TBL YAKABIDHI MSAADA WA KISIMA CHA SH. MIL. 65 RUFIJI

Mkuu wa Wilaya ya Rufiji , Nurdin Babu akiwa na Mkurugenzi wa Sheria na Uhusiano wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), wakifungua maji ya bomba mara baada ya makabidhiano ya kisima kilichochimbwa na TBL kwa gahrama ya shilingi mil. 65 katika Kijiji cha Mwaseni Wilaya ya Rufiji, mkoani Pwani. Makabidhiano hayo yalifanyika kijijini hapo mwishoni mwa wiki.
Mkuu wa Wilaya ya Rufiji, Nurdin Babu akiwa na Mkurugenzi wa Sheria na Uhusiano wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Stephen Kilindo, wakiwatwisha...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziTBL YAKABIDHI MSAADA WA KISIMA CHA MAJI KIJIJI CHA MAGOZA, MKURANGA
10 years ago
MichuziTBL YAKABIDHI MSAADA WA KISIMA CHA MAJI YOMBO VITUKA DAR
10 years ago
MichuziTBL YAKABIDHI MSAADA WA KISIMA CHA MAJI JIMBO LA MPENDAE,ZANZIBAR
10 years ago
Dewji Blog19 Feb
TBL yakabidhi msaada wa kisima cha maji jimbo la Mpendae, Zanzibar
Mwakilishi wa Jimbo la Mpendae, Said Mohammed Dimwa akikata utepe ikiwa ni ishara ya uzinduzi wa kisima cha maji kwa wananchi wa Mpendae kilichochimbwa kwa udhamini wa na Kampuni ya Bia Tanzania (TBL). Wa pili kulia ni Meneja Uhusiano wa TBL, Doris Malulu.
Ofisa Uhusiano wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Doris Malulu akigongeana glasi za maji na wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Mpendae baada ya uzinduzi wa kisima kilichochimbwa kwa msaada na Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), katika Jimbo...
10 years ago
MichuziTBL YATOA MSAADA WA SH. MIL. 56 ZA KISIMA CHA MAJI MKURANGA
11 years ago
MichuziTBL YAKABIDHI MSAADA WA KISIMA CHA MAJI KATA YA KING'ONGO,DAR
10 years ago
MichuziTBL YAKABIDHI MSAADA WA KISIMA CHA MAJI SHULE YA UHURU MCHANGANYIKO DAR
11 years ago
Michuzi
TBL YATOA MSAADA WA SH. MIL. 45 ZA KISIMA KIJIJI CHA KAMBI YA SIMBA KARATU


11 years ago
MichuziTBL YATOA MSAADA WA SH. MIL. 25 ZA KUCHIMBA KISIMA CHA MAJI ZAHANATI YA MAKUBURI, DAR