Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


LUPITA NYONG'O ASHINDA TUZO YA OSCAR

Lupita Nyong'o akiwa na tuzo yake. Mwigizaji mahiri wa Kenya, Lupita Nyong'o amenyakua tuzo ya Oscar kupitia filamu ya ‘12 Years a Slave’ huko Los Angeles nchini Marekani.

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Lupita Nyong'o kutoka kenya ashinda tuzo ya oscar ya muigizaji msaidizi bora wa kike

Muigizaji Lupita Nyong'o kutoka Kenya amenyakuwa tuzo ya Oscar ya mwigizaji msaidizi wa kike (Best Supporting actress) kwa uigizaji wake katika  filamu ya utumwa ya ''12 Years A Slave.'' leo  alfajiri mjini Los Angeles, Marekani.  Muigizaji  Will Smith ndiye aliyetangaza matokeo hayo, na baada ya kupokea tuzo hiyo kwa shangwe Lupita alifunguka na kusema: " Haikwepi mawazo yangu kwamba hata dakika moja ya furaha katika maisha yangu ni shukrani na maumivu makubwa kwa mtu mwingine.'' pia...

 

11 years ago

BBCSwahili

Lupita Nyong'o anyakua tuzo la Oscar

Mwigizaji mashuhuri kutoka Kenya Lupita Nyong'o amenyakuwa tuzo la Oscars la mwigizaji msaidizi wa kike.

 

11 years ago

GPL

10 years ago

Dewji Blog

Gauni la Lupita Nyong’o gumzo tuzo za Oscars

464155940-1291x1940

Na Modewjiblog team

Mitandao mbalimbali ya kijamii pamoja na majarida makubwa duniani yametoa habari ya gauni la mcheza filamu, mwanamitindo, mwenye asili ya Afrika Mashariki, Lupita Nyong’o wakati wa utoaji wa tuzo kubwa za Oscar.

Katika tuzo hizo ambazo zilikusanya mastaa mbalimbali wa filamu, muziki na wabunifu na wengineo,  Lupita alikuwa gumzo mara baada ya kupita kwenye zulia jekundu na gauni lake hilo lililobuniwa na mbunifu wa mavazi Giorgio Armani  ambapo kila mmoja wapo...

 

9 years ago

Bongo5

Mdogo wa kiume wa Lupita Nyong’o, Peter Nyong’o apata shavu la kwanza la kuigiza filamu ya Hollywood

Mdogo wa kiume wa mwigizaji wa Kenya, Lupita Nyong’o aitwaye Peter Nyong’o ameanza kufata nyayo za dada yake kwa kupata shavu la kuigiza kwenye filamu mpya huko Hollywood. Peter amepata nafasi ya kucheza kwenye filamu ya ‘Nocturnal Animals’ ya Tom Ford ambayo itatoka mwakani 2016. Hii itakuwa ndio mara yake ya kwanza kugiza kwenye filamu […]

 

10 years ago

Bongo5

Wezi waiba gauni la Lupita Nyong’o alilovaa kwenye tuzo za Oscars 2015 lenye thamani ya shilingi milioni 274

Gauni la muigizaji wa Kenya, Lupita Nyong’o lenye thamani ya $150,000 (zaidi ya shilingi milioni 274) la Calvin Klein alilolivaa kwenye tuzo za Oscars wiki iliyopita limeibiwa, polisi wamesema jana. Gauni hilo lililotengenezwa maalum kwaajili yake lilikuwa limezungushiwa vigolori 6,000 vya rangi nyeupe. Liliibiwa kwenye chumba chake cha London Hotel iliyopo West Hollywood mchana, amesema […]

 

9 years ago

Vijimambo

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani