Vijana 916 waandaliwa kufaidi gesi
VIJANA 916 wa Kitanzania wengi kutoka mikoa ya Lindi na Mtwara, wamepewa mafunzo ya ndani na nje ya nchi zitakazokuwa na mahitaji makubwa katika sekta ya gesi. Kati ya vijana hao, vijana 668 wanatoka katika mikoa ya Lindi na Mtwara na wamepewa mafunzo ya miaka miwili ya stadi za huduma mbalimbali katika viwango vya kimataifa, katika Chuo cha Mamlaka ya Ufundi Stadi (VETA), mkoani Mtwara.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziKILWA WAENDELEA KUFAIDI HUDUMA ZA WAWEKEZAJI WA GESI
Na Abdulaziz Kilwa Masoko
Wananchi wilayani Kilwa mkoani Lindi wameendelea kunufaika na wawekezaji,baada ya kampuni ya uchimbaji gesi ya PANAFRICAN ENERGY kuikabidhi halmashauri hiyo zahanati ya kijiji cha Nangurukuru ambayo ujenzi wake umegharimu Tshs 262 Milioni .
Akizungumza wakati...
10 years ago
Habarileo15 Aug
Vijana zaidi kufadhiliwa mafunzo ya gesi
SERIKALI imesema kuwa itaendelea na juhudi zake za kudhamini vijana kupata elimu ya mafuta na gesi wakidhi soko la ajira miaka ijayo.
11 years ago
Uhuru Newspaper13 Aug
Vijana 10 kusomea mafuta na gesi China
NA SELINA WILSON
VIJANA 10 wa Kitanzania waliopata ufadhili wa kusomea shahada ya uzamili na uzamivu katika masuala ya gesi na mafuta, wamekabidhiwa nyaraka muhimu ikiwemo viza.
Hatua hiyo ni mwendelezo wa serikali kuhakikisha inazalisha wataalamu wazawa wa kutosha katika sekta ya mafuta na gesi, ambao watashiriki kikamilifu.
Nafasi hizo zilitolewa na serikali ya China baada ya kuombwa na Tanzania, ikiwa ni mkakati wa kutimiza lengo hilo la kuwa na wataalamu wazawa wa kutosha.
Akizungumza kabla...
10 years ago
Habarileo22 Nov
Membe ahimiza vijana wengi kujifunza mafuta na gesi
WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe amesema ni jukumu la Serikali kuhakikisha nchi inapoelekea katika uchumi wa mafuta na gesi inasomesha vijana wengi zaidi katika sekta hiyo.
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-MDuCGCyMDPc/VBs7Jsd92BI/AAAAAAAGkWY/BK2xeJx9gv4/s72-c/unnamed%2B(47).jpg)
Vijana Saba kusomea mafuta na Gesi nchini Brazili Mwakani
![](http://2.bp.blogspot.com/-MDuCGCyMDPc/VBs7Jsd92BI/AAAAAAAGkWY/BK2xeJx9gv4/s1600/unnamed%2B(47).jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-Yzw0ue38lGA/VBs7K5a381I/AAAAAAAGkWg/4ZI97d0rti4/s1600/unnamed%2B(48).jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-8EMnpoABT4A/VCE_EWuYWcI/AAAAAAAGlRo/8ATazVO-8ig/s72-c/Screen%2BShot%2B2014-09-23%2Bat%2B12.32.26%2BPM.png)
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/A8I8pebmYzq4hG9vmOMu*uV79MbqsvoODRMt1KiYr3KUOq0NwvBqYT7c26*S*PDeYJd-tNgsTFAYK143Oia6njRssbjFJyfC/taifa.gif?width=650)
Watakaozimia waandaliwa dawa yao
9 years ago
Habarileo25 Nov
Muongozo elimu bure waandaliwa
KATIBU Mkuu wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Profesa Sifuni Mchome, amesema wizara yake inaandaa mwongozo utakaotoa maelekezo juu ya muundo, mfumo na utaratibu nyumbufu utakaohakikisha kuwa ifikapo Januari mwakani, elimu ya msingi inatolewa bila malipo.
9 years ago
Mtanzania17 Aug
Wajawazito waandaliwa vifaa vya kujifungulia
Na Florence Sanawa, Kilwa
WANAWAKE wajawazito wapatao 150 wananufaika na huduma ya uzazi bora katika Kijiji cha Nanjilinji ‘A’ wilayani Kilwa mkoani Lindi, kutokana na kijiji hicho kupata mapato ya uvunaji wa misitu ambayo yanakua kila mwaka hadi kufikia milioni 90 kwenye akaunti ya kijiji hicho.
Akizungumza na MTANZANIA, Mjumbe wa Kamati ya Kijiji ya Misitu, Maimuna Hemed, alisema kutokana na kijiji kukusanya mapato yanayokuwa kutokana na utunzaji na uvunaji wa misitu, kijiji kimejipanga...