Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Msanii wa Kenya adhamini mradi wa maji kwenye shule wenye thamani ya shilingi milioni 36 za Tanzania

Msanii wa muziki wa Kenya, Esther Akoth aka Akothee anafahamika kwa miradi yake ya kusaidia jamii. Akothee (katikati) akiwa na walimu wa shule ya sekondari ya St. Alberts Ulanda Girls iliyopo Migori, Kenya Hivi karibuni, Akothee amejitolea kudhamini mradi wa maji kwenye shule ya wasichana iliyopo kwenye kaunti ya Migori nchini Kenya. Shule hiyo iitwayo […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

MAKABIDHIANO YA PUMPU YA MAJI KISIMA CHA KABURI KIKOMBE NA UTILIANAJI SAINI YA MRADI WA UCHIMBAJI KISIMA BOMANI UKIWA NA THAMANI YA SHILINGI MILIONI MIA TATU

Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji Zanzibar (ZAWA) Dk Mustafa Ali Garu akitiliana saini ya makubaliano ya Mrai wa Uchimbaji wa Kisima katika maeneo ya Bamani na Mwenyekiti wa Tanzania Youth Icon, Ndg Abdullah Miraji Othman, mradi huo utaharimu shilingi za kitanzania milioni mia tatu, utilianaji wa saini hiyo umefanyika katika Ofisi za ZAWA Mabuluu WANANCHI wa Jimbo la Kikwajuni wakishuhudia utilianaji wa saini ya makubaliano ya Mradi wa Uchimbaji wa wa kisima cha Maji Safi na Salama kwa Wananchi...

 

10 years ago

Michuzi

Makabidhiano ya Pampu ya Maji Kisima cha Kaburi Kikombe na Utilianaji Saini ya Mradi wa Uchimbaji Kisima Bomani Ukiwa na Thamani ya Shilingi milioni mia tatu

Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji Zanzibar (ZAWA) Dk Mustafa Ali Garu akitiliana saini ya makubaliano ya Mrai wa Uchimbaji wa Kisima katika maeneo ya Bamani na Mwenyekiti wa Tanzania Youth Icon, Ndg Abdullah Miraji Othman, mradi huo utaharimu shilingi za kitanzania milioni mia tatu, utilianaji wa saini hiyo umefanyika katika Ofisi za ZAWA MabuluuMKURUGENZI wa Mamlaka ya Maji Zanzibar (ZAWA) Dk Mustafa Ali Garu akibadilishani Mikatabani ya makubaliano ya Mradi wa Uchimbaji wa Kisima katika maeneo...

 

5 years ago

Michuzi

NMB YAKABIDHI MSAADA WA VIFAA VYA SHULE VYENYE THAMANI YA SHILINGI MILIONI 15 KWA SHULE TATU ZA SEKONDARI JIJINI DAR

BENKI ya NMB, imekabidhi msaada wa viti, meza na madawati vyote vikiwa na thamani ya Sh. Milioni 15 kwa ajili ya Shule za Sekondari Kibamba na Kinzudi na Shule ya Msingi Makuburi Jeshini, zilizoko wilayani Ubungo jijini Dar es Salaam.
Hafla ya kukabidhi msaada huo ilifanyika katika viwanja vya Shule ya Sekondari Kibamba, ambako Meneja wa NMB Kanda ya Dar es Salaam, Badru Idd alimkabidhi msaada huo Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Kisare Makori (aliyekuwa mgeni rasmi).
Alisema Kibamba Sekondari yenye...

 

11 years ago

Michuzi

WAZIRI WA MAJI AZINDUA MRADI WA MAJI WA SHILINGI MILIONI 300 KIJIJI CHA MVUMI MAKULU MKOANI DODOMA.

 kushoto Mkuu wa Wilaya ya Chamwino Mkoani Dodoma Fatma Ally, akiwa na Waziri wa Maji Profesa.Jumanne Maghembe wakizindua kisima cha maji.
 Waziri wa Maji Profesa.Jumanne Maghembe, pamoja naMkuu wa Wilaya ya Chamwino Mkoani Dodoma Fatma Ally wote kwa pamoja wakifungua bomba la maji kuashiria uzinduzi rasmi wa matumizi ya maji.  Waziri wa Maji Maji Profesa.Jumanne Maghembe akimtwisha ndoo ya maji mkazi wa kijiji cha Mvumi makulu Mkoani Dodoma.  Muonekano wa kisima kichozinduliwa.

 

10 years ago

Bongo5

Wezi waiba gauni la Lupita Nyong’o alilovaa kwenye tuzo za Oscars 2015 lenye thamani ya shilingi milioni 274

Gauni la muigizaji wa Kenya, Lupita Nyong’o lenye thamani ya $150,000 (zaidi ya shilingi milioni 274) la Calvin Klein alilolivaa kwenye tuzo za Oscars wiki iliyopita limeibiwa, polisi wamesema jana. Gauni hilo lililotengenezwa maalum kwaajili yake lilikuwa limezungushiwa vigolori 6,000 vya rangi nyeupe. Liliibiwa kwenye chumba chake cha London Hotel iliyopo West Hollywood mchana, amesema […]

 

11 years ago

Michuzi

TANZANITE ONE WAKABIDHI MSAADA WA SHILINGI MILIONI 42 KWENYE SHULE YA MSINGI NEW VISION

Hiyo ndiyo mfano wa hundi ya shilingi milioni 42 iliyotolewa na kampuni ya TanzaniteOne kwa shule hiyo ya New Vision ya Mji mdogo wa Mirerani Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara, ambapo ina wanafunzi 400 kati yao 67 ni watoto yatima (kushoto) ni Meneja Uhusiano wa Kampuni ya TanzaniteOne Halfani Hayeshi. Katibu Tawala wa Wilaya ya Simanjiro Mkoani Manyara, Elias Ntiruhungwa akionyesha picha iliyochorwa na mwanafunzi wa shule ya msingi New Vision, Gift Junior baada ya shule hiyo kukabidhiwa...

 

5 years ago

Michuzi

Vodacom Tanzania PLC yakabidhi vifaa vyenye thamani ya shilingi milioni 300 kwa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kupambana na ugonjwa wa Covid-19


 Mkurugenzi Mkuu wa Vodacom Tanzania PLC, Hisham Hendi (kulia) akipunga  mkono kwa Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi (haonekani pichani) wakati akikabidhi kiasi cha shilingi milioni 300 kwa serikali ya Mapinduzi Zanzibar zilizotolewa na kampuni ya Vodacom leo ili kupambana na kudhibiti ongezeko la virusi vya Corona visiwani humo, ambapo walifanya makabidhiano kwa njia ya mtandao. Pembeni ni Mkurugenzi wa Vodacom Tanzania Foundation, Rosalynn...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani