Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tanzania Yajitayarisha Kuingia Kwenye Uchumi Wa Gesi Asilia


Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Statoil yafanya ugunduzi wa nane wa gesi asilia katika Bahari Kuu ya Tanzania

Na. Johary Kachwamba – MAELEZO, DODOMASerikali kupitia Wizara ya Nishati na Madini imetangaza ugunduzi wa gesi asilia katika Miamba ya Mchanga kwenye kisima kinachochimbwa na Statoil cha Mdalasini-1 kwenye bahari kuu ya Tanzania.
Waziri wa Nishati na Madini, Mhe. George Simbachawene amebainisha hayo kwenye mkutano na Waandishi wa Habari mjini Dodoma. Baada ya kuthibitishwa na Makamu wa Rais wa Statoil, Nick Maden pamoja na Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC).
“ugunduzi huo wa gesi...

 

10 years ago

StarTV

Tanzania kuingia nchi zenye uchumi wa kati.

Na Grace Semfuko,

Dar Es Salaam,

 

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dokta Mohammed Gharib Bilal amesema Tanzania inakusudia kuingia katika jumuiya ya nchi zenye uchumi wa kati huku ikiwa na vijana wenye uwezo wa kushindana kwenye soko la ajira barani Afrika.

 

Alisema ili kufikia hayo, mashirika binafsi yanatakiwa kuanza kutoa elimu kwa vijana ambao ndio taifa la sasa, kujiandaa katika kukabiliana na changamoto hiyo.

 

Katika uzinduzi wa mkakati wa utekelezaji wa...

 

10 years ago

Habarileo

Bomba la gesi asilia litaokoa trilioni 1.6/-

MRADI wa ujenzi wa bomba la gesi asilia, utaleta manufaa makubwa kwa taifa na wananchi wake, ikiwemo utekelezaji wa Dira ya Maendeleo ya Taifa ya mwaka 2015 na utasaidia kuokoa Sh trilioni 1.6 kwa mwaka.

 

9 years ago

Michuzi

TPDC: Gesi asilia ipo na ziada

Mkurungezi wa Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania, Dkt. James Mataragio, amesema hali ya uzalishaji wa gesi asilia nchini ni nzuri, alieleza kuwa mitambo ya kuchakata gesi asilia kule Madimba Mkoani Mtwara na Songo Songo Mkoani Lindi inao uwezo wa kuzalisha futi za ujazo milioni 240 za gesi asilia, huku gesi anayo tumika ikiwa futi za ujazo milioni 146 za gesi asilia. 
Dk. Mataragio ameongeza kuwa mchanganuo huo wa uzalishaji wa gesi unazidi mahitaji yetu kwa sasa na hivyo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani