Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Statoil yafanya ugunduzi wa nane wa gesi asilia katika Bahari Kuu ya Tanzania

Na. Johary Kachwamba – MAELEZO, DODOMASerikali kupitia Wizara ya Nishati na Madini imetangaza ugunduzi wa gesi asilia katika Miamba ya Mchanga kwenye kisima kinachochimbwa na Statoil cha Mdalasini-1 kwenye bahari kuu ya Tanzania.
Waziri wa Nishati na Madini, Mhe. George Simbachawene amebainisha hayo kwenye mkutano na Waandishi wa Habari mjini Dodoma. Baada ya kuthibitishwa na Makamu wa Rais wa Statoil, Nick Maden pamoja na Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC).
“ugunduzi huo wa gesi...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

kiasi kingine kikubwa cha gesi chagundulika bahari kuu Tanzania

Kampuni ya Statoil na mshirika wake ExxonMobil wamegundua kiasi kingine kikubwa cha gesi katika bahari ya Hindi nchini Tanzania.
Ugunduzi huu unahusisha kisima cha Piri-1 ambapo kiasi kilichopatikana kinakadiriwa kufikia trilioni mbili mpaka tatu za ujazo wa gesi asilia yaani trillion cubic feet (tcf) kwa kiingereza. 
Ugunduzi huu unafanya jumla ya ujazo wa gesi iliyogundulika na washirika hawa kufikia takribani tcf 20 kwenye kitalu namba 2 ambapo washirika hawa wanafanya shughuli za...

 

11 years ago

Zitto Kabwe, MB

MKATABA WA GESI WA STATOIL NA TANZANIA

MKATABA WA GESI WA STATOIL NA TANZANIA

Swali kwa TPDC: Kwanini Makubaliano ni tofauti na Mkataba Elekezi (Model PSA)?

Baada ya kuvuja kwa Mkataba wa kutafuta na kuzalisha Gesi Asilia (PSA) kati ya Serikali kupitia TPDC na Kampuni ya Norway ya StatOil na baada ya baadhi ya wachambuzi kuhoji kuhusu mkataba huo, Shirika la TPDC limetoa maelezo yake. Sio mara moja, sasa ni mara ya tatu. Kimsingi TPDC wanasema wachambuzi waliochambua nyongeza hiyo ya Mkataba hawana uelewa wa mambo haya na...

 

10 years ago

Mwananchi

Ugunduzi wa gesi: Tanzania tunajifunza nini kwa Norway

Soko kubwa la mafuta na gesi asilia katika bara la Ulaya inaelezwa kuwa limetekwa na Norway. Shirika la ‘The U.S Energy Information Administration (EIA) linaitaja Norway kama taifa la tatu katika ushindani wa soko la gesi na mafuta duniani, ikitanguliwa na Urusi na Qatar.

 

10 years ago

Vijimambo

Maafisa waandamizi wakiwa China katika mafunzo ya muda mfupi ya maendeleo ya mafuta na gesi asilia.

Maafisa Waandamizi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wakiwa katika picha ya pamoja nchini China wanakohudhuria mafunzo ya muda mfupi ya maendeleo ya mafuta na gesi asilia.  Mkurugenzi wa Mipango na Sera na Utafiti Wizara ya Ardhi, Makaazi Maji ujenzi na Nishati, Salhina Mwita Ameir akieleza jambo wakati wa mafunzo ya mafuta na gesi asilia katika Chuo cha Biashara za Kimataifa Beijing China. Wanaomtazama kutoka kushoto ni Mhandisi Mwalimu Ali Mwalimu na Farhat Ali Mbarouk.(Picha na Juma...

 

9 years ago

Dewji Blog

Taasisi ya UONGOZI yaandaa warsha ya wadau wa Serikali katika usimamizi wa rasilimali za mafuta na gesi asilia

image001 (2)

Kaimu Katibu Tawala wa Mkoa wa Mtwara Bw. Johansen Bukwali akisoma hotuba ya ufunguzi wa warsha ya usimamizi wa rasilimali za mafuta na gesi asilia kwa niaba ya mgeni rasmi Waziri wa Nchi -TAMISEMI Mh. Hawa Ghasia katika ukumbi wa hoteli ya NAF Beach mkoani Mtwara.

image002Mkuu wa Idara ya Utafiti na Sera kutoka Taasisi ya UONGOZI Bw. Dennis Rweyemamu akizungumza kwa niaba ya Afisa Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya UONGOZI Profesa Joseph Semboja wakati wa warsha ya usimamizi wa rasilimali za mafuta na...

 

10 years ago

Dewji Blog

Balozi Sefue azindua timu ya wataalam wa serikali wa kufanya mazungumzo katika mikataba ya gesi asilia na mafuta

1

Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akizungumza wakati wa kuzindua timu ya wataalam wa mazungumzo katika mikataba ya gesi na mafuta kutoka serikalini na mafunzo yao maalum yaliyofanyika katika hoteli ya Park Hyatt kisiwani Zanzibar jana. Kutoka kulia ni Katibu Mkuu Kiongozi wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Dk. Abdulhamid Yahya Mzee na Bi. Sheila Khama Mkurugenzi wa Kituo cha Rasilimali za Afrika katika Benki ya Maendeleo ya Afrika. 

2

Afisa Mtendaji Mkuu wa UONGOZI Institute...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani