Statoil yagundua kisima kingine cha gesi asili
Kampuni ya Statoil ikishirikiana na Exxon Mobil, imetangaza kugundulika kwa gesi asilia katika eneo jipya la Giligiliani-1 katika ukanda wa Bahari ya Hindi.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
StarTV21 Aug
Usafirishaji gesi: Kisima namba 3 cha Gesi Msimbati Mtwara chafunguliwa
Matumaini ya kuanza kuzalishwa umeme unaotokana na gesi siku chache zijazo yameanza kudhihirika baada ya kisima namba 3 cha gesi kilichoko Msimbati wilayani Mtwara kufunguliwa.
Lengo ni kuruhusu gesi kusafiri kwenye bomba hadi Madimba kuwezesha hatua ya uchakataji kuanza.
Mkurugenzi mkuu wa shirika la Maendeleo ya Petrol Tanzania TPDC James Mataragio akifungua rasmi bomba hilo kutoka kisima No MB 3 katika kijiji cha Msimbati na kubainisha kuwa mradi huo umejengwa kwa muda mfupi sana...
11 years ago
Mwananchi19 Jun
Kiasi kingine kikubwa cha gesi chagunduliwa nchini
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-CrRXW921Kxo/U6F1c-dq4MI/AAAAAAAFrfg/umV3lM9-SwY/s72-c/unnamed+(16).jpg)
kiasi kingine kikubwa cha gesi chagundulika bahari kuu Tanzania
![](http://4.bp.blogspot.com/-CrRXW921Kxo/U6F1c-dq4MI/AAAAAAAFrfg/umV3lM9-SwY/s1600/unnamed+(16).jpg)
Ugunduzi huu unahusisha kisima cha Piri-1 ambapo kiasi kilichopatikana kinakadiriwa kufikia trilioni mbili mpaka tatu za ujazo wa gesi asilia yaani trillion cubic feet (tcf) kwa kiingereza.
Ugunduzi huu unafanya jumla ya ujazo wa gesi iliyogundulika na washirika hawa kufikia takribani tcf 20 kwenye kitalu namba 2 ambapo washirika hawa wanafanya shughuli za...
11 years ago
Zitto Kabwe, MB17 Jul
MKATABA WA GESI WA STATOIL NA TANZANIA
MKATABA WA GESI WA STATOIL NA TANZANIA
Swali kwa TPDC: Kwanini Makubaliano ni tofauti na Mkataba Elekezi (Model PSA)?
Baada ya kuvuja kwa Mkataba wa kutafuta na kuzalisha Gesi Asilia (PSA) kati ya Serikali kupitia TPDC na Kampuni ya Norway ya StatOil na baada ya baadhi ya wachambuzi kuhoji kuhusu mkataba huo, Shirika la TPDC limetoa maelezo yake. Sio mara moja, sasa ni mara ya tatu. Kimsingi TPDC wanasema wachambuzi waliochambua nyongeza hiyo ya Mkataba hawana uelewa wa mambo haya na...
11 years ago
Habarileo17 Jul
Mkataba wa gesi Statoil, Serikali hadharani
SERIKALI imeondoa utata unaohusu mkataba wa gesi wa nyongeza baina yake na kampuni ya Norway ya Statoil, kwa kuanika wazi mgawanyo unaoonesha Tanzania itapata faida kubwa ya asilimia 61 wakati kampuni hiyo itapata asilimia 39.
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-sRaHQToOD88/VRm9pLBjihI/AAAAAAAHOdQ/7D5s_kWcI6E/s72-c/unnamed%2B(63).jpg)
Statoil yafanya ugunduzi wa nane wa gesi asilia katika Bahari Kuu ya Tanzania
Waziri wa Nishati na Madini, Mhe. George Simbachawene amebainisha hayo kwenye mkutano na Waandishi wa Habari mjini Dodoma. Baada ya kuthibitishwa na Makamu wa Rais wa Statoil, Nick Maden pamoja na Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC).
“ugunduzi huo wa gesi...
10 years ago
MichuziMakabidhiano ya Pampu ya Maji Kisima cha Kaburi Kikombe na Utilianaji Saini ya Mradi wa Uchimbaji Kisima Bomani Ukiwa na Thamani ya Shilingi milioni mia tatu
10 years ago
VijimamboMAKABIDHIANO YA PUMPU YA MAJI KISIMA CHA KABURI KIKOMBE NA UTILIANAJI SAINI YA MRADI WA UCHIMBAJI KISIMA BOMANI UKIWA NA THAMANI YA SHILINGI MILIONI MIA TATU
11 years ago
Mwananchi24 Feb
Gesi asili yawavutia wawekezaji wa Misri