Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TBL yakabidhi zahanati kisima cha milioni 25/-

KAMPUNI ya Bia Tanzania TBL imekabidhi hundi ya Sh milioni 25 kwa ajili ya ujenzi wa kisima kikubwa cha majisafi na salama katika zahanati ya Makuburi.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

TBL yakabidhi kisima cha maji zahanati ya Makuburi, Dar

Dkt one

Mganga Mkuu wa Zahanati ya Makuburi, Manispaa ya Kinondoni, Dkt. Stella Kivugo (kulia), akijaribu kufungua bomba la maji, baada ya Mwenyekiti wa Mtaa wa Makaburi, Bw. James Ngoitanie (wa nne kushoto), kukata utepe kuzindua kisima cha maji kilichojengwa kwa hisani ya Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Wengine ni watendaji wa Mtaa wa mwongozo. (Na Mpigapicha Wetu)

Mwenyekiti wa Mtaa wa Mwongozo, Dar es Salaam, Bw. James Ngoitanile (wa nne kushoto), akifurahia...

 

10 years ago

Tanzania Daima

TBL yakabidhi kisima zahanati Makuburi

UHABA wa maji safi na salama uliokuwa unaikabili zahanati ya Makuburi, Wilaya ya Kinondoni umeelezwa ulikuwa unazorotesha huduma za afya katika zahanati hiyo. Changamoto hiyo ilielezwa mwishoni mwa wiki na...

 

11 years ago

GPL

TBL YAKABIDHI MSAADA WA KISIMA ZAHANATI YA TABATA NBC‏

 Ofisa Uhusiano Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Dorris Malulu, akikata utepe kuashiria uzinduzi wa kisima kilichojengwa kwa msaada wa kampuni hiyo katika Zahanati ya NBC Tabata, Dar es Salaam. Kisima hicho kilizinduliwa na Mwenyekiti wa Kamati ya Uchumi na Huduma za Jamii Ilala, Angelina Malembeka. Kushoto ni Mganga Mkuu wa Ilala, Willy Sangu na anayefuatia ni Mwakilishi wa Mkurugenzi Halmashauri ya Manispaa ya Ilala, Dk...

 

10 years ago

Michuzi

TBL YAKAGUA UJENZI WA KISIMA CHA MAJI CHA ZAHANATI YA MAKUBURI KILICHOJENGWA KWA MSAADA WAO

 Ofisa Uhusiano wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Dorris Malulu (kushoto), na Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Mwongozo, James Ngoitanile (wa tatu kushoto) wakiangalia kisima kipya cha maji kikisafishwa katika Zahanati ya Makuburi Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.Kiwanda hicho Kimejengwa kwa msaada wa TBL kwa gharama ya sh. mil. 25. Ofisa Uhusiano wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Dorris Malulu (kushoto), na Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Mwongozo, James Ngoitanile (kulia) wakipata...

 

11 years ago

Michuzi

TBL YATOA MSAADA WA SH. MIL. 25 ZA KUCHIMBA KISIMA CHA MAJI ZAHANATI YA MAKUBURI, DAR

 Meneja Mauzo wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) Kanda ya Kinondoni,Joseph Nicholous 9kushoto) akimkabidhi Mganga Mkuu wa Manispaa ya Kinondoni,  ambaye pia ni Kaimu Mkurugenzi wa manispaa hiyo, Dk. Gunini Kamba mfano wa hundi yenye thamani ya sh. mil. 25 ikiwa ni msaada uliotolewa na TBL kwa ajili ya ujenzi wa kisima cha maji katika Zahanati ya Makuburi, Dar es Salaam. Hafla hiyo ilifanyika mwishoni mwa wiki katika zahanati hiyo. Kulia ni Mganga Mfawidhi wa zahanati hiyo, Stella Kivugo na...

 

10 years ago

Vijimambo

TBL YAKABIDHI MSAADA WA KISIMA CHA SH. MIL. 65 RUFIJI

 Mkuu wa Wilaya ya Rufiji , Nurdin Babu akiwa na Mkurugenzi wa Sheria na Uhusiano wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), wakifungua maji ya bomba mara baada ya makabidhiano ya kisima kilichochimbwa na TBL kwa gahrama ya shilingi mil. 65 katika Kijiji cha Mwaseni Wilaya ya Rufiji, mkoani Pwani. Makabidhiano hayo yalifanyika kijijini hapo mwishoni mwa wiki.
 Mkuu wa Wilaya ya Rufiji, Nurdin Babu akiwa na Mkurugenzi wa Sheria na Uhusiano wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Stephen Kilindo, wakiwatwisha...

 

10 years ago

Michuzi

TBL YAKABIDHI MSAADA WA KISIMA CHA MAJI KIJIJI CHA MAGOZA, MKURANGA

 Ofisa Elimu Wilaya ya Mkuranga, aliyemwakilisha Mkuu wa Wilaya hiyo,  Benjamin Majoya akikata utepe kuzindua rasmi kisima cha maji kilichojengwa kwa msaada wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), kwa gharama ya sh. mil 56, katika Kijiji cha Magoza, Kata ya Kiparang'anda, Mkuranga, Mkoa wa Pwani. Kushoto ni Diwani wa Kata hiyo, Karu Karavina na Mkurugenzi wa Uhusiano na Sheria wa TBL, Steve Kilindo (wa pili kulia).
 Ofisa Elimu Wilaya ya Mkuranga, aliyemwakilisha Mkuu wa Wilaya hiyo,  Benjamin...

 

10 years ago

Michuzi

TBL YATOA MSAADA WA SH. MIL 45 ZA UCHIMBAJI KISIMA CHA MAJI ZAHANATI YA MJI MWEMA KIGAMBONI


 Afisa Uhusiano wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Bi. Dorice Malulu (kulia), akikabidhi mfano wa Hundi ya Sh. Milioni 45, kwa Mganga Mkuu wa Zahanati ya Mji Mwema, Kigamboni, Bw. Richard Mwita, zilizotolewa na TBL kwa ajili ya ujenzi wa kisima cha maji. Wengine katika picha ni Mwenyekiti wa Bodi, Bw. Omari Kombe (kushoto), Bi. Upendo Mwabulambo (wa pili kushoto) na Mwakilishi wa Mganga wa Manispaa ya Temeke, Bw. Shaidi Simba (wa pili kulia).
Mwakilishi Mkuu wa Mganga wa Manispaa ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani