Muongozo elimu bure waandaliwa
KATIBU Mkuu wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Profesa Sifuni Mchome, amesema wizara yake inaandaa mwongozo utakaotoa maelekezo juu ya muundo, mfumo na utaratibu nyumbufu utakaohakikisha kuwa ifikapo Januari mwakani, elimu ya msingi inatolewa bila malipo.
habarileo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi01 Dec
Elimu bure ya Nyerere vs elimu bure ya Magufuli
10 years ago
Mwananchi03 Feb
Kampeni za elimu bure zitasaidia kuboresha elimu yetu?
10 years ago
Habarileo13 Jan
SMZ kutoa elimu bure
SERIKALI ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) imefuta ada ya wanafunzi wa shule za msingi, ikiwa ni utekelezaji wa dhamira ya mapinduzi ya kuwapatia wanafunzi wote elimu bure, kama ilivyoasisiwa na Rais wa Kwanza wa Zanzibar, Abeid Amaan Karume.
9 years ago
Habarileo28 Dec
Askofu aguswa na elimu bure
ASKOFU wa Kanisa Katoliki, Jimbo la Morogoro, Telesphor Mkude ameeleza kuguswa na uamuzi wa Serikali ya Awamu ya Tano wa kutoa elimu bure kuanzia awali hadi Kidato cha Nne jambo ambalo amehimiza Rais John Magufuli aungwe mkono katika hilo.
9 years ago
Habarileo14 Dec
Shule 11 kutohusika elimu bure
WIZARA ya Elimu, Sayansi na Ufundi imetoa waraka wa elimu kuhusu elimumsingi bila malipo na kutoa orodha ya shule za msingi 11 za Serikali ambazo hazihusiki na utoaji wa elimu bure uliotangazwa na Rais John Magufuli. Elimumsingi inajumuisha elimu ya awali, ya msingi na sekondari ambayo itaanza Januari mwakani.
10 years ago
Vijimambo21 Oct
Dk. Slaa: Tukishinda elimu itakuwa bure
![](http://in2eastafrica.net/wp-content/uploads/2014/09/Dr-Wilbrod-Slaa.jpg)
Hata hivyo, amesema Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeichakachua sera hiyo ya Chadema iliyowekwa katika Ilani yake ya uchaguzi wa mwaka 2010 na kusema elimu ya bure inawezekana, ingawa hadi leo chama tawala kimeshindwa kutekeleza ahadi hiyo.
Alitoa kauli hiyo alipokuwa...
9 years ago
Habarileo17 Dec
Bilioni 131/- zatengwa elimu bure
RAIS John Magufuli amewahakikishia Watanzania kuwa fedha kwa ajili ya kutimiza ahadi ya kutoa elimu bure kwa shule za msingi na sekondari, zimetengwa Sh bilioni 131 mwezi huu na kupelekwa moja kwa moja katika shule husika.
9 years ago
BBCSwahili17 Dec
Magufuli: Elimu ya bure itapatikana Tanzania
10 years ago
BBCSwahili11 Jun