Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAKABIDHIANO YA PUMPU YA MAJI KISIMA CHA KABURI KIKOMBE NA UTILIANAJI SAINI YA MRADI WA UCHIMBAJI KISIMA BOMANI UKIWA NA THAMANI YA SHILINGI MILIONI MIA TATU

Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji Zanzibar (ZAWA) Dk Mustafa Ali Garu akitiliana saini ya makubaliano ya Mrai wa Uchimbaji wa Kisima katika maeneo ya Bamani na Mwenyekiti wa Tanzania Youth Icon, Ndg Abdullah Miraji Othman, mradi huo utaharimu shilingi za kitanzania milioni mia tatu, utilianaji wa saini hiyo umefanyika katika Ofisi za ZAWA Mabuluu WANANCHI wa Jimbo la Kikwajuni wakishuhudia utilianaji wa saini ya makubaliano ya Mradi wa Uchimbaji wa wa kisima cha Maji Safi na Salama kwa Wananchi...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Makabidhiano ya Pampu ya Maji Kisima cha Kaburi Kikombe na Utilianaji Saini ya Mradi wa Uchimbaji Kisima Bomani Ukiwa na Thamani ya Shilingi milioni mia tatu

Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji Zanzibar (ZAWA) Dk Mustafa Ali Garu akitiliana saini ya makubaliano ya Mrai wa Uchimbaji wa Kisima katika maeneo ya Bamani na Mwenyekiti wa Tanzania Youth Icon, Ndg Abdullah Miraji Othman, mradi huo utaharimu shilingi za kitanzania milioni mia tatu, utilianaji wa saini hiyo umefanyika katika Ofisi za ZAWA MabuluuMKURUGENZI wa Mamlaka ya Maji Zanzibar (ZAWA) Dk Mustafa Ali Garu akibadilishani Mikatabani ya makubaliano ya Mradi wa Uchimbaji wa Kisima katika maeneo...

 

9 years ago

Vijimambo

MKURANGA KUFAIDIKA NA MRADI WA MAJI YA KISIMA UTAKAOZALISHA LITA MILIONI 1.8 KWA SIKU

Afisa Uhusiano wa Jamii wa Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka (DAWASA), Mecky Mdaku, akigusa maji yanayotiririka kutoka kwenye kisima kirefu chenye urefu wa mita 541, eneo la Mkwalia, wilayani Mkuranga mkoa wa Pwani leo Septemba 17, 2015. Kisima hicho kinamechimbwa na Kampuni ya Uchimbaji wa Visima ya ZENTAS kutoka Uturuki.na kinatarajiwa kuzalisha maji lita milioni 1.8 kwa siku.Kiongozi wa waendesha mitambo ya uchimbaji visima wa kampuni ya ZENTAS Bw. Sima Teodor ( kushoto) akitoa maelezo...

 

10 years ago

Michuzi

TBL YATOA MSAADA WA SH. MIL 45 ZA UCHIMBAJI KISIMA CHA MAJI ZAHANATI YA MJI MWEMA KIGAMBONI


 Afisa Uhusiano wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Bi. Dorice Malulu (kulia), akikabidhi mfano wa Hundi ya Sh. Milioni 45, kwa Mganga Mkuu wa Zahanati ya Mji Mwema, Kigamboni, Bw. Richard Mwita, zilizotolewa na TBL kwa ajili ya ujenzi wa kisima cha maji. Wengine katika picha ni Mwenyekiti wa Bodi, Bw. Omari Kombe (kushoto), Bi. Upendo Mwabulambo (wa pili kushoto) na Mwakilishi wa Mganga wa Manispaa ya Temeke, Bw. Shaidi Simba (wa pili kulia).
Mwakilishi Mkuu wa Mganga wa Manispaa ya...

 

10 years ago

Bongo5

Msanii wa Kenya adhamini mradi wa maji kwenye shule wenye thamani ya shilingi milioni 36 za Tanzania

Msanii wa muziki wa Kenya, Esther Akoth aka Akothee anafahamika kwa miradi yake ya kusaidia jamii. Akothee (katikati) akiwa na walimu wa shule ya sekondari ya St. Alberts Ulanda Girls iliyopo Migori, Kenya Hivi karibuni, Akothee amejitolea kudhamini mradi wa maji kwenye shule ya wasichana iliyopo kwenye kaunti ya Migori nchini Kenya. Shule hiyo iitwayo […]

 

11 years ago

Michuzi

WAZIRI WA MAJI AZINDUA MRADI WA MAJI WA SHILINGI MILIONI 300 KIJIJI CHA MVUMI MAKULU MKOANI DODOMA.

 kushoto Mkuu wa Wilaya ya Chamwino Mkoani Dodoma Fatma Ally, akiwa na Waziri wa Maji Profesa.Jumanne Maghembe wakizindua kisima cha maji.
 Waziri wa Maji Profesa.Jumanne Maghembe, pamoja naMkuu wa Wilaya ya Chamwino Mkoani Dodoma Fatma Ally wote kwa pamoja wakifungua bomba la maji kuashiria uzinduzi rasmi wa matumizi ya maji.  Waziri wa Maji Maji Profesa.Jumanne Maghembe akimtwisha ndoo ya maji mkazi wa kijiji cha Mvumi makulu Mkoani Dodoma.  Muonekano wa kisima kichozinduliwa.

 

11 years ago

Habarileo

TBL yakabidhi zahanati kisima cha milioni 25/-

KAMPUNI ya Bia Tanzania TBL imekabidhi hundi ya Sh milioni 25 kwa ajili ya ujenzi wa kisima kikubwa cha majisafi na salama katika zahanati ya Makuburi.

 

11 years ago

Dewji Blog

Ridhiwani Kikwete azindua Kisima cha Maji, Lambo katika kijiji cha jamii ya Wafugaji cha Mbala,Chalinze

 Mbunge wa Jimbo la Chalinze, Ridhiwan Kikwete akionozana na akina mama wa jamii ya kimasai waliobeba maji waliyoyateka baada ya mbunge huyo kuzindua kisima cha maji katika Kijiji cha Mbala, Chalinze, Bagamoyo mkoani Pwani jana. Kisima hicho pamoja na lambo la kunyweshea mifugo vimejengwa na Kanisa la Wasabato kwa gharama ya sh. mil. 76. Kushoto ni Kiongozi wa mradi huo, Joseph Chagama na nyuma yake ni Askofu wa Kanisa la Wasabato Jimbo la Mashariki,Mark Malekana. (PICHA NA RICHARD...

 

9 years ago

Michuzi

TPDC yachangia ujenzi wa kisima cha maji Mkuranga

Meneja Mawasiliano wa Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC), Marie Msellemu akikabidhi mfano wa hundi ya shilingi milioni kumi (10,000,000) kwa Mkuu wa Wilaya ya Mkuranga, Abdallah Kihato (wa tatu kulia) kwa ajili ya ujenzi wa kisima cha maji katika kijiji cha Njia Nne. Mkuu wa Wilaya ya Mkuranga, Abdallah Kihato akitoa neno la shukrani baada ya kukabidhiwa kiasi cha shilingi milioni kumi (10,000,000) kwa ajili ya ujenzi wa kisima cha maji katika kijiji cha Njia Nne. Wanakijiji wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani