TBL YAKABIDHI MSAADA WA KISIMA CHA MAJI KIJIJI CHA MAGOZA, MKURANGA
Ofisa Elimu Wilaya ya Mkuranga, aliyemwakilisha Mkuu wa Wilaya hiyo, Benjamin Majoya akikata utepe kuzindua rasmi kisima cha maji kilichojengwa kwa msaada wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), kwa gharama ya sh. mil 56, katika Kijiji cha Magoza, Kata ya Kiparang'anda, Mkuranga, Mkoa wa Pwani. Kushoto ni Diwani wa Kata hiyo, Karu Karavina na Mkurugenzi wa Uhusiano na Sheria wa TBL, Steve Kilindo (wa pili kulia).
Ofisa Elimu Wilaya ya Mkuranga, aliyemwakilisha Mkuu wa Wilaya hiyo, Benjamin...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziTBL YATOA MSAADA WA SH. MIL. 56 ZA KISIMA CHA MAJI MKURANGA
10 years ago
MichuziTBL YAKABIDHI MSAADA WA KISIMA CHA MAJI YOMBO VITUKA DAR
10 years ago
MichuziTBL YAKABIDHI MSAADA WA KISIMA CHA MAJI JIMBO LA MPENDAE,ZANZIBAR
10 years ago
Dewji Blog19 Feb
TBL yakabidhi msaada wa kisima cha maji jimbo la Mpendae, Zanzibar
Mwakilishi wa Jimbo la Mpendae, Said Mohammed Dimwa akikata utepe ikiwa ni ishara ya uzinduzi wa kisima cha maji kwa wananchi wa Mpendae kilichochimbwa kwa udhamini wa na Kampuni ya Bia Tanzania (TBL). Wa pili kulia ni Meneja Uhusiano wa TBL, Doris Malulu.
Ofisa Uhusiano wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Doris Malulu akigongeana glasi za maji na wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Mpendae baada ya uzinduzi wa kisima kilichochimbwa kwa msaada na Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), katika Jimbo...
10 years ago
MichuziTBL YAKABIDHI MSAADA WA KISIMA CHA MAJI SHULE YA UHURU MCHANGANYIKO DAR
10 years ago
MichuziTBL YAKABIDHI MSAADA WA KISIMA CHA MAJI KATA YA KING'ONGO,DAR
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-_pJN5v4Pp7c/VZQCxKtK_9I/AAAAAAAA3vg/1fcFhj30_H8/s72-c/DSC_2158.jpg)
TBL YAKABIDHI MSAADA WA KISIMA CHA SH. MIL. 65 RUFIJI
![](http://3.bp.blogspot.com/-_pJN5v4Pp7c/VZQCxKtK_9I/AAAAAAAA3vg/1fcFhj30_H8/s640/DSC_2158.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-HSlddCWZTwg/VZQCyfQGjhI/AAAAAAAA3vo/pehL0PiG6uQ/s640/DSC_2183.jpg)
10 years ago
MichuziTBL YAKAGUA UJENZI WA KISIMA CHA MAJI CHA ZAHANATI YA MAKUBURI KILICHOJENGWA KWA MSAADA WAO
10 years ago
Dewji Blog15 Oct
TBL yakabidhi kisima cha maji zahanati ya Makuburi, Dar
Mganga Mkuu wa Zahanati ya Makuburi, Manispaa ya Kinondoni, Dkt. Stella Kivugo (kulia), akijaribu kufungua bomba la maji, baada ya Mwenyekiti wa Mtaa wa Makaburi, Bw. James Ngoitanie (wa nne kushoto), kukata utepe kuzindua kisima cha maji kilichojengwa kwa hisani ya Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Wengine ni watendaji wa Mtaa wa mwongozo. (Na Mpigapicha Wetu)
Mwenyekiti wa Mtaa wa Mwongozo, Dar es Salaam, Bw. James Ngoitanile (wa nne kushoto), akifurahia...