MKURANGA KUFAIDIKA NA MRADI WA MAJI YA KISIMA UTAKAOZALISHA LITA MILIONI 1.8 KWA SIKU
![](http://2.bp.blogspot.com/-dAJnCH7SeEY/VfsBGDy_lxI/AAAAAAAAZc0/CA9CwhMTHbU/s72-c/image%2B%25282%2529.jpg)
Afisa Uhusiano wa Jamii wa Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka (DAWASA), Mecky Mdaku, akigusa maji yanayotiririka kutoka kwenye kisima kirefu chenye urefu wa mita 541, eneo la Mkwalia, wilayani Mkuranga mkoa wa Pwani leo Septemba 17, 2015. Kisima hicho kinamechimbwa na Kampuni ya Uchimbaji wa Visima ya ZENTAS kutoka Uturuki.na kinatarajiwa kuzalisha maji lita milioni 1.8 kwa siku.
Kiongozi wa waendesha mitambo ya uchimbaji visima wa kampuni ya ZENTAS Bw. Sima Teodor ( kushoto) akitoa maelezo...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboMAKABIDHIANO YA PUMPU YA MAJI KISIMA CHA KABURI KIKOMBE NA UTILIANAJI SAINI YA MRADI WA UCHIMBAJI KISIMA BOMANI UKIWA NA THAMANI YA SHILINGI MILIONI MIA TATU
10 years ago
MichuziMakabidhiano ya Pampu ya Maji Kisima cha Kaburi Kikombe na Utilianaji Saini ya Mradi wa Uchimbaji Kisima Bomani Ukiwa na Thamani ya Shilingi milioni mia tatu
9 years ago
MichuziTPDC yachangia ujenzi wa kisima cha maji Mkuranga
10 years ago
MichuziTBL YATOA MSAADA WA SH. MIL. 56 ZA KISIMA CHA MAJI MKURANGA
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-Ojco1ZiXylg/Xl59k_V_mXI/AAAAAAALgxk/09FfZuIdqQgsW_os1LejKwFvS7I3WkkqgCLcBGAsYHQ/s72-c/3b94452f-d74b-491c-8352-87daeb1170f4.jpg)
WAZIRI MBARAWA AKAGUA TANKI LA MAJI LENYE KUBEBA LITA MILIONI 10 ARUMERU
![](https://1.bp.blogspot.com/-Ojco1ZiXylg/Xl59k_V_mXI/AAAAAAALgxk/09FfZuIdqQgsW_os1LejKwFvS7I3WkkqgCLcBGAsYHQ/s640/3b94452f-d74b-491c-8352-87daeb1170f4.jpg)
![](https://1.bp.blogspot.com/-kEPGTa1XNAo/Xl59kjhpehI/AAAAAAALgxg/-KeDKXgWipQA8taho40lPmdmwwqg8bgkgCLcBGAsYHQ/s640/66c261af-68ce-4233-bbb9-d659e4e2b005.jpg)
![](https://1.bp.blogspot.com/-hxE43DLE_1U/Xl59lN72RrI/AAAAAAALgxo/YxYV3PN0OLomcaeLVVbhqrznYJ-4-qhvwCLcBGAsYHQ/s640/67458308-9a43-425f-9ffc-3e0a08a4c31d.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-rx2rCE2749A/VL9UYEL7LjI/AAAAAAAG-l8/aJYNqs2Rb_g/s72-c/001.jpg)
WAZIRI WA MAJI ATOA SIKU 90, KWA MKANDARASI ANAESAMBAZA BOMBA LA MAJI MRADI WA MLANDIZI
![](http://4.bp.blogspot.com/-rx2rCE2749A/VL9UYEL7LjI/AAAAAAAG-l8/aJYNqs2Rb_g/s1600/001.jpg)
10 years ago
Dewji Blog21 Jan
Waziri wa Maji atoa siku 90 kwa Mkandarasi Megha Engineering anaesambaza bomba la maji mradi wa Mlandizi Kimara
Waziri wa maji Jumanne Maghembe (wa kwanza kulia) akizungumza na wakandarasi wanaojenga bomba la maji la Mlandizi Kimara Januari 20, 2015 mkoani Pwani wakati alipotembelea tembelea miradi ya maji inayosimamiwa na Mamlaka ya Maji Safi na maji Taka (DAWASA), kwa lengo la kupata tathimini ya mradi huo ulipofikia sasa.(Habari Picha na Philemon Solomon).
WAZIRI wa maji Jumanne Maghembe ametoa siku 90, kwa mkandarasi Megha Engineering Infrastructure Limited anaesambaza bomba la maji mradi wa...
10 years ago
MichuziTBL YAKABIDHI MSAADA WA KISIMA CHA MAJI KIJIJI CHA MAGOZA, MKURANGA
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-yjjke11COdo/XkWGfaDhM9I/AAAAAAABKc0/4cQB69w_HGU5muWYZsilKoaNcGtKt56uwCNcBGAsYHQ/s72-c/IMG-20200213-WA0102.jpg)
MKANDARASI UJENZI WA MRADI WA MAJI MKURANGA ATAKIWA KUPUNGUZA GHARAMA
Waziri wa Maji Prof Makame Mbarawa amewaagiza Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) kukaa chini na mkandarasi anayejenga mradi wa maji Mkuranga kupunguza gharama za ujenzi
Hayo yamesemwa wakati wa ziara ya kutembelea miradi ya maji katika wilaya ya Mkuranga Mkoani Pwani. Katika ziara hiyo pia ameambatana na Mbunge wa Jimbo hilo Naibu waziri wa Mifugo na Uvuvi Abdallah Ulega pamoja na wataalamu wa maji.
Mbarawa amesema, Dawasa wakae...