUTANA NA MAALIM SEIF IKULU JIJINI DAR

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akifanya mazungumzo na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Shariff Hamad aliyemtembelea Ikulu jijini Dar es Salaam leo. Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Shariff Hamad aliyemtembelea Ikulu jijini Dar es Salaam kwa mazungumzo leo. (Picha na Freddy Maro /… ...

 

10 years ago

Michuzi

Rais Kikwete akutana na Maalim Seif Ikulu jijini Dar es Salaam

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Shariff Hamad aliemtembelea Ikulu jijini Dar es Salaam kwa mazungumzo. (picha na Freddy Maro) Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akifanya mazungumzo na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Shariff Hamad aliemtembelea Ikulu jijini Dar es Salaam leo. 

 

9 years ago

Michuzi

RAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA NA MAALIM SEIF SHARIF HAMADI IKULU JIJINI DAR LEO

maa1Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimkaribisha  Maalim Seif Sharif Hamad ,Makamu wa Kwanza wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Ikulu jijini Dar es Salaam na kufanya  Mazungumzo kuhusu hali ya kisiasa ya  Zanzibar. Katika Mazungumzo hayo viongozi wote wamefurahishwa na hali ya usalama na utulivu inayoendelea.maa2Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Maalim Seif Sharif Hamad ,Makamu wa Kwanza wa Rais wa Serikali ya...

 

10 years ago

Habarileo

Maalim Seif awasili Qatar ziara ya siku 4

Maalim Seif Sharif HamadMAKAMU wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad amewasili Doha nchini hapa kwa ziara rasmi ya kiserikali.

 

5 years ago

Michuzi

RAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MWANASIASA MKONGWE MAALIM SEIF SHARIF HAMAD IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mwanasiasa Mkongwe ambaye ni Mwanachama wa Chama cha ACT Wazalendo Maalim Seif Sharif Hamad kwa kutokugusana mikono, Ikulu Jijini Dar es Salaam. Salamu hiyo ya kutokugusana mikono ni kutekeleza ushauri ya Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu wenye lengo kujihadhari dhidi ya virusi vya ugonjwa wa Corona. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt....

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani