Lupita Nyong'o kutoka kenya ashinda tuzo ya oscar ya muigizaji msaidizi bora wa kike
Muigizaji Lupita Nyong'o kutoka Kenya amenyakuwa tuzo ya Oscar ya mwigizaji msaidizi wa kike (Best Supporting actress) kwa uigizaji wake katika filamu ya utumwa ya ''12 Years A Slave.'' leo alfajiri mjini Los Angeles, Marekani. Muigizaji Will Smith ndiye aliyetangaza matokeo hayo, na baada ya kupokea tuzo hiyo kwa shangwe Lupita alifunguka na kusema: " Haikwepi mawazo yangu kwamba hata dakika moja ya furaha katika maisha yangu ni shukrani na maumivu makubwa kwa mtu mwingine.'' pia...
Michuzi