Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Dk. Shein atangaza elimu bure Zanzibar

Dk.-Ali-Mohamed-SheinELIAS MSUYA NA IS-HAK OMARI, ZANZIBAR
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, ametangaza rasmi kufuta michango yote katika elimu ya msingi kuanzia Julai mwaka huu.
Amesema kutokana na hali hiyo, Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar itabeba gharama zote ikiwa kama mkakati wa kuinua elimu.
Hayo aliyasema jana wakati akihutubia mamia ya wananchi katika sherehe za miaka 51 ya Mapinduzi ya Zanzibar, zilizofanyika katika Uwanja wa Amaan mjini Unguja.
Alisema...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

CCM Blog

DKT. SHEIN: SERIKALI YA MAPINDUZI ZANZIBAR (SMZ) INATEKELEZA HAKI ZA BINAADAMU KWA KUTOA AFYA NA ELIMU BURE

  Na.Mwandishi Wetu-MAELEZORais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Ali Mohamed Shein amesema kuwa Serikali inatekekeleza utawala bora kwa wananchi kwa kuwapatia huduma za jamii zikiwemo elimu na  afya zinazotolewa bure.
 Akizungumza alipokutana na ujumbe wa watendaji wa juu wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora Ikulu Zanzibar, Dkt. Shein alisema kuwa Serikali inatakeleza kwa vitendo dhana ya utawala bora ikiwa ni utekelezaji wa dhana iliyoasisiwa na Hayati. Abeid...

 

5 years ago

Michuzi

Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) Inatekeleza Haki za Binadamu Kwa Kutoa Afya na Elimu Bure- Dkt.Shein


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt.Ali Mohamed Shein akizungumza na Ujumbe wa Watendaji wa juu wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (hawapo pichani), walipomtembelea Ofisini kwake Ikulu Zanzibar


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt.Ali Mohamed Shein akizungumza na Ujumbe wa Watendaji wa juu wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (pichani), walipomtembelea Ofisini kwake Ikulu Zanzibar, kutoka kulia ni Mwenyekiti wa Tume hiyo, Jaji...

 

9 years ago

Habarileo

Shein atangaza elimu kuwa kipaumbele

RAIS wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein amesema sekta ya elimu itapewa kipaumbele cha kwanza akirejea madarakani. Pamoja na kipaumbele hicho, mgombea huyo ametangaza kufuta ada na michango yote kwa wanafunzi wa sekondari na kuahidi kujenga Chuo kikuu kipya Dole, Unguja.

 

10 years ago

Michuzi

SERIKALI YA ZANZIBAR YAENDELEA KUTOA ELIMU BURE KWA WATOTO

   STATE HOUSE ZANZIBAROFFICE OF THE PRESS SECRETARYPRESS RELEASE  Zanzibar                                                    
                                                                                                              14.6.2015
LICHA ya kupanda kwa gharama za uendeshaji wa sekta ya elimu hapa Zanzibar na duniani kote, Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar itaendelea kuhakikisha elimu inaendelea kutolewa bure kwa watoto wa Zanzibar kama ilivyotangazwa na Marehemu Mzee Abeid...

 

9 years ago

Mwananchi

Elimu bure ya Nyerere vs elimu bure ya Magufuli

Nakubaliana na Rais John Magufuli kuwa Watanzania wanahitaji maarifa. Nakubaliana naye kuwa watoto wa maskini wanahitaji elimu, tena elimu yenye maarifa siyo kurundikana darasani tu pasipo maarifa wala kujifunza.

 

11 years ago

Michuzi

DKT. SHEIN AZUNGUMZA NA UONGOZI WA WIZARA ELIMU,ZANZIBAR

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali,katika kikao cha utekelezaji Mpango kazi kwa kipindi cha Julai hadi Machi 2013/2014,katika ukumbi wa mikutano Ikulu Mjini Zanzibar jana jioni. Baadhi ya Viongozi wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali wakiwa katika kikao cha utekelezaji wa mpamgo wa kazi kwa kipindi cha robo mwaka kutoka Julai -Machi 2013/2014,katika ukumbi wa mikutano Ikulu...

 

10 years ago

Michuzi

DKT. SHEIN MGENI RASMI KATIKA SHEREHE ZA ELIMU BILA MALIPO AMAAN ZANZIBAR LEO

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Walimu na Wanafunzi katika Sherehe za Miaka 50 ya Elimu bila malipo zilizofanyika kitaifa katika Uwanja wa Amaan Studium Mjini Unguja leo.Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimkabidhi kombe Msaidizi Afisa Elimu Mkoa wa Kaskazini Unguja Maulid Nafasi Juma wakati wa Sherehe za Miaka 50 ya Elimu bila malipo zilizofanyika kitaifa katika Uwanja wa Amaan Studium Mjini...

 

10 years ago

Mwananchi

Kampeni za elimu bure zitasaidia kuboresha elimu yetu?

Kipindi cha kampeni za uchaguzi zinapokaribia, ni wakati muhimu sana kwa wananchi kuongeza umakini katika kusikiliza na kuamua ipi ni hoja au ahadi ya msingi kwa mustakbali wa nchi yetu.

 

10 years ago

Habarileo

Wapinzani wanajisumbua bure -Shein

MAKAMU Mwenyekiti wa CCM- Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein amesema juhudi zinazofanywa na wapinzani kutaka kuving’oa madarakani vyama vilivyoleta ukombozi katika bara la Afrika kamwe hazitafaulu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani