Wezi waiba gauni la Lupita Nyong’o alilovaa kwenye tuzo za Oscars 2015 lenye thamani ya shilingi milioni 274
Gauni la muigizaji wa Kenya, Lupita Nyong’o lenye thamani ya $150,000 (zaidi ya shilingi milioni 274) la Calvin Klein alilolivaa kwenye tuzo za Oscars wiki iliyopita limeibiwa, polisi wamesema jana. Gauni hilo lililotengenezwa maalum kwaajili yake lilikuwa limezungushiwa vigolori 6,000 vya rangi nyeupe. Liliibiwa kwenye chumba chake cha London Hotel iliyopo West Hollywood mchana, amesema […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog23 Feb
Gauni la Lupita Nyong’o gumzo tuzo za Oscars
Na Modewjiblog team
Mitandao mbalimbali ya kijamii pamoja na majarida makubwa duniani yametoa habari ya gauni la mcheza filamu, mwanamitindo, mwenye asili ya Afrika Mashariki, Lupita Nyong’o wakati wa utoaji wa tuzo kubwa za Oscar.
Katika tuzo hizo ambazo zilikusanya mastaa mbalimbali wa filamu, muziki na wabunifu na wengineo, Lupita alikuwa gumzo mara baada ya kupita kwenye zulia jekundu na gauni lake hilo lililobuniwa na mbunifu wa mavazi Giorgio Armani ambapo kila mmoja wapo...
10 years ago
BBCSwahili28 Feb
Gauni ya Lupita ya Oscars yapatikana
10 years ago
Bongo520 Mar
Msanii wa Kenya adhamini mradi wa maji kwenye shule wenye thamani ya shilingi milioni 36 za Tanzania
11 years ago
BBCSwahili03 Mar
Lupita Nyong'o anyakua tuzo la Oscar
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/8l--NuzR*jG1yCAGQS0oyiYL4g135SPAdva0RqpA21FXdJvYyzLdsIWzRLJGvpeU*Hm*Vl8LR472PPn*qqMxpsd5-Ja9tDGJ/lupita.jpg)
LUPITA NYONG'O ASHINDA TUZO YA OSCAR
11 years ago
Michuzi03 Mar
Lupita Nyong'o kutoka kenya ashinda tuzo ya oscar ya muigizaji msaidizi bora wa kike