Elimu bure ya Nyerere vs elimu bure ya Magufuli
Nakubaliana na Rais John Magufuli kuwa Watanzania wanahitaji maarifa. Nakubaliana naye kuwa watoto wa maskini wanahitaji elimu, tena elimu yenye maarifa siyo kurundikana darasani tu pasipo maarifa wala kujifunza.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
BBCSwahili17 Dec
Magufuli: Elimu ya bure itapatikana Tanzania
10 years ago
Mwananchi03 Feb
Kampeni za elimu bure zitasaidia kuboresha elimu yetu?
9 years ago
Habarileo14 Dec
Shule 11 kutohusika elimu bure
WIZARA ya Elimu, Sayansi na Ufundi imetoa waraka wa elimu kuhusu elimumsingi bila malipo na kutoa orodha ya shule za msingi 11 za Serikali ambazo hazihusiki na utoaji wa elimu bure uliotangazwa na Rais John Magufuli. Elimumsingi inajumuisha elimu ya awali, ya msingi na sekondari ambayo itaanza Januari mwakani.
10 years ago
Habarileo13 Jan
SMZ kutoa elimu bure
SERIKALI ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) imefuta ada ya wanafunzi wa shule za msingi, ikiwa ni utekelezaji wa dhamira ya mapinduzi ya kuwapatia wanafunzi wote elimu bure, kama ilivyoasisiwa na Rais wa Kwanza wa Zanzibar, Abeid Amaan Karume.
9 years ago
Habarileo25 Nov
Muongozo elimu bure waandaliwa
KATIBU Mkuu wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Profesa Sifuni Mchome, amesema wizara yake inaandaa mwongozo utakaotoa maelekezo juu ya muundo, mfumo na utaratibu nyumbufu utakaohakikisha kuwa ifikapo Januari mwakani, elimu ya msingi inatolewa bila malipo.
9 years ago
Habarileo28 Dec
Askofu aguswa na elimu bure
ASKOFU wa Kanisa Katoliki, Jimbo la Morogoro, Telesphor Mkude ameeleza kuguswa na uamuzi wa Serikali ya Awamu ya Tano wa kutoa elimu bure kuanzia awali hadi Kidato cha Nne jambo ambalo amehimiza Rais John Magufuli aungwe mkono katika hilo.
9 years ago
Habarileo17 Dec
Bilioni 131/- zatengwa elimu bure
RAIS John Magufuli amewahakikishia Watanzania kuwa fedha kwa ajili ya kutimiza ahadi ya kutoa elimu bure kwa shule za msingi na sekondari, zimetengwa Sh bilioni 131 mwezi huu na kupelekwa moja kwa moja katika shule husika.
9 years ago
StarTV11 Oct
CHADEMAÂ ya ahidi kutoa elimu bure
Mgombea Ubunge Jimbo la Songea kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Joseph Fuime amesema chama chake kikiingia madarakani kitahakikisha elimu inatolewa bure kutoka Shule ya Msingi hadi Chuo kikuu.
Fuime amesema Tanzania ni nchi yenye rasilimali nyingi hasa za Madini lakini hazitumiki ipasavyo kuwasaidia wananchi badala yake yananufaisha watu wachache.
Mgombea Ubunge Jimbo la Songea kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Joseph Fuime amesema imefika wakati sasa...
10 years ago
Mtanzania13 Jan
Dk. Shein atangaza elimu bure Zanzibar
ELIAS MSUYA NA IS-HAK OMARI, ZANZIBAR
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, ametangaza rasmi kufuta michango yote katika elimu ya msingi kuanzia Julai mwaka huu.
Amesema kutokana na hali hiyo, Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar itabeba gharama zote ikiwa kama mkakati wa kuinua elimu.
Hayo aliyasema jana wakati akihutubia mamia ya wananchi katika sherehe za miaka 51 ya Mapinduzi ya Zanzibar, zilizofanyika katika Uwanja wa Amaan mjini Unguja.
Alisema...