Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CHADEMA ya ahidi kutoa elimu bure

 Mgombea Ubunge Jimbo la Songea kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Joseph Fuime amesema chama chake kikiingia madarakani kitahakikisha elimu inatolewa bure kutoka Shule ya Msingi hadi Chuo kikuu.

 Fuime amesema Tanzania ni nchi yenye rasilimali nyingi hasa za Madini lakini hazitumiki ipasavyo kuwasaidia wananchi badala yake yananufaisha watu wachache.

Mgombea Ubunge Jimbo la Songea kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Joseph Fuime amesema imefika wakati sasa...

StarTV

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

SMZ kutoa elimu bure

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Ali Mohamed Shein akikagua gwaride la heshima la vikosi vya ulinzi na usalama wakati wa sherehe za miaka 51 ya Mapinduzi ya Zanzibar zilizofanyika kwenye uwanja wa Amaan mjini Unguja jana. (Picha na Ikulu).SERIKALI ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) imefuta ada ya wanafunzi wa shule za msingi, ikiwa ni utekelezaji wa dhamira ya mapinduzi ya kuwapatia wanafunzi wote elimu bure, kama ilivyoasisiwa na Rais wa Kwanza wa Zanzibar, Abeid Amaan Karume.

 

10 years ago

Michuzi

SERIKALI YA ZANZIBAR YAENDELEA KUTOA ELIMU BURE KWA WATOTO

   STATE HOUSE ZANZIBAROFFICE OF THE PRESS SECRETARYPRESS RELEASE  Zanzibar                                                    
                                                                                                              14.6.2015
LICHA ya kupanda kwa gharama za uendeshaji wa sekta ya elimu hapa Zanzibar na duniani kote, Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar itaendelea kuhakikisha elimu inaendelea kutolewa bure kwa watoto wa Zanzibar kama ilivyotangazwa na Marehemu Mzee Abeid...

 

5 years ago

Michuzi

Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) Inatekeleza Haki za Binadamu Kwa Kutoa Afya na Elimu Bure- Dkt.Shein


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt.Ali Mohamed Shein akizungumza na Ujumbe wa Watendaji wa juu wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (hawapo pichani), walipomtembelea Ofisini kwake Ikulu Zanzibar


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt.Ali Mohamed Shein akizungumza na Ujumbe wa Watendaji wa juu wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (pichani), walipomtembelea Ofisini kwake Ikulu Zanzibar, kutoka kulia ni Mwenyekiti wa Tume hiyo, Jaji...

 

5 years ago

CCM Blog

DKT. SHEIN: SERIKALI YA MAPINDUZI ZANZIBAR (SMZ) INATEKELEZA HAKI ZA BINAADAMU KWA KUTOA AFYA NA ELIMU BURE

  Na.Mwandishi Wetu-MAELEZORais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Ali Mohamed Shein amesema kuwa Serikali inatekekeleza utawala bora kwa wananchi kwa kuwapatia huduma za jamii zikiwemo elimu na  afya zinazotolewa bure.
 Akizungumza alipokutana na ujumbe wa watendaji wa juu wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora Ikulu Zanzibar, Dkt. Shein alisema kuwa Serikali inatakeleza kwa vitendo dhana ya utawala bora ikiwa ni utekelezaji wa dhana iliyoasisiwa na Hayati. Abeid...

 

9 years ago

Mwananchi

Elimu bure ya Nyerere vs elimu bure ya Magufuli

Nakubaliana na Rais John Magufuli kuwa Watanzania wanahitaji maarifa. Nakubaliana naye kuwa watoto wa maskini wanahitaji elimu, tena elimu yenye maarifa siyo kurundikana darasani tu pasipo maarifa wala kujifunza.

 

10 years ago

Mwananchi

Kampeni za elimu bure zitasaidia kuboresha elimu yetu?

Kipindi cha kampeni za uchaguzi zinapokaribia, ni wakati muhimu sana kwa wananchi kuongeza umakini katika kusikiliza na kuamua ipi ni hoja au ahadi ya msingi kwa mustakbali wa nchi yetu.

 

11 years ago

Mwananchi

CBE, Finland kutoa PhD ya elimu na elimu mazingira

>Chuo cha Bishara Dar es Salaam (CBE) kwa kushirikiana na Chuo Kikuu cha Eastern Finland (UEF), kwa pamoja wameanzisha program kwa masomo ya stashahada ya uzamivu (PhD) katika fani  ya elimu na mazingira ya elimu.

 

10 years ago

Tanzania Daima

‘Serikali kutoa dawa za kisukari bure’

SERIKALI imesema itajitahidi kutenga fedha katika bajeti yake, ambazo zitatumika kununua dawa za maradhi ya kisukari itakazozigawa bure kwa wagonjwa. Kauli hiyo ilitolewa jijini Dar es Salaam jana na Waziri...

 

11 years ago

Michuzi

WAZIRI WA ELIMU NA MAFUNZO, Dr. SHUKURU KAWAMBWA, AIPONGEZA SHULE YA SEKONDARI " IMPERIAL" KWA JINSI ILIVYO JIPANGA KUTOA ELIMU BORA.

Waziri wa Elimu na Mafunzo, Dr. Shukuru Kawambwa, jana Tarehe 7 July-2014, alitembelea maenesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa (TANTRADE) , yajulikanayo kama maonesho ya Saba Saba, na kutembelea Banda la Shule ya Sekondari Imperial, Dr. Kawambwa ametoa pongezi kwa uongozi na waalimu wa Shule ya Sekondari Imperial, kwa Jinsi ilivyojipanga kuhakikisha inatoa Elimu Bora Nchini, inayokidhi viwango vya Kimataifa, kwa gharama nafuu.
Shule ya Sekondari Imperial, iko Msolwa-Chalinze.
Shule imejengwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani